Vita vya Russia nchini Ukraine vimedhihirisha kuwa taifa likiwa na silaha za nyuklia linakuwa salama dhidi ya sera ya Marekani na washirika wake ya kubadili tawala za nchi wanazozituhumu kwa uonevu na makosa ya kivita
Nchi zilizotuhumiwa na Marekani kwa uonevu, makosa ya kivita n.k. zilishambuliea.
Marekani imeenda vitani
Iraq mara mbili..
Marekani imekuwa vitani
Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20..
Marekani iliamua kuishambulia kwa mabomu
Serbia..
Marekani iliingia kwa furaha kwenye kuishambulizi
Libya kwa mabomu...
Marekani iliamua kuanzisha vita kamili kuishambulia
Syria...
Miaka iliyopita, ilikuwa Marekani ikiituhumu serikali ya nchi fulani kwa makosa ya kivita na uonevu, hiyo ilikuwa ikimaanisha lazima nchi hiyo inayotuhumiwa inyeshelezewe kwa mvua za mabomu tena na tena kwenye miji yake yoote na hata kukaliwa kijeshi na majeshi ya uvamizi (Marekani na washirika wake).
Ila leo Russia imetuhumiwa na makosa ya kivita pamoja na uonevu dhidi ya Ukraine...lakini Serikali ya Biden ilipoulizwa kuhusu kwa nini majeshi ya Marekami yasiishambulie Russia, Jen Psaki akaufyata akidai sio ktk maslahi ya Marekani kuishambulia Russia[emoji1787][emoji23][emoji56][emoji56]
Nchi nyinginezo zimeshtukia huo undumilakuwili wa sera ya Marekanj ya kubadili tawala za nchi nyinginezo, zimetambua kuwa sera hiyo inatumika kwa mataifa dhaifu na yasiyo na silaha za nyuklia
View attachment 2190551View attachment 2190552