Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila hii VITA mwisho wake nauona kabisa kama utaamuliwa na negotiation
Ila acha tuone nakuhusiana na bwana komedian huyu bwana nahisi nimpango mkakati kabisa wa NATO dhidi ya RUSSO jamaa huyu kaekwa ili kuipa challenges RUSSO mambo kama yatazidi kua mabaya yeye anakua salama wakati watu wamepoteza maisha yao
Yeye akiona imekua much more anasepa zake tuuuu!!!!!
Mkuu Mimi Nina maono tofauti kidogo.
Ingawa sifurahii Hali hii,lakini
Naamini siku Saba hazipiti Zelensky atakua marehemu.
 
[emoji81][emoji81]propaganda
Tulia tulii...dawa iingie vyema...

Mwaka huu Team US mtataga🤣🤣😇😇

SmartSelect_20220417-125606_Chrome.jpg
SmartSelect_20220417-125756_Chrome.jpg
 
❗️The Kiev regime attracted more than 6.8 thousand foreign mercenaries from 63 countries to Ukraine. The Russian Defense Ministry presented new data on the special operation.

▪️Most of all mercenaries are from Poland - more than 1.7 thousand people, about 1.5 thousand - from the USA. The Russian Armed Forces have killed more than a thousand foreign mercenaries to date. There are currently 4,800 left.

▪️According to the surrendered military of the Armed Forces of Ukraine, up to 400 foreign mercenaries from Europe and Canada are surrounded on the territory of Azovstal. The Kyiv regime forbids them to surrender under threat of being shot.

▪️High-precision air-launched missiles destroyed an ammunition factory in the Kiev region.

▪️Russian troops liberated citizens in Mariupol who were held captive by Ukrainians.

▪️Since the beginning of the special operation, 134 aircraft, 470 drones, 249 air defense systems, 2,290 tanks and armored vehicles, 254 MLRS, 992 field artillery pieces and mortars, 2,166 units of special military vehicles have been destroyed.
Urusi wamewavuruga kinyama NATO na west wengine.
Hao mamluki wamefanyiwa kitu mbaya sana.
USA alisema hakuna hata mjeshi mmoja atapelekwa Ukraine Leo anaumbuliwa.
Ama atapokea maiti ama atasubiri kubadilishana wafungwa.
Urusi ni moja ya jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni.
Urusi sio Iraq Wala Afghanistan.
 
Mkuu Mimi Nina maono tofauti kidogo.
Ingawa sifurahii Hali hii,lakini
Naamini siku Saba hazipiti Zelensky atakua marehemu.
Sio kitu rahisi bro, askari wa ukraine hawako wenyewe wanapata back up ya mabeberu ndio maana wameweza kulinda defence lines zao muhimu na vikosi vya urusi vimeshindwa kuvuka. Vita ina formula zake na mbinu zingine huwa zinaibuka kutokana na maitaji ya mazingira husika. Kipengere cha propaganda ni section muhimu sana kuongeza morale ya wapiganaji waliyo mstari wa mbele au kuvunja na kuwachanganya maadui zako. Kwa mfano, kuna vikosi baadhi vya urusi vilikaribiswa vizuri na raia wa ukaraine wakapewa chakula cha sumu, mji wa kivy ni eneo muhimu la strategia kuuteka na kuzingira Russia ameshajaribu akashindwa japo mwenyewe akatengeneza propaganda kuwa amatimiza lengo analudi nyuma kijipanga tena.
 
Kyiv imepelekewa moto mkali asubuhi hii ya leo...Zelensky alia kuwa hali ya Mauripol ni mbaya mnoo...Russia imetoa deadline kuwa leo lazima masalia ya wapiganaji wa Ukraine ktk mji wa Mauripol wawe wamejisalimisha...kama bado wanahitaji kuendelea kuishi duniani.

View attachment 2190405View attachment 2190406
Tulimuonya Zelensky......
ataangukia pua lkn alikuwa mbishi......
soon kichwa yake watu wanachoma mshkaki
 
Ndege iliyokuwa imebeba shehena ya silaha za kivita toka nchi za Marekani na washirika wake imeteketezwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine...

Asante sana Putin kwa kutekeleza ahadi unazotupa.

View attachment 2190596View attachment 2190597View attachment 2190598
Hii Ingekua ni ndege ya Urusi,vyombo vya habari vya Dunia nzima vingeacha habari zote na kuitangaza habari hiyo,kama vilivyofanya kwa melivita moskova.
Humu jamvini habari ndio Ingekua hiyo.
NATO Wamechangishana silaha weeee zinaishia kuwa majivu.
Jeshi la Urusi ni kubwa sana hapa ulimwenguni.
 
Tatizo Zalensky hakujua kama US anamuingiza Cha kike!Akajua atapata back up ya kutosha!Nadhani muda ungerudi nyuma na Zalensky akapewa uono wa kuona Pasaka itakuwaje nchini kwake,basi angeyamaliza na Putin mwanzo kabisa for the sake of his people!
Ndio hivyo,majuto ni mjukuu!
Ila Bado hajachelewa sana,anaweza kuokoa maelfu ya vifo vitarajiwa!
Ninachoona amedanganywa Tena na West kuwa ashambulie Russia territory,na akajaribu kushambulia kweli!Majibu ya Jana huko kyiv ni onyo na akijaribu Tena,Russia amesema atalenga majengo ya decision makers wa Kyiv,kitu ambacho amejaribu kukiepuka Toka mwanzo wa operation!
Na decision maker kwa kiswahili maana yake ni wafanya maamuzi,kwa maana hiyo kwa nchi yoyote wafanya maamuzi wakubwa ni Rais,Waziri Mkuu,Waziri wa ulinzi Waziri wa mambo ya nje,Mkuu wa majeshi ,Mkuu wa usalama,mkuua wa Polisi,Waziri wa mambo ya ndani na watu kama hao.
Kwa maana hiyo hao wanaweza kifukiwa katika magofu ya vifusi vya majengo au mahandaki.
Daa Zelensky wangu masikini.
 
Ukiiangalia movie ya WE WERE SOLDIERS unabaki kusema tu STOP THE WAR

Cz ni men in suits & tie sitting in their offices engineering others who dies on front line !

And even when u win the war /battle but u can never heal the loss ! No winner in any war ! Even the winner

Ajabu wanapeleka more weapons badala ya ku enforces peace talks !
Means they are adding More fuel to fire instead

Halafu walivyokua hawana huruma hawapeleki chakula wala maji wajeda kule wanatuma clips wakilalamika chakula hawana wengine ilibid wasurrender mariopol, njaa haina baunsa kuna raia pia walikufa kwasababu ya dehydration na njaa.
 
Ila ki ukweli Russia anawabonya kweli kweli, halafu yeye sio mzee wa social medias Kama westerners walivyo, ye anakudinya na hatangazi hovyo hovyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ha ha haa,hii misemo ya "anawabonya" "anakudinya" kwa kweli Ina chekesha sana kwa upande mmoja lanini inakera sana kwa upande wa pili.
 
Japo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...

Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
Kuna hii clip ukiisikiliza utaona ka Zele yupo apo kama pazia bali yule mshauri wake mkuu ndiye anayesimamia show ya kisee*** namna hiii...


Msikilize vizuri anamuita Zelensky ni Unprofessional and Stupid kwasabab tu katika kampen zake alideclare yuko against war... Back n 2019 hapo...

Ila kinachonishangaza zaidi ikawaje akawa Mshauri wake mkuu?? 🤔🤔🤔

Tusisahau pia huyu jamaa ashawah tangaza wazi kua Fan wa ISIS... Ukirejea nyuma kuna hii nishawah pia kuileta hapa jamaa akieleza namna gani watavom'provoke Russia into Full Scale war ndani ya Ukraine then iww ticket kwao kujiunga NATO...
 
Upo sahihi kabisa,hili balaa kajitengenezea mwenyewe na hatokaa atulie kamwe.Watamsumbua sana,Putin anakuja kuwaachia matatizo watakaofuatia baada yake kutawala Russia.

Kwani marekani naye yanamkuta haya munayomnenea MRUSI?!!
Nitajie kikundi Cha kigaidi kinachoisumbua USA ndani ya nchi yake,tatizo mnaiunderate Sana Russia.

Vita siyo nzuri Ila sababu za Putin kuitandika UKRANE Ni za msingi Sana!pengine kuzidi zile zilizoifanya NATO kumchakaza GADAFI pale Libya
 
Back
Top Bottom