simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Duuuh yaani kitu bora kinachoweza kuwatokea ni kifungo kirefu gerezani!Kyiv attracted about 7 thousand foreign mercenaries to Ukraine. What countries are they from?
▪️the largest group arrived from Poland - 1717 people
▪️from the USA, Canada, and Romania - 1.5 thousand
▪️from the UK and Georgia — 300 people each
▪️193 people from Turkish-controlled areas of Syria
The Russian Ministry of Defense stated that there are now less than 5,000 mercenaries left. They do not have the status of "combatants" under international humanitarian law. The best thing that awaits mercenaries is a long prison term.
Ukitaka kujua Russia ana nguvu ya kijeshi, kabla ya kukushambulia anakwambia kabisa sehemu atakayo shambulia na silaha atakayotumia na anajua kabisa huwez ukamzuia muda wa kukutembezea kipigo ukifika.
Russia siyo Lesotho.
Mkuu haijalishi sababu, huenda alidanganywa na USA na washirika wake kuwa watamlinda, huenda anafahamu kuwa Pittin nia yake ni kuiunganisha Urusi na nchi jirani kwa gharama yoyote na kwamba kupiga magoti ni kuikabidhi nchi kwa Puttin haraka haraka bila vita, huenda alifanya ujinga tu ambao haukutakiwa kufanywa na kiongozi.Yaani MKUU mark haya maneno jamaa kafanya maamuzi yakijinga toka awali kwakweli
Kwasasa sidhanii kama atakaa mezani tena
Ila pia kama atakaa hakuna ubaya maana kadri OP inavyoendelea ndio watu wanazidi kufa
Maana tunajua tulipotoka kwamba tuna siku 50s toka OP ianze hatujui zambeleni itakuaje
Ila acha tuone !!!!!
Mdogo ni kuanzia umri gani?Crimea wakati inavamiwa na kuwekwa huru ulikuwa mdogo eeeh?
Ndege iliyokuwa imebeba shehena ya silaha za kivita toka nchi za Marekani na washirika wake imeteketezwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine...
Asante sana Putin kwa kutekeleza ahadi unazotupa.
View attachment 2190596View attachment 2190597View attachment 2190598
Wewe kwa akili yako ya matope unafikili Rais wa ukraine ni mjinga kama wewe, uelewa wa jamii ya waukraine usije kufananisha na sisi waswahili wa buguruni. Sisi tuendelee tu na ushabiki wetu huku tukiburuzwa na uongozi wetu. Russia kuivamia na kuitesa ukraine wameanza kitambo tu, Stalin aliwanyanganya mashamba wakafa na njaa mamilion, acha leo wanaume wapambane dharau zimezidi. Ujinga na nidhamu yenu ya uoga eti unawaonea huruma ukraine, kichekesho cha mwaka yakwenu tu yanawashinda mnakalia ushabiki maandazi eti wasomiTatizo Zalensky hakujua kama US anamuingiza Cha kike!Akajua atapata back up ya kutosha!Nadhani muda ungerudi nyuma na Zalensky akapewa uono wa kuona Pasaka itakuwaje nchini kwake,basi angeyamaliza na Putin mwanzo kabisa for the sake of his people!
Ndio hivyo,majuto ni mjukuu!
Ila Bado hajachelewa sana,anaweza kuokoa maelfu ya vifo vitarajiwa!
Ninachoona amedanganywa Tena na West kuwa ashambulie Russia territory,na akajaribu kushambulia kweli!Majibu ya Jana huko kyiv ni onyo na akijaribu Tena,Russia amesema atalenga majengo ya decision makers wa Kyiv,kitu ambacho amejaribu kukiepuka Toka mwanzo wa operation!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha weee!!!Upo sahihi kabisa,hili balaa kajitengenezea mwenyewe na hatokaa atulie kamwe.Watamsumbua sana,Putin anakuja kuwaachia matatizo watakaofuatia baada yake kutawala Russia.
[emoji81][emoji81]propagandaNdege iliyokuwa imebeba shehena ya silaha za kivita toka nchi za Marekani na washirika wake imeteketezwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine...
Asante sana Putin kwa kutekeleza ahadi unazotupa.
View attachment 2190596View attachment 2190597View attachment 2190598
Huenda ukawa sahihi, na inawezekana akarudi nyuma na akafanya maamuzi hayahaya. Inategemeana na usahihi wa sababu unayoisema ya yeye kumvimbia Urusi.Tatizo Zalensky hakujua kama US anamuingiza Cha kike!Akajua atapata back up ya kutosha!Nadhani muda ungerudi nyuma na Zalensky akapewa uono wa kuona Pasaka itakuwaje nchini kwake,basi angeyamaliza na Putin mwanzo kabisa for the sake of his people!
Ndio hivyo,majuto ni mjukuu!
Ila Bado hajachelewa sana,anaweza kuokoa maelfu ya vifo vitarajiwa!
Ninachoona amedanganywa Tena na West kuwa ashambulie Russia territory,na akajaribu kushambulia kweli!Majibu ya Jana huko kyiv ni onyo na akijaribu Tena,Russia amesema atalenga majengo ya decision makers wa Kyiv,kitu ambacho amejaribu kukiepuka Toka mwanzo wa operation!
Vifo visikie Kwa jiraniHuenda ukawa sahihi, na inawezekana akarudi nyuma na akafanya maamuzi hayahaya. Inategemeana na usahihi wa sababu unayoisema ya yeye kumvimbia Urusi.
Demilitarized missionPutin saivi kawa kama zombie [emoji81][emoji81]hayaeleweki yanacho pigania ata
Unataka maisha ya milele Bome-e.Vifo visikie Kwa jirani
Haya tuanzie hapa. Unatakwimu sAhihi juu ya uhAlifu wA kivita alioufanya marekani na hAjashtakiwa.Unaandika wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
Sema, unatoka nchi gani???
Maana katika nchi unayolaumu kuna mabaya mengi, lakini haki hizo unazo.
Mwandiko mzuri kwelikweliHaya tuanzie hapa. Unatakwimu sAhihi juu ya uhAlifu wA kivita alioufanya marekani na hAjashtakiwa.
Ila hii VITA mwisho wake nauona kabisa kama utaamuliwa na negotiationMkuu haijalishi sababu, huenda alidanganywa na USA na washirika wake kuwa watamlinda, huenda anafahamu kuwa Pittin nia yake ni kuiunganisha Urusi na nchi jirani kwa gharama yoyote na kwamba kupiga magoti ni kuikabidhi nchi kwa Puttin haraka haraka bila vita, huenda alifanya ujinga tu ambao haukutakiwa kufanywa na kiongozi.
Jibu lolote lile halina maana kwa hapa alipofika, hapa alipofika anatakiwa asimamie msimamo wake mpaka mwanajeshi mtiifu kwake wa mwisho atakapofariki au yeye kukamatwa au kufariki.
Mkuu ngoja nikuambie kitu kimoja, kuna hadithi moja ya Trojan ukiisoma(sijajua usahihi wake katika uhalisia) inahusu nchi mbili ziliingia vitani sababu kijana mmoja wa mfalme aliamua kuiba mke wa mfalme wa nchi nyingine alipotumwa kwenda kuimarisha mahusiano baada ya muda mrefu wa kutupiana maneno yanayoashiria kutokuelewana.
Yaani unamtuma mwanao aende kuimarisha mahusiano na jirani yako mliyekuwa hamna mahusiano mazuri halafu yeye anapita na mke wake.
Wakati vita vinaanza mfalme aliambiwa na mshauri wake, si warudishe mke na kulipa fidia? Mfalme akasema unadhani hawa wameleta silaha nchini kwetu na kutumia nguvu kubwa kufika hapa ili kufata mwanamke wao tu?.
Mfalme alijua kabisa kwa pale walipofika kujaribu kuwaomba Adui wamchukue mke wao na kulipa fidia ni kuwarahisishia ushindi tu maadui na kusababisha wakawa watumwa maana nia ya Adui si mke tena bali ni rasilimali za nchi yao. Mke ni sababu tu iliyotoa uhalali wa kuivamia na akiomba kurudisha mke kutawafanya wanajeshi wake waone kuwa hawastahili kwenda vitani kwa sababu ya kijinga vile, na Adui atatumia hiyo kama silaha kurahisisha vita na kushinda kiwepesi.
Mfalme Akawaambia wanajeshi wake Adui yupo hapa sababu ya rasilimali zetu, hayo mengine ni uongo uongo na kisingizio tu cha kuwepo hapa. Tuzilinde rasilimali kwa maisha yetu. Nchi ikaingia vitani.
Ha ha haa aisee watu mna majigambo?Hayo ni maneno ya kujipa moyo. Russia sio Marekani. Inayopambana na ugaidi miaka na miaka. Ukitaka kujua Russia ni nani waulize IS. Putin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa Mungu watu kama hao unaowasema
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app