Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

❗️Ministry of Defense of the Russian Federation

At the request of Erdogan, during the offensive to liberate Mariupol, a special operation was carried out in the Primorsky district to free the hostages held by the Nazis in a Turkish mosque.

The mosque was released, 29 militants were killed, including foreign mercenaries.

The hostages, citizens of one of the CIS countries, were released and taken to a safe place.
 
❗️Ministry of Defense of the Russian Federation

The Kyiv nationalist regime forbade negotiations on surrender, ordering the Azov Nazis to shoot on the spot anyone who wanted to lay down their arms among Ukrainian military personnel and foreign mercenaries.

In total, up to 400 foreign mercenaries are now surrounded on the territory of the Azovstal enterprise as part of the Ukrainian group.

Most of them are citizens of European countries, as well as Canada. In case of further resistance, all of them will be destroyed.
 
Urusi labda afute kabisa Ukraine isiwepo duniani, kinyume na hapo awamu itakayofuata ni awamu za kisasi kutoka vikundi vidogo vidogo miaka ya mbeleni maana masalia yatatengeneza vikundi adui wa Urusi, watu wa Ukraine wameonyesha msimamo na mapenzi kwa nchi yao. Ukiwaacha wanajeshi masalia kuna uwezekano kukaibuka vikundi vya kulipiza kisasi huko mbeleni. Vitakuwa vikundi vya kigaidi kwa Urusi.
Heheeee
Mtaongea lugha zote ila muhimu lengo la RUSSIA linaenda kufikiwa nshakuna kitakachotokea wakati jojia anapelekewa faya yalisemwa zaidi ya haya ila malengo yalifikiwa namaisha yanaendelea
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Japo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...

Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
 
Hayo ni maneno ya kujipa moyo. Russia sio Marekani. Inayopambana na ugaidi miaka na miaka. Ukitaka kujua Russia ni nani waulize IS. Putin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa Mungu watu kama hao unaowasema

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Nimesema labda afute kabisa wanajeshi wanaoweza zaa vikundi vya kigaidi, wewe unasema Puttin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa MUNGU watu kama hao.

Sasa huko kujipa moyo unakozungumzia ni kupi iwapo wote tunazungumza jambo moja la kufuta vikundi vinavyoweza kuzaa walipiza kisasi?

Mm nashauri wakati wa kujibu hoja tuondoe masuala ya upro Nato na Upro Russia ndio yanayosababisha ubishani usio na manufaa.
 
❗️The Kiev regime attracted more than 6.8 thousand foreign mercenaries from 63 countries to Ukraine. The Russian Defense Ministry presented new data on the special operation.

▪️Most of all mercenaries are from Poland - more than 1.7 thousand people, about 1.5 thousand - from the USA. The Russian Armed Forces have killed more than a thousand foreign mercenaries to date. There are currently 4,800 left.

▪️According to the surrendered military of the Armed Forces of Ukraine, up to 400 foreign mercenaries from Europe and Canada are surrounded on the territory of Azovstal. The Kyiv regime forbids them to surrender under threat of being shot.

▪️High-precision air-launched missiles destroyed an ammunition factory in the Kiev region.

▪️Russian troops liberated citizens in Mariupol who were held captive by Ukrainians.

▪️Since the beginning of the special operation, 134 aircraft, 470 drones, 249 air defense systems, 2,290 tanks and armored vehicles, 254 MLRS, 992 field artillery pieces and mortars, 2,166 units of special military vehicles have been destroyed.
 
Huyu pimbi naona kaamua kuitoa kafara Ukraine mazima...

[emoji298]Zelensky: The elimination of Ukrainian soldiers in Mariupol would put an end to negotiations with Russia.

Hapa ending negotiations means he is also prepared if necessary to indeed fight to the last Ukrainian standing... West waendelee kuzituma tu hizo silaha.
Huyu jamaa sio mzalendo halisi wa Ukraine, lazima US wamepandikiza kitu ubongoni mwake, hata 'kolo' ambalo halijaenda shule haliwezi kua na maamuzi kama ya Zelensky. Jamaa ni mtupu kichwani kabisa for God's sake
 
Heheeee
Mtaongea lugha zote ila muhimu lengo la RUSSIA linaenda kufikiwa nshakuna kitakachotokea wakati jojia anapelekewa faya yalisemwa zaidi ya haya ila malengo yalifikiwa namaisha yanaendelea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sijaelewa.
Hoja yetu ilikuwa kuhusu Ukraine kumpigia magoti Urusi kuwa si sahihi kwa raisi wa Ukraine kwa hapa alipofikia, wewe ukasema ni sahihi, sasa kwnn umehama na kuingia katika malengo ya Urusi? Au unamaanisha akipiga magoti ni sahihi kwa Urusi bila kujali usahihi wake kwa raisi wa Ukraine?
 
The main thing about the course of the special operation in Ukraine on the morning of April 17.

• in Brovary, Kiev region, a munitions factory was destroyed by a package attack.

• Aviation destroyed 68 military installations of Ukraine, including illumination and guidance of the S-300, the Osa AKM missile system, six warehouses of rocket and artillery weapons, fuel and lubricants.

• a military convoy was destroyed on the march: more than 50 Ukrainian servicemen, seven infantry fighting vehicles and armored personnel carriers and 14 armored vehicles.

• 10 Ukrainian unmanned aerial vehicles shot down.
 
Russia had sent an ultimatum to the Office of the President of Ukraine that if the surrender of Azovstal was not agreed, the plant would be razed to the ground with vacume bombs. Everyone will be buried alive, and the choice of what to do is up to Zelensky.
Kazi ni kwake Mzigo Utue au la
Mimi Nashauri Mrusi Aache Huruma sana Ashushe kitu Bwana
 
Kama ni kukubali unyonge ilitakiwa pale mwanzoni kabisa wakati wameambiwa waweke silaha chini warudi nyumbani.

Wao kama nchi waliamua hapana, huyu mtu pamoja na kuwa ametuzidi na kila kitu hatutamgeuzia mgongo tumwachie nchi, tutamwangalia na kupigana naye.

Huo si Utoto ni maamuzi ya raisi na nchi nzima ikakubaliana naye. Kama wananchi wasingekubali wangemtoa madarakani raisi wao.

Ni sahihi wakifa wote maana walijua linalokuja kuwapata na wakaona lina unafuu kuliko hili unalopendekeza wewe.
Sawa MKUU
Acha izidi kunyesha
 
Wanacho cha kupoteza.

Roho zao na ardhi (sehemu) ya nchi yao. Thats a lot to loose man!

Mpk sasa hv kuna wakimbizi zaidi ya milioni nne kutoka ukraine, raia waliokufa ni maelfu, wanajeshi waliokufa ni maelfu, miundombinu iliyoharibiwa ya kiraia na kijeshi ni maelfu.

Endapo wataendelea na vita watapoteza maeneo mengi sana masahariki, kz na ks kuna possibility nchi yao ikabaki land locked. Idadi ya wakimbizi itaendelea kupanda halkadhalika vifo na majeruhi na hiyo sehemu waliyobaki nayo itaharibiwa vibaya. Wakiamua kusimamisha vita na kurudi mezani na kukubaliana na matakwa ya bwana putin hayo yanaweza kuepukika. Ni suala la kupiga mahesabu tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ajabu Anatokea Kikaza mmoja Toka Namtumbo Eti Russia Anachapika!!
Hivi wanajua Namna Inavyo Uma Kuitwa Mkimbizi
Yaani Unakimbia Kwako nakwenda Kuishi nchi ya Wenzenu kisa Ujinga wa mtu mmoja
 
Russia had sent an ultimatum to the Office of the President of Ukraine that if the surrender of Azovstal was not agreed, the plant would be razed to the ground with vacume bombs. Everyone will be buried alive, and the choice of what to do is up to Zelensky.
Ukitaka kujua Russia ana nguvu ya kijeshi, kabla ya kukushambulia anakwambia kabisa sehemu atakayo shambulia na silaha atakayotumia na anajua kabisa huwez ukamzuia muda wa kukutembezea kipigo ukifika.

Russia siyo Lesotho.
 
Japo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...

Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
Acha Wachapike kwa Ujinga wao
 
Japo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...

Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
Dah nimecheka sana asee
Ila umeongea ukweli acha wapelekewe MOTO
 
Sijaelewa.
Hoja yetu ilikuwa kuhusu Ukraine kumpigia magoti Urusi kuwa si sahihi kwa raisi wa Ukraine kwa hapa alipofikia, wewe ukasema ni sahihi, sasa kwnn umehama na kuingia katika malengo ya Urusi? Au unamaanisha akipiga magoti ni sahihi kwa Urusi bila kujali usahihi wake kwa raisi wa Ukraine?
Yaani MKUU mark haya maneno jamaa kafanya maamuzi yakijinga toka awali kwakweli
Kwasasa sidhanii kama atakaa mezani tena
Ila pia kama atakaa hakuna ubaya maana kadri OP inavyoendelea ndio watu wanazidi kufa
Maana tunajua tulipotoka kwamba tuna siku 50s toka OP ianze hatujui zambeleni itakuaje
Ila acha tuone !!!!!
 
hivi kama [emoji635][emoji635] anatawala kwa Siku 5 na [emoji1255][emoji1255] Siku 1. Hebu tueleze nn kimekwamisha hii vita hadi kupelekea ichukue muda mrefu .
Dogo anachapwa vibao ili aombe msamaha yaishe. Sasa analeta mbwembwe sababu kaona watu wa kumsaidia na kuamua ugomvi wapo, kinachofuata atapigwa ngumi ya jicho. Hapo ataona nyota atatulia, asipotulia atapigwa ngumi ya nyuma ya kichwa ubongo ucheze, ubongo ukicheza kuna mawili, kua kichaa au kufa.. chaguo ni lake.
 
Vita vya Russia nchini Ukraine vimedhihirisha kuwa taifa likiwa na silaha za nyuklia linakuwa salama dhidi ya sera ya Marekani na washirika wake ya kubadili tawala za nchi wanazozituhumu kwa uonevu na makosa ya kivita

Nchi zilizotuhumiwa na Marekani kwa uonevu, makosa ya kivita n.k. zilishambuliea.

Marekani imeenda vitani Iraq mara mbili..
Marekani imekuwa vitani Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20..
Marekani iliamua kuishambulia kwa mabomu Serbia..
Marekani iliingia kwa furaha kwenye kuishambulizi Libya kwa mabomu...
Marekani iliamua kuanzisha vita kamili kuishambulia Syria...

Miaka iliyopita, ilikuwa Marekani ikiituhumu serikali ya nchi fulani kwa makosa ya kivita na uonevu, hiyo ilikuwa ikimaanisha lazima nchi hiyo inayotuhumiwa inyeshelezewe kwa mvua za mabomu tena na tena kwenye miji yake yoote na hata kukaliwa kijeshi na majeshi ya uvamizi (Marekani na washirika wake).

Ila leo Russia imetuhumiwa na makosa ya kivita pamoja na uonevu dhidi ya Ukraine...lakini Serikali ya Biden ilipoulizwa kuhusu kwa nini majeshi ya Marekami yasiishambulie Russia, Jen Psaki akaufyata akidai sio ktk maslahi ya Marekani kuishambulia Russia🤣😂😇😇

Nchi nyinginezo zimeshtukia huo undumilakuwili wa sera ya Marekanj ya kubadili tawala za nchi nyinginezo, zimetambua kuwa sera hiyo inatumika kwa mataifa dhaifu na yasiyo na silaha za nyuklia


Screenshot_20220417-110056_Chrome.jpg
Screenshot_20220417-110302_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom