Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Send dem planes Mr Nowak, send dem!“They are harassing us. They are forcing us to send the planes, forcing us to intercept them,” Nowak said.
😂😂😂😂
Send dem planes Mr Nowak, send dem!“They are harassing us. They are forcing us to send the planes, forcing us to intercept them,” Nowak said.
Basi sawa waache kulalama sindano zinavopenya waendelee kuvumilia maana ndo fungu walilochagua ..Kama ni kukubali unyonge ilitakiwa pale mwanzoni kabisa wakati wameambiwa waweke silaha chini warudi nyumbani.
Wao kama nchi waliamua hapana, huyu mtu pamoja na kuwa ametuzidi na kila kitu hatutamgeuzia mgongo tumwachie nchi, tutamwangalia na kupigana naye.
Huo si Utoto ni maamuzi ya raisi na nchi nzima ikakubaliana naye. Kama wananchi wasingekubali wangemtoa madarakani raisi wao.
Ni sahihi wakifa wote maana walijua linalokuja kuwapata na wakaona lina unafuu kuliko hili unalopendekeza wewe.
Ni mbinafsi sana, anajua mwisho wa siku yeye atajificha hata Washington, ila ni raia wangapi watapokelewa US? Mpaka sasa katika wakimbizi zaidi ya milion 6, wamepokea wakimbizi hawazidi 10. Huyu rais ni laana kwenye karne hiii.Kuna hii clip ukiisikiliza utaona ka Zele yupo apo kama pazia bali yule mshauri wake mkuu ndiye anayesimamia show ya kisee*** namna hiii...
View attachment 2190683
Msikilize vizuri anamuita Zelensky ni Unprofessional and Stupid kwasabab tu katika kampen zake alideclare yuko against war... Back n 2019 hapo...
Ila kinachonishangaza zaidi ikawaje akawa Mshauri wake mkuu?? [emoji848][emoji848][emoji848]
Tusisahau pia huyu jamaa ashawah tangaza wazi kua Fan wa ISIS... Ukirejea nyuma kuna hii nishawah pia kuileta hapa jamaa akieleza namna gani watavom'provoke Russia into Full Scale war ndani ya Ukraine then iww ticket kwao kujiunga NATO...
View attachment 2190688
😄😄😄😄 Na haujui karibu wote wakidakwa huko wanadai wao Ni wapishi tu na sio wapiganaji.Hao ni askari binafsi waliojitolea kwenda huko kuisaidia Ukraine, hivyo hawapigani chini ya mwavuli wa NATO.
Jiji limependeza Sana kwa kweli,na hiki Ni kiashiria UKRAINE vita hii tunaishinda.[emoji34][emoji34][emoji34]
Nani kakwambia tutaishi milele Kufa tutakufa wote kwani ulimbiwa kuna mtu atabaki chini ya jua milele .....kaa pembeni kama umeishiwa hoja wanaumevtuko kazini .
Au hutaki hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2190772
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu,hivi Kuna ambae amebisha kwny hicho unachokisema?Russia ni sawa na debe tupu makelele meeengiii uwezo hakuna. Anasumbuliwa na kanchi kama Ukraine halafu eti apimane ubavu na NATO. Ridiculous...
Ndugu mbona na wewe unaanza kuwa na cheap mind kiasi hichi au NYAMIZI keshakuingizia zile AKILI ZAKE FINYUKurudi mezani na kumpigia magoti Urusi sio option yenye manufaa kwa raisi wa Ukraine
Vipi kuhusu wanajeshi wako uliowaambia tukapigane na sasa wamekufa?
Raia wako waliobeba silaha na sasa wamekufa?
Utawaambia raia waliobaki nini? Kuwa vifo vyao ni for nothing? Watakuelewa?, si tulikubaliana tunaingia vitani huku tukijua adui ni Urusi na ana mabomu makubwa makubwa? Tukakubali tufe tukitetea msimamo wetu? Iwaje leo ndugu zetu wamekufa halafu unabadilisha msimamo sababu ya maslahi ya uhai wako wewe? Uhai wako unathamani kuliko wengine waliosimama na wewe na kumkabili Urusi?
Akipiga magoti anaweza tengeneza uadui mkubwa na raia wake waliopoteza ndugu na rafiki kuliko akisimama na jeshi lake wakapigana mpaka mwisho.
Na hawezi kufanikiwa mkuu,mpk Sasa Russia anapiga propaganda huko mariupol lkn ukweli Ni Kwamba Ukraine inashinda Vita huko na wanajeshi wa Russia wametekwa kwa maelfu.Ulisikia wapi Ukraine kugawanyika kabla ya vita hii na wakati wa vita?
Kule mashariki ni Russia analazimisha tu kuimega Luhansk na Donetsk lakini bado hajafanikiwa.
Unaushikilia mji huku ukiwa chini ya ardhi huko na adui kaelekeza missiles huko anakwambia surrender au ufe .....
Mkuu umeona kuwa URUSI ni makatili au sio.Kwa maoni yangu Ukraine Hawana tena cha kupoteza. Waendelee kusimama na msimamo wao.
Unaona mbali Sana mkuu,hakika Russia atapigwa mno yaani mno.Chakula chenyewe Cha kuwalisha wanajeshi wake hana,sijui hio Vita ataipiganaje Sasa huyo Russia.Kama Ukraine anaweza kuishambulia miji ya Russia nabkuzamisha meli kubwa kabisa ya kivita basi Urusi uwezo wake wa kivita unakuzwa tu hana lolote.
Usalama wake wa anga ni mdogo sana na hapo NATO ndo wanazidi kumchora ili akijichanganya tu kurusha hivyo viji nyuklia vyake basi atasambaratishwa na ndo mwisho wa udikteta wake.
Na muda sio mrefu Ukraine anakomboa miji yake yote akianza na Mauripol, baada ya hapo anajiunga NATO maisha ya raia wa Ukraine yanaendelea uzuri kabisa.Ni kweli ndo maana mliukimbia mji mkuu Kiev kwasababu mission ilifeli vibaya mno.
Mpendwa, hapa tuko watu wazima. Mchezo uanojaribu tumeshaona mara nyingi.Ongezea na swali hili nikujibu vizuri!
Ni nchi gani ambako raia anaweza;
kama ni mwanaume Yuko huru kugeuzwa na kuingiliwa na mwanaume mwenzie na kutetewa na Katiba ya nchi!
Jibu la swali langu:Nchini kwangu hayo yote uliyotaja Pamoja na Hilo nililoongeza hakuna,labda baadhi ya nchi za EU na US yenyewe!
Msimamo upi?!Kwa maoni yangu Ukraine Hawana tena cha kupoteza. Waendelee kusimama na msimamo wao.
WA ukraine wa mashariki, mpaka huko Kiev.
Na hao askari binafsi kumbe walikuja na silaha zao etii na hata kama wamepewa na zellensky hizo silaha kumbe zellensky anatengenezea chumbani kwake ....NATO hawajawahi kumpa silaha aina yoyote ..........Hao ni askari binafsi waliojitolea kwenda huko kuisaidia Ukraine, hivyo hawapigani chini ya mwavuli wa NATO.
Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hiliPro NATO mmebaki na petty issues!Kila siku Imekuwa meli meli meli!Jamani au wakulima wameacha kukamata vifaru vya Russia?
Ukraine inabidi ijikakamue ipige tukio la maana Ili mpate habari ya kuruka nayo humu jamvin wiki nzima!
Nani aliyefanikiwa huko marekani juu ya hili unalolishadadia hapa.Unakimbia swali. Tuendelee ukijibu maswali yangu:
wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
Twambie ww unayejua maumivu yake!Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hili