Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Once Mariupol falls in the hands of Russian federation, Putin's goals will be close to be achieved!
Sure kuna jamaa nlimsikia anachambua hii ishu akasema huo mji umekua namapigano yamuda mrefu sana sababu huo mji nimuhimu sana
Nakuanguka kwahuo mji ndio kunaenda kuamua khatma ya hii OP SUUN or LETA ila acha tuone
Nandio maana nadhani jamaa wakadeal sana na huko kuliko hata KIEV
Ila mie hua muumini sana wakuuachia muda utoe majibu maana c waelewa kwamba nyakati hua hazidanganyi
 


School teachers from the south of Ukraine will be trained to work according to Russian standards.

As the head of the Crimea, Aksyonov, said, the issue is now being worked out - so that teachers from the Kherson, Zaporozhye, Kharkiv regions, as well as from the DPR and LPR, come to Crimea in the summer, where they will be assisted in the transition to Russian standards.
 
🇱🇹Annual inflation in Lithuania was 15.7 percent.

The data is provided by the Department of Statistics. We are talking about prices in March this year compared to March last year.

The growth of inflation is largely caused by the increase in prices for fuels and lubricants, thermal energy and electricity, gas, solid fuels, milk, cheese, eggs, bread and other products.
 
Huenda urusi isishinde hii vita,au ikashinda,vyovyote vile Ila nchi ambazo zimeichangia silaha Ukraine ni nyingi Sana zikiwemo zenye nguvu Kama Ujerumani,Ila bado urusi hajachangiwa chochote mpaka sasa,na kama kipo ni kiduchu Sana, mpaka baadhi ya nchi zimeishiwa silaha za kuchangia kama Ujerumani Russia ni taifa kubwa.
RUSSIA kushinda hii OP nisuala la WHEN ila sio suala lakutilia shaka
Yaani inyeshe mvua litoke JUA hii OP lazima RUSSO atashinda hatakama kushinda kwake inabidi UKRAINE woote wafe basi watakufa tuuuuu!!!!!
 
Screenshot_20220417-162049.png
 
Saudia yaendelea kumnanga Biden na Marekani na kujiweka mbali na sera za Marekani za kupangiana nchi/watu wa kushirikiana nao

MBS azungumza na Putin kwa simu, wajadiliana mikakati na mipango ya kuendeleza ushirikiano ktk nyanza mbalimbali kati ya Saudia na Russia. Pia marafiki hao walioshibana wamejadiliana maendeleo ya vita vya Ukraine.

MBS hataki Saudi ya sasa kupangiwa marafiki na Marekani.

Namuona Biden kanuna vibaya mno...

View attachment 2190692
View attachment 2190691
Wazee wa kutopokea simu
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweli
Nakubaliana na wewe chief!
 
Yani nimekaa zangu huku mkuranga najiwazia tu hivi hao jamaa waliojiweka kwenye mashimo wanasubiri kugeuzwa mishkaki humo humo na mother land Russia wanajisikiaje[emoji25][emoji25] dah mjomba putin rusha taulo tu mana utapiga hako kakiwanda huko sijui mariupol lakini mayowe utasikia hukoo washington Dc
NATO wameshajiandaa kutoa tamko la Putin ametumia Chemicals kwny kuwaua hao ma neo-nazis.
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweli
Nakubaliana na wewe chief!
 
Zile long ranger heavy bomber Tu-22M3 zimeonekana zikiwa zinazunguka angani kwny maeneo ya kiwanda walipojificha wale ma neo-nazi,sababu Muda wa kujisalimisha ulikwisha fika then hayo madude angani yako tayari kulipua kwa kutumia mabomu ya VACUUM.


Russian Tu-22 M3 Bombers are flying to Mariupol to strike at the positions of Azov in Azovstal
 
Sekeseke la vikwazo Warusi waanza kuukana uraia wao🤔
"We are not Russians." A number of Russian-born businessmen asked Forbes not to call them "Russian billionaires." In particular, these are Pavel Durov, Yuri Milner, Evgeny Shvidler. All of them were born and raised in Russia. But Telegram founder Durov left Russia many years ago and said he had no intention of returning. Investor Milner obtained Israeli citizenship in 1999 and has been living in California since 2014. And Abramovich's partner Shvidler became a US citizen in 1994. All these businessmen are on the sanctions list of the Russian Federation.

Screenshot_20220417-162312.png
 
Hujamsikia Jeo Biden kuhusu swala la Taiwan.
Taiwan ni kete muhimu sana ya USA dhidi ya China. Hawezi kuiacha iende kizembe. Ikiwa china itaamua kuivamia Taiwan kijeshi ili kuituliza basi atahitaji sana msaada ya Putin wa hali na mali.

Maoni yangu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
marekan lazima achonge ni kawaida kwe politics ila ni ngumu sn kuingilia kijeshi iwapo china itaivamia taiwan
 
Back
Top Bottom