Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

hawa team ukraine siku 3 za mwanzo walitupiga propaganda za kibabe sana, ilifikia hatua nikiingia kwenye kurasa yangu ya twitter nakutana zaidi na retweet za ukraine kuwadhibiti russia pamoja na sanctions za kufa mtu, nikaamua kumu unfollow maria sarungi na wengineo waliojificha kwa pro nato. huyu maria ndiye alikuwa akinijazia taarifa za ukraine na retweet zake kutoka kwa mabepari. siku hizi nikiichungulia account yake huu mgogoro ameupotezea kwa kiwango kikubwa sana. russia wanapiga wao tu kama mwalimu wa madrassa.
Wanalipwa kueneza propaganda. Hawafanyi bure zile kazi
 
Aaaaaaagh!
Huu ni uongo mkubwa, Ukraine hawawezi kuwapigia magoti Russia, sio Ukraine ninayoijua mimi, never, never!!!!
Hao Russia watafurushwa na majeshi ya Ukraine, baadae NATO wanaweza kuja kuongeza nguvu kuwafuata hao Russia mpaka viunga vya Moscow!
Russia ni Zimbabwe iliyochangamka!!!
Bro Russia unaizungumzia ni ipi? Hasa.
 
❗️Russian air defense shot down two MiG-29 fighters of the Ukrainian Air Force. The Russian Defense Ministry reported on the progress of the special operation.

🔺During the day, high-precision missiles in the area of the settlements of Barvenkovo and Dobropolye destroyed fuel and ammunition depots

🔺Operational-tactical aviation destroyed 44 military facilities of Ukraine. Rocket troops and artillery defeated 113 targets.

🔺In total, since the beginning of the special operation, 136 aircraft, 471 drones, 249 air defense systems, 2308 tanks and armored vehicles, 254 MLRS, 998 field artillery pieces and mortars, as well as 2171 units of special military vehicles have been destroyed.
 
In Mariupol, the commander of the 36th Marine Brigade of the Armed Forces of Ukraine Baranyuk was found dead.
It was eliminated during an attempt to break through, according to the People's Militia of the DPR.

Earlier, more than a thousand Marines of the 36th Brigade surrendered.
 
Naona taratibu Russia anabadilika kutoka special operation kwenda kichapo kamili. Toka juz mpaka sasa Ukraine wanapigika vibaya, mpaka kiev alipoondoka amerudi kuwachapa.
Ukicheka na Nyani utavuna mabua, alisikika mswahili mmoja akiongea pale Kremlin... [emoji1787]

Mara ghafla mzaramo mwingine kutoka viunga vya Minsk kule Belarus akaongezea kua mtoto akililia wembe mpatie, akijikata shauri ake [emoji119]
 
Habari mbaya sana

Screenshot_20220417-210216.png
 
@Tsh kama hii habari itakua naukweli unaona
Nlitegemea itafikia huku kwa huyu mpuuzi
Ila kama kuna ukweli na huyo RUSSIA kajibu hilo nna uhakika jamaa mpaka wamchomoe ndio watatulia
RAIS wahovyo sana huyu kama hizi habari zitakua naukweli hata hao FINI na SWED nao watafikiria marambili ama watakua wapuuzi kama Elenski
Jamaa huyu anatakiwa auliwe hatakama VITA itaisha kwanamna gani
Sababu ilikua wazi kwamba hawezi kupambana na RUSSIA ilitakiwa awe tu NAM ingemkost nini !!!??
mbna povu jingi pro🇷🇺🇷🇺 . hasira za kuzamishwa ngalawa yenu mnatamani rais wa🇺🇦🇺🇦 auawe. Hafi huyo kwa taarifa yako .
Mlipeleka msafara wa km 60 kwa ajiri yake na bado akawafutilia mbali . Hamumuwezi huyo 💪💪💪
 
mbna povu jingi pro[emoji635][emoji635] . hasira za kuzamishwa ngalawa yenu mnatamani rais wa[emoji1255][emoji1255] auawe. Hafi huyo kwa taarifa yako .
Mlipeleka msafara wa km 60 kwa ajiri yake na bado akawafutilia mbali . Hamumuwezi huyo [emoji123][emoji123][emoji123]

Bro nikupeleke kidimbwi ukapate heineken upunguze maumivu, ukweli haufichiki utafichwa mwisho wa siku utaonekana kubali Ukraine hali ni mbaya sana bora hata zaman kilichobaki Russia akidhibiti vizuri uingizwaji wa silaha ukraine bhs hachukui round uyo comedy
 
Bro nikupeleke kidimbwi ukapate heineken upunguze maumivu, ukweli haufichiki utafichwa mwisho wa siku utaonekana kubali Ukraine hali ni mbaya sana bora hata zaman kilichobaki Russia akidhibiti vizuri uingizwaji wa silaha ukraine bhs hachukui round uyo comedy
😂😂😂🙏🙏🙏 asante kwa ofa yako sister🙏🙏. Ubarikiwe . vp pasaka imeendaje lakn ?
 
Si alisema awezi kutoa hata mita moja ya eneo lake kwa Warusi,sasa kimemsibu nini ?.ngoja tuongeze kichapo ili aseme Anaongeza Donesk na luhansk
pro🇷🇺🇷🇺 linapokuja linapoletwa jambo linalowafurahisha , huwa mnafurahi balaa 😂😂😂 haijalishi habari hiyo imeletwa na nani .
 
🤣🤣🤣🤣 kwenye ranks zote huwa zinatumiwa kwa ajili ya kumpamba yule chizi wa jua linakozama... Ingawa in reality kapigwa parefu mno...

Mfano hii GDP... GDP rank inayotumiwa ni Nominal ambayo kwenye hii yaonesha akana kwamba US ndio yupo on top. Ila ukija kwenye GDP per PPP... Yani Purchasing Power Parity China yupo on top. View attachment 2190962Ila kwa sabab ni list ambayo US hayupo top huezi kuikuta inatumika 🤣🤣🤣 inabaki ile GDP kwa nominal ilhali kiuhalisia namna njema ya kupima Uchumi vizuri kwa Macro factor ni kupitia GDP kwa PPP... View attachment 2190992Sasa ndio kama Russia na US kwenye issue ya Military Power ranking... 🤣🤣🤣 Russia huwa anapachikwa number 2 in Millitary Power na Number 1 ahead of US in term of Nuclear Power duniani. Ila ukweli wake wanaufaham vizuri tu... Kiasi cha kuchokozwa yeye ni inaitwa VITA YA DUNIA 🤔 sasa how come kupigana na ki-nchi kimoja kinaitwa Russia iwe VITA ya dunia.
Ranking ni za wamagharibu
 
[emoji1][emoji1] Hahah NATO wameshaelewa Russia anachokitaka lkn kumpa anachokitaka ndio hawawezi.Ndege za Russia zinawazingua NATO makusudi ili wajichanganye waitungue hata 1 tu ili 'the duma state's ipate sababu ya kuishughulikia Poland na NATO yake.
Russia kasha pima Nato kwamba anawaweza vuzri, siraha zote wamezitoa kumsaidia Ukuraini ila wamepata mafanikio kdgo anaweza kupiga Poland vizuri tu bila shida, kwahiyo ebu wajichanganye wadugue ndege yake hata moja tu.
 
Back
Top Bottom