Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza anga lote la Ukraine lipo chini ya NATO, kwa teknolojia gani ya kijeshi waliyokuwa nayo Urusi mpaka waweze kuishambulia Kiev? Hivi huyu jamaa anatuchukiliaje sisi?
Uongo mwingine bwana
Pamoja na support ya Nato, ukraine inaangamia,ila Zelensk kakubali taifa lake liwe uwanja wa majaribio ya silaha za mabeberu wa ulaya na marekani 🤔
 
Mkuu hapa kuna watu ukiwakuta kule kwenye Jukwaa la Siasa wanavyotokwa mapovu dhidi ya 'uonevu' wa CCM na ukija hapa kwa huu uzi unakuta mtu yule yule huku anashabikia uonevu wa Putin unabaki unajiuliza,ndiyo huyu huyu mtu mmoja anaeshabikia huu uonevu au ni pacha wake.Ukrain wamesimama na wamehesabiwa na vizazi vyao vitawakumbuka na kuendeleza kutetea Taifa lao siku zote.

IMG_2492.jpg
 
Namwona RUSSIA no6 hapo afu kuna mtu anakwambia masikini[emoji28]
Yah Mzee wao Wana data zao nyingi kuliko hizo data IMF na World Bank walizotoa...

Huyo ndio mswahili ase [emoji1787]

Russia GDP Nominal #11th
Russia GDP by PPP #6th kama hivo, that's why ka wakumbuka huko nyuma tulikuwa tukiwauliza hawa wenzetu hiyo GDP mnayoikomalia ni nini, mnaizungumzia katika mlengwa upi...

Katika Uchumi kuna Macro na Micro, GDP iko upande upi, GDP ni ndio economy yenyewe au ni moja katika factor ama indictor za uchumi? Haya yote majibu yake hawakutoa wakabaki wanakomaa na California Vs Russia...

Ogopa sana mtu anayejua maama ya uchumi ni kiasi cha ela alichonacho mfukoni... [emoji847][emoji119] Kiasi kwamba ukifika mwisho w mwezi anakwambia uchumi wake uko vizuri... Katikati ya mwezi atakujuza uchumi umeyumba [emoji2958]
 
Point, kwanza naomba radhi kuna sehemu nilikujibu shombo am sorry. Vita bila kupika propaganda nzuri ina matokeo mabaya sana na yakuhuzunisha. Nakupa mfano, wakati jwtz wamevifurusha vikosi vya amini jeshi lilipewa majukumu mapya ya kuingia Uganda na kumn'goa idd Amini, baada vikosi kushumbulia na ketaka mji wa mbalala walilipa kisasi najua hapa umenielewa. Bro vifo vingine vya raia vya raia vinaweza kutokana na visasi, kwa mazingira yanavyoonekana jeshi na Raia wote wako vitani kulinda nchi hapo vikosi vya russia vinapata changamoto kusonga mbele, Kuna baadhi ya convoy zilikuwa zinazuiwa na raia. Kama wewe ni mwanajeshi umetumwa kwenye hii vita kudead ni njenje tu, na unaweza kupata tatizo la kisaikolojia maana unaweza kupewa order kushambulia raia. Kuna sauti za
makamanda wa Russia wanatoa oder ( kill them for the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala sake).
Umesameheka MKUU
Nadhani huko juu nilikujibu yakwamba RAIA anaweza akauliwa kwabahati mbaya ama mazingira(hapa kwenye mazingira ndio inaingia hoja yako unayoisema hapo juu)
Kuna mazingira ikibidi raia wafe wanakufa tuu nahuo ndio ukweli ingawaje nimchungu
Mfano kama hao raia uliosema walizuia wanajeshi kina point inafikia kwamakusudi kabisa munakula shaba namaisha yanaendelea maana pengine wametumiwa na maadui kama mtego dhidi yenu
Au hawajatumiwa na adui ila kuwazuia kwao kutafanya mupoteze jambo fulani huko mbele
Nadhani unanielewa
 
@Tsh kama hii habari itakua naukweli unaona
Nlitegemea itafikia huku kwa huyu mpuuzi
Ila kama kuna ukweli na huyo RUSSIA kajibu hilo nna uhakika jamaa mpaka wamchomoe ndio watatulia
RAIS wahovyo sana huyu kama hizi habari zitakua naukweli hata hao FINI na SWED nao watafikiria marambili ama watakua wapuuzi kama Elenski
Jamaa huyu anatakiwa auliwe hatakama VITA itaisha kwanamna gani
Sababu ilikua wazi kwamba hawezi kupambana na RUSSIA ilitakiwa awe tu NAM ingemkost nini !!!??
 
Andika Kiswahili, usijaribu lugha ya kigeni. (Ulitaka kuandika "uncouth", hakuna "uncooth"). Nahisi umekopi kwa psychopaths from the west, sawa na kile ulichowahi kuleta kuhusu "Khazarian Mafia", ulitegemea vichaa wa Marekani pekee.
Nimesema dialogue closed.
 
US allies around the world refuse to impose sanctions on Russia.

According to The Economist, India has become the most uncomfortable country in this regard. The publication notes that at a recent online meeting with Biden, Modi, instead of blaming Russia for what happened in Bucha, called for an independent investigation.

In Asia, the Middle East, Africa and Latin America, even long-time allies and satellites of the United States are rejecting their requests for sanctions against Russia, or even criticism of it, the publication says.

The author of the article adds that in the Middle East and Turkey, the position of the West in relation to Ukraine is considered hypocritical and self-serving. Especially considering the US war in Iraq in 2003 and NATO bombings in Libya in 2011.

In addition, he draws attention to the different approach to accepting refugees from Ukraine and Syria in Europe.
Galip Sr View attachment 2191007
US na shost zake hii OP inayoendelea hapo KIEV imewaacha UCHI sanaa
RUSSIA kamatia hapo hapo yaaani !!!!!
 
Nyiye hata mkiulizwa mafanikio ya Russia katika hii vita mnaishia kutuonyesha majengo yaliyoharibiwa,tukikuulizeni lengo hasa la Putin kuvamia Ukraine lilikuwa ni hilo la kuharibu majengo? Kama ni hilo basi amefanikiwa lakini kama malengo yake yalikuwa ni mengine,basi bado anacheza ngoma ya lizombe
A pointless comment not worth to respond
 
Sikushughulika na maswala ya Bucha kwa sababu nlijua propaganda kazini. Ukweli wa kwamba Urusi anazingatia casualties za civilian ameusema Putin mwenyewe pale aliposema watu wengi wanauliza operesheni haiwezi kumalizwa haraka akasema inaweza tatizo isipokuwa kinachokwamisha ni casualties.

  • Urusi mwanzoni walitoa mpk deadline kwa watu kuondoka maeneo ambayo wangekuja kuyataget badae. Wakapunguza mapigano.
  • wakatengeneza nafasi za korido za kibinaadamu kuruhusu watu waondoke meneo hatarishi
  • wanatoa msaada wa vyakula na dawa kwa raia mpk wanajeshi waliojisalimisha wa ukr

Inatosha kwangu kusema russia wanazingatia kupunguza human/civilian casualties

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unajua Triga umemfukuza T14 amata humu jamvini kwa nondo zako.
Tatizo T 14 amata ni much know.
 

Fighting ongoing in Mariupol: AJ correspondent​

Fighting in Mariupol was still ongoing according to the Telegram channel of the Azov regiment, Al Jazeera’s Hoda Abdel-Hamid reported from the western Ukrainian city of Lviv.


“They [Azov] were saying that a paramedic had died earlier in the day now rom From what we understand, the number of Ukrainian forces along with members of this Azov regiment are holed up in a the Azov steel factory which is a bit south of the city,” she added.

“The Russians are surrounding them. It is a very difficult battle.”

Lazima Russia wawaogobe hawa Azov
 
Aaaaaaagh!
Huu ni uongo mkubwa, Ukraine hawawezi kuwapigia magoti Russia, sio Ukraine ninayoijua mimi, never, never!!!!
Hao Russia watafurushwa na majeshi ya Ukraine, baadae NATO wanaweza kuja kuongeza nguvu kuwafuata hao Russia mpaka viunga vya Moscow!
Russia ni Zimbabwe iliyochangamka!!!
Wewe umechelewa huu uzi
 
hawa team ukraine siku 3 za mwanzo walitupiga propaganda za kibabe sana, ilifikia hatua nikiingia kwenye kurasa yangu ya twitter nakutana zaidi na retweet za ukraine kuwadhibiti russia pamoja na sanctions za kufa mtu, nikaamua kumu unfollow maria sarungi na wengineo waliojificha kwa pro nato. huyu maria ndiye alikuwa akinijazia taarifa za ukraine na retweet zake kutoka kwa mabepari. siku hizi nikiichungulia account yake huu mgogoro ameupotezea kwa kiwango kikubwa sana. russia wanapiga wao tu kama mwalimu wa madrassa.
 
Back
Top Bottom