triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Mkuu Tsh unaona jamaa wanakubali moja baada ya jingine. Lkn wanakubali baada ya kupigwa, ujinga. Kama ni kukaza wakaze mwanzo mwisho sio wanakaza alaf wanaachia na kupigwa washapigwa!
Mwanzoni walisema hawako tyr kuachia hata sq inch 1 ya territory ya Ukr. Leo wanakubali kuiachia Crimea.
1. Washakubali kuwa hawatojiunga NATO - Mwanzoni walisema watajiunga lzm
2. Wamekubali kuiachia crimea
3. Watakubali kuziachia dpr na lpr na maeneo zaidi lzm watayaachia mf mariupol
4. Watakubali kuwa neutral
5. Watakubali kukiondoa kitengo cha azov kwenye jeshi lao
6. Watakubali jeshi lao liwe monitored kutokea Kremlin
Watakubali
7. Watakubali kutokuhost nuklia weapons za wamagharibi na baadhi ya silaha na kukata uhusiano wa kijeshi na wamagharibi
8...
Lkn ni baada ya kupigwa. Sasa km kukubali watakubali, kwa nn wasikjbali ss hv wajipunguzie maumivu yasolazima!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app