Kwamba Russia hana pengine pakuuza!?
Russia kajenga uaminifu mkubwa kwa mataifa mengi duniani. Vita hivi vimemfanya aonekane kimbilio la mataifa mengi yaliyochoshwa na ubabe wa mashoga.
Nani alitegemea Saudia anaweza kumkatalia jambo mmarekani? Kitendo cha kumwambia asimchagulie marafiki,ni mabadiliko makubwa sana. Usishangae kesho kusikia S400 zinatua Riyaadh. Ni baada ya yale machuma chuma ya Marekani kuwa hayana kazi. Huuthy wanashambulia kila wanapojisikia.
Russia kuendelea kuwasambazia gesi na mafuta waliomuwekea vikwazo,kumemjengea heshima. Wakati magharibi kuiba kimabavu mali za matajiri wa Russia kumewaonesha walivyo na wivu wa kike. Wawekezaji wengi wataogopa kuwekeza kwenye nchi hizo. Kwakuhofia kudhulumiwa. Na nchi nyingi zitafanya biashara na Russia kwakuwa hata wakigombana biashara zao hazitahusika
Sent from my SM-G5500 using
JamiiForums mobile app