Utegemezi kwa nishati ya 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 hilo halina ubishi kuwa jamaa wanategemea sana nishati yake. Ninachokisema Mimi ni kuwa lazma watatafuta njia mbadala ya kuepukana na nishati yake . japokuwa itachukua miaka mingi lakini inawezekana huko mbeleni .
Hata Putin juzi kwenye hotuba yake amesema pengo la nishati ya 🇷🇺🇷🇺 kwa sasa halizibiki ladda HAPO BAADAE .
Labda nikuulize kitu . hiyo nishati inayochimbwa iko siku miaka ya mbeleni itakuja kuisha. Unataka kusema na ulaya yote shughuli zao zitasimama kwa kuwa 🇷🇺🇷🇺 kamaliza malighafi yake ?.
Mkuu kuna kitu nadhani bado hujakijua
Ukraine imesema inataka kujiunga na NATO lakini kumbuka kuna nchi zikishajiunga NATO siku nyuma ambazo Russia alisema zinatakiwa ziwe neutral, hivi umeshajiuliza kwanini Russia hakuanzisha Vita kipindi hicho????
Kinachoonekana urusi ikishindwa kuingia kipindi kila kuzuia zile nchi za zamani zilizokuwa USSR zisijiunge na NATO ni Kwa kuwa urusi ilikuwa bado hajafikia malengo yake ya kuangusha uchumi wa west na marekani,
Kiufupi ni kuwa Vita iliyopo sasa ni Kati ya west country+ USA dhidi ya Asian,
Asians wanataka kuiondoa west na USA kwenye dominance ya uchumi, kijeshi na technology,
Ndiyo maana nakuambia hii Vita ni mwanzo tu Ila kuna mengi yanakuja
Urusi = silaha/ technology
China = viwanda/technology
India = medicine/technology
Asia = gas,Oli/ technology
Asia wakifanikiwa hapo ulaya na America hawana Chao, watazidiwa sokoni Kwa kuwa nchi za Asia zinatumia resources zao kutengeneza vitu, wakati ulaya itabidi inunue resources ili watengeneze vitu
Kwa hiyo moja Kwa moja bidhaa za ulaya zitakosa soko Kwa kuwa na bei kubwa kulinganisha na bidhaa za Asian, ingawa zinalingana ubora