Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado sijamuelewa kamanda Putin.

Chanzo cha mgogoro ni Ukraine kutaka kujiunga na NATO.

Sasa majirani wengine wawili wa Urusi yaani Sweden na Finland nao wamenuia kujiunga na NATO.Sasa je Putin ataanza vita nyingine ama?
Tumpe muda MKUU naamini PUT IN wanajua kipi wanafanya nanini wanatakiwa kukifanya nakwawakati gani wakifanye
Hao FINI na SWED hawatajiunga na NATO hiki kipigo walikua wanatumiwa watu salamu !!!
 
Mpendwa, hapa tuko watu wazima. Mchezo uanojaribu tumeshaona mara nyingi.
Huna jibu au hutaki kujibu hivyo unajaribu kukimbia kwa kuleta maswali tofauti kuliko jibu. Kweli tumeshaona mara nyingi, mbini ambao huwezi kumwamsha yeyote.
Tafadhali jibu maswali usikimbie:
wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
Bora niishi nchi inayo kosa hayo kuliko KUISHI nchi yenye hayo na kuingiliana kinyume na maumbile katiba hiyohiyo I amtetea mtendwaji na mtendaji...kaishi huko kaka ukafirimbwe vizuri Kwa uhuru.
 
The world is entering a new era of the Cold War because of the situation around Ukraine.

This was stated by the official representative of the President of Turkey Ibrahim Kalin.

We need to prepare for the impact that the "new cold war" will have in many areas, from food and energy to cybersecurity, he said.

At the same time, Turkey will continue to help search for a compromise between Russia and Ukraine.
 
Kwa namna shughuli za kijeshi zinavyoendeshwa kwa umakini mkubwa hasahasa linapokuja swala la nyuklia ni vigumu kuamini kama wanaweza kufanya blunder (miscalculation) kubwa kiasi hiko.

Usifikiri macho na masikio ya jeshi la urusi yapo yote kwenye hii vita kiasi cha 'kushangaa na kujiuliza nini kimetokea' pale shambulio kama hilo likitokea.

Hakuna swala la kumshambulia urusi kwa ghafla. Kuna intelijensia inafanya kazi saa 24 kila kona ya dunia kuanzia madouble, matriple agents, sleeper cells, zipo satellite zinazorekodi movement NATO kila mahali achilia mbali drones, communication interceptions etc. NATO pia wanafanya hivyo kwa mahasimu wao.
Kwa yeyote kbl hujaanza kushambulia mwenzako tyr kashajua. Msamiati wa 'ghafla' haupo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
bhana wee nakumbuka enz zile embas zipo karib karib nikawa nawaza hawa jamaa watakua wanadukuana hapa sio kitoto na mpka sas hiv ukipit nje pale jamaa huwaele elew yaaan .siom gar sio watu yan sielewag wale jamaa pale salenda
 
The main thing about the special operation of Turkey:

- Turkish special forces units, supported by artillery and UAVs, landed in the areas of Metina, Zap and Avashin in the province of Dahuk in northern Iraq;

- the positions of the Kurdistan Workers' Party (PKK) were hit by F-16 aircraft;

- the head of the Turkish Foreign Ministry said: "If we see a fire in a neighboring country, we come to put it out";

- Defense Minister Hulusi Akar: “The objectives of the first stage of the special operation have been achieved. Unlike previous operations, this one will be long, as Turkey will not stop until the last terrorist is killed”;

- on Turkish television it is said that the territories on the Sinjar-Mosul border may be possible final targets;

- Bot farms started working in social networks, talking about "Great Turkey" with part of the territories of Iraq, Syria and Greece;

- The official authorities of Iraq did not comment on the actions of the Turkish Armed Forces.
Galip Sr
20220417_182244.png
 
Mkuu Una hoja nzuri lakini angalia Kwa mapana yake, ulaya wakitegemea gas kutoka nchi nyingine maana yake kuwa itabidi wanunue Kwa bei kubwa kuliko wanayoipata sasa kutoka urusi, ila kuna tatizo litakuja kujitokeza nalo ni kutokana na malighafi wananunua Kwa bei kubwa hii inamaanisha bidhaa zao zutakuwa bei juu, kibaya zaidi uchina atakuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi yeyote duniani, pili bidhaa za ubora mmoja lakini sokoni bidhaa za mchina zitauza kuliko ulaya, pili hiyo ni sehemu moja tu, lakini chukua Kwa ujumla wake, wanataka kutengeneza magari Chuma wanapata wapi, wanahitaji chakula kinatoka wapi? Tatizo ulaya ina viwanda vingi lakini hawana resources za kuendeshea hivyo viwanda hapa ndipo tatizo litakapokuja, kutokana na uchina kuwa na uchumi mkubwa anaweza akapandisha bei ya resources ikasababisha nchi za ulaya kushindwa kununua au wakinunua gharama za uzalishaji zitasababisha bidhaa zao zisinunukike Kwa kuwa ghali sana
ndio mana hii ishu otaisha wakubwa wakikaa mezan wakubaliane bipolar
 
nikusaidie tu utegemez wa nishat unahitajika nch nying zinazoendelea.ndio mana jana putin kasema west wanaweza kujitegemea kinishat miaka michsche ijayo cha msing wao waelekeze nguv masoko mapya kwa wenye uhitaji kama asia na mide east na africA.jerman watawez kuwa na solar magar ya umeme sawa.sisi africa je tutaweza? ukisema atabaka na nishat yake yn jad sisi tukatae kununua mafuta yake?au una gar la umeme

Solar bado ni kipipi kwa ulaya jua ni adim snaa kule kwa wenzetu.
 
Kilio cha ajabu kidogo. Hakuna askari wa Kirusi aliyeshambuliwa katika Urusi.
Hakuna aliyewaandaa wanajeshi wa Ukraine kushambulia Urusi.
Wanajeshi wote 20,000 wa Urusi walikufa wangekuwa hai kama wangebaki katika nchi yao.
Wanachofanya Waukraine huitwa KUJITETEA ambayo ni haki ya kila mtu..
Au nimekosa?
Hizo takwimu za wanajeshi 20000 umezitoa wapi?
 
Hizo takwimu za wanajeshi 20000 umezitoa wapi?
Ni hesabu ya Ukraine. Kama kila habari za aina hii, ina propaganda. Kwa hiyo si ya uhakika sana. HAkika hao 1500 au nini waliotajwa na Urusi si kweli. (maana hata kwenye kuzama kwa Moscow hakuna taarifa hata ya kifo 1 - ambayo haina uwezekano mkubwa wakati baruti na roketzi ndani ya meli zinalipua).
Marekani nilisoma wanakadiria zaidi 10-12000 vifo upande wa Urusi.

Kwa vyovyote: kama wangebaki nyumbani na kufanya kazi yao halali: Kulinda na kutetea nchi yao - wote wangekuwa hai.
 
Bora niishi nchi inayo kosa hayo kuliko KUISHI nchi yenye hayo na kuingiliana kinyume na maumbile katiba hiyohiyo I amtetea mtendwaji na mtendaji...kaishi huko kaka ukafirimbwe vizuri Kwa uhuru.
Hivi katika maisha yako hujawahi kupiga puli!?🤔🤔🤔. Kama umewahi kwanini !?. Je unatofauti gani na shoga !?.
Wataalamu wa saikolojia wanasema mtu anayepiga masturbation huwa anakuwa na jinsia mbele kwa wakati mmoja.😂😂😂😂.
 
Duh....yaani bado mpaka Sasa upo kwenye manowari?! Wenyewe wameshasahau wewe bado umeshikilia hoja😁😁😂😂
Putin analia hadi leo (na kufoka). Halafu hakika hakuna aliyesahau tukio (isipokuwa watoto wa Ubongo wanaopenda kuchezea propaganda..). Hakika kila nahodha Mrusi atapima kila siku mara kadhaa kama umbali wake na pwani unatosha!
 
Daaah 😄😄😄😄😄 wewe mbona kuna mambo mengi huyajui????

Kweli marekani akifilisika urusi itaporomoka?????

Hebu niambie nje ya marekani kununua hiyo gas kipi kingine ambacho urusi inaitegemea marekani????

Haitokaa mafuta ya urusi yakakosa soko Kwa sababu ni hutaji la dunia nzima,
Fungua fikra vizuri , 🇺🇸🇺🇸 akidondoka hata hao Europe ambao ni wateja wa nishati ya 🇷🇺🇷🇺 na wao automatically wataanguka . hiyo itapelekea uchumi wa 🇷🇺🇷🇺 kuyumba .
Harafu nawashangaa mnaokaza kuwa 🇷🇺🇷🇺 anauza 🌍 nzima nishati yake . Mfano mdogo tu hapa Tanzania mbona mafuta (petrol na ya kula) yapo bei juu na tunaambiwa 🇷🇺🇷🇺 ndo mzalishaji mkuu mbona haji kutuuzia huku ?. Mnasema anauza 🌍 nzima ipi hiyo ?.
 
Hivi katika maisha yako hujawahi kupiga puli!?🤔🤔🤔. Kama umewahi kwanini !?. Je unatofauti gani na shoga !?.
Wataalamu wa saikolojia wanasema mtu anayepiga masturbation huwa anakuwa na jinsia mbele kwa wakati mmoja.😂😂😂😂.
Mkuu kama hutojali achana na hizi mada za ushoga sijui puli.
 
Mkuu kama hutojali achana na hizi mada za ushoga sijui puli.
🙏🙏🙏 . hawa pro🇷🇺🇷🇺 wengi wanafiki humu. Wanajifanya kuupinga na kuukataa ushoga kwa kusingizia 🇺🇸🇺🇸 ndo ameleta hayo mambo . Nlitaka nimuonyeshe kuwa ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine tu mfano .
Masturbation. Prostitutions nk.
Huwezi kusema unapiga vita ushoga huku ukiwaacha Malaya wanajiuza mitaani.
Huwezi kusema unapinga ushoga huku ukiacha watu wananunua vifaa vya kupigia masturbation .
Dhambi ya ushoga ipingwe kama dhambi zingine tuache unafiki.
 
🙏🙏🙏 . hawa pro🇷🇺🇷🇺 wengi wanafiki humu. Wanajifanya kuupinga na kuukataa ushoga kwa kusingizia 🇺🇸🇺🇸 ndo ameleta hayo mambo . Nlitaka nimuonyeshe kuwa ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine tu mfano .
Masturbation. Prostitutions nk.
Huwezi kusema unapiga vita ushoga huku ukiwaacha Malaya wanajiuza mitaani.
Huwezi kusema unapinga ushoga huku ukiacha watu wananunua vifaa vya kupigia masturbation .
Dhambi ya ushoga ipingwe kama dhambi zingine tuache unafiki.
Achana nayo tu hiyo topic sababu hoja zake hazina hata uhusiano na kinachotufanya tuingie kwenye hii mada.
 
Back
Top Bottom