Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani nchi kama Beralus, Russia ajiandae kuivamia tu, kama anaamini kuzimia nchi jirani ni suluhiso la usalama wake...

Yaani Pro Russia si wafatiliaji au wasomaji... Yaani Russia anaogopa sana nchi za Kidemokrasia kuwa jirani yake...

Syria ni utawala wa ukoo mmoja tu, so hili haliepukiki kuwa lazima majority watashinda tu...
Saudia arabia pia ni utawala wa ukoo mmoja. Point yak sijui ni ipi.

Ni kama US anavyoogopa nchi za kijamaa zilizojirani yake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hao wanajeshi 20,000 umewatoa chanzo kipi cha habari cha kuaminika ?punguza propaganda za kipuuzi hivi unadhani kuuwa wanajeshi 20000 ni mchezo sio?
[emoji23][emoji23] Russia tu wanaotembeza kichapo kila uchao takwim za idadi ya Vifo kwa upande wa Ukraine wanasema hivi sasa ni 23k+ ambayo ni kama wastani wa 440 hivi kwa siku.

Hao walituletea data za vifo vya wanajeshi 19k toka 14th March maana ake ni wastan karibu wa wanajesh 1300 kwa siku. Sasa kwa hiyo rate maana ake ni vifo vya wanajeshi 69k hadi sasa. Takwim ambazo hata mtoto wa darasa la pili ukimpa anazigomea.

Ilisemwa na watu kua "A wise man makes his own decisions, an Ignorant man follows public opinions" pia "While Wise men talk because they have something to say, Fools talks because they have to say something."

Road has speed limit, bank has money limit, exam has time limit but thinking has no limit. You can't limit a thinking af mtu ategemee ku'achieve big... NEVER

Sasa hawa wenzetu wanajitia Upofu hadi unashangaa... na ile lack of curiosity ndio kabisa inawafanya nje waonekane kama Mazazwa flan hivi..
 
Huwezi kufanisha puli na ushoga wewe, msitake kulete upuuzi nchini kwetu. Yaani mwanao wa kiume alale na mtoto wa kiume mwenzie na kumpa matako, huku akisema "i love you baby"!! We unaona hicho ni kitu cha kawaida? Hilo kosa la kupeana matako adhabu yake inatakiwa kua kifo tu.
😂😂😂 uzuri Mungu hakutenga dhambi ndogo na kubwa !. Nakukumbusha anayehukumu ni Mungu. Na kingine ni kuwa mapenzi yanayoruhusiwa ni ya mume na mke tu! . tena walioruhusiwa kisheria na kidini.
Wewe unaetumia mkono kujiridhisha. Na wenzako wanaofanya mapenzi kwa jinsia moja YOU ARE THE SAME.😂😂
 
[emoji120][emoji120][emoji120] . umenipata point yangu mkuu. Na Mimi hicho ndo nacho waeleza humu watu kuwa [emoji631][emoji631] na Europe wataja kuachana na mambo ya mafuta na gesi .
Kumbuka engine ya kwanza ya treni ilikuwa inatumia nishati ya Kuni( magogo). Wakai modify ikawa inatumia mafuta, wakai modify inakutumka gesi . mpaka Leo hii si unaona treni za umeme? . mzungu achana nae kabisa .
Kuhusu Africa hujasikia ya gari la umeme la masud kipanya ?
Unaangalia mambo kutoka upande mmoja.

EU wakifikia kupata mbadala wa energy za urusi urusi naye atafikia mbadala wa energy zake zimuendeshee uchumi wake. Au we unafikiri Urusi ataendelea kutegemea mauzo ya gesi na mafuta milele amina!?

Ndivyo ilivyo. Unaposukuma kete mwenzako naye anasukuma. Usifikiri kuna siku utakuwa mkubwa umpige yule mkubwa anayekuonea kwa sababu unapokua wewe na yeye anakua.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hao wanajeshi 20,000 umewatoa chanzo kipi cha habari cha kuaminika ?punguza propaganda za kipuuzi hivi unadhani kuuwa wanajeshi 20000 ni mchezo sio?
Nilisema juu ni kadirio la Ukraine waliotangaza mara kadhaa. Marekani walikadiria hadharani kama nusu.
Warusi walitaja 1500 nikikumbuka.
Hakuna mahesabu ya kuaminika katika vita hii.
Bila shaka hata kuua 10 si mchezo, tulivyoona ni kazi gumu na chafu.
 
Nimenote point zako muhimu lakini ntatofautiana na wewe kwenye kipengere cha kupunguza casaulities ambao ni civilian, vita ina sheri zake na askari wanaopelekwa front wanapewa rule of engagement. Russia ametumia mpaka ( cluster bombs ) haya ni mabomu mtawanyiko. Haya mabomu yakitua chini yanasambaa yaani bomb moja liki explode danger area ni heka moja. Kuna mashumbilizi mengine anafanya yanaharibu miundombinu ya raia kama yale yaliyopiga hodi ya wazazi. Vita huwezi kufanya random offensive bila kujali Raia, kama jeshi la Russia lingekuwa sophisticated wangehalibu command na control power la jeshi la ukraine na kuwafanya wasilimu amri, lakini kwa mwenendo wa ( battle mtaani ) kashafeli. Haya ni maoni tu
Kwa kweli Urusi amefeli vibayaaaaa sanaaaaaaaa yaaaaani
 
Shida sio nishati,shida ni cost na Effect ya iyo nishati.mpaka gesi na mafuta kiwa dili sio jambo dogo ndugu,yote unayosema wameyafanyia kazi ila wakaona cost na madhara ni makubwa sana.kwa mfano nuclear power is the best ila ukija kwenye madhara kila mtu anaona bora kutumia gesi au mafuta.

Na mpaka Urusi analinga ni kwa sababu kashafanya utafiti kajua kabisa gesi na mafuta kwenye dunia hii haviepukiki
Hivi mkuu labda nikuulize kitu. Hivi hiyo nishati ya [emoji635][emoji635] huko ardhini haitotokea kuja kuisha ?. Na je umewahi kujiuliza miaka ya mbeleni huko nchi zinazotegemea nishati ya [emoji635][emoji635] wataishije?
Nchi nyingi kwa sasa zinajitahidi kugundua vyanzo vingine vya nishati unafikiri hawana akili?.
Teknolojia nyingi wanazivumbua zisizo husisha matumizi ya mafuta na gesi unafikiri ni vichaa?.
Moja kati ya sababu zinazowasukuma ni hiyo kuwa mafuta na gesi ni kama madini tu iko siku tutachimba yataisha tu .
Mwanafizikia Albert Einstein anatueleza kila kitu kilichopo hapa ulimwenguni kina nishati , kikubwa tu kitu hicho kiwe na mass . the issue comes how to change a mass to energy. Na hapo ndipo wanasayansi wanahangaika kubadili mass to energy. Na kwa kiasi kikubwa hatua imepigwa .
Amini iko siku hawa wenzetu dunia ya kwanza watakuja kuachana na matumizi ya nishati ya mafuta na gesi . ni lini ? Muda utaongea .
 
Ukraine ready to fight Russia ‘for 10 years’ – Zelensky

Ukraine is not prepared to give up territory and is ready, if necessary, to fight Russia “for 10 years,” President Volodymyr Zelensky has said.

In an interview with CNN, Zelensky said that for Ukraine “the battle for Donbass is very important” for a number of reasons, adding that it could affect “the course of the whole war.” He stressed, however, that a diplomatic solution to the conflict is preferable.
Huyu jamaa naona hiyo miaka kumi anampango wakuendeleza vita hata akiwa kaburini

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Unaangalia mambo kutoka upande mmoja.

EU wakifikia kupata mbadala wa energy za urusi urusi naye atafikia mbadala wa energy zake zimuendeshee uchumi wake. Au we unafikiri Urusi ataendelea kutegemea mauzo ya gesi na mafuta milele amina!?

Ndivyo ilivyo. Unaposukuma kete mwenzako naye anasukuma. Usifikiri kuna siku utakuwa mkubwa umpige yule mkubwa anayekuonea kwa sababu unapokua wewe na yeye anakua.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ujue tunajisahau kwasabab wengi hatujui tunatoka wapi hivo kutabiri tunaelekea wapi hatuwezi.

Ukiangalia uchumi wa Europe hauna mabadiliko makubwa katika mfumo wake toka enzi na enzi, umejikita katika kuvuna malighafi sehem nyingine wanazichakata nyumbani kisha wanazirudisha kule walikozivuna kama bidhaa...

Europe wanafanya importation zaidi ya malighafi ambayo ndiyo primary economy kisha wanzichakata into secondary economy na kuz'distribute nje as tertiary economy. Huo ndio mfumo wa uchumi wao.

Upo vile vile kama enzi za ukoloni, anakuja kwako anachukua dhahab, anakuachia makaratasi yale kwa jina la fedha. Anaenda kuzichakata kwake kisha anarudi na kipande cha dhahab kukuuzia... that's why despite kutoa uhuru kwa nchi walizotawala lakini bado wanaendelea kuingilia affairs za nchi hizo ndani na nje.

Kwa mtu mwelewa akiyaangalia mataifa ya magharibi hana shaka kabisa kusema kua kule jua linazama na linachwea mashariki hivi sasa. No way [emoji1]. Global south kumekuwa Eneo la uzalishaji na eneo kuvunia Rasilimali huku western wakihold hizi financial Institution.

Na hii bond ya Financial System ikivunjwa kwa Global south kutengeneza yao hapo ndipo kutakuwa hitimisho la utawala wa magharibi. Brazil ame-quadruple reserve ya Yuan kwenye bank kuu yake. Huyu Venezuela hivi sasa wako wanashauriana na baadh ya nchi za Asia namna ya kutengeneza mfumo mpya alternative ya SWIFT ambayo haitatumika kama weapon kwasabab ya tofauti ya kisiasa. Aisee mambo matraaam [emoji23]

Wawekezaji huwa wanaenda kuwekeza sehem rafiki kwa biashara zao, kigezo kimoja wapo ambacho hukiangalia ni Political Stability, EU na western kwa ujumla wamejionesha kwa ulimwengu makucha yao. Na kwa gharama za uendeshaji zitakavyokwea shughul z kiuchumi hazitakuwa na faida, hapo ndipo msafara kuelekea Asia utazidi kua mrefu.
 
Saudia arabia pia ni utawala wa ukoo mmoja. Point yak sijui ni ipi.

Ni kama US anavyoogopa nchi za kijamaa zilizojirani yake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata Marekani kuna vyama vya kijamaa.

Pia Democracy sio Upebari hata kwenye ujamaa kunaweza Kuwa na Democracy mfano ni Mataifa ya Ulaya mojawapo ni Spain, Chama kinachounda Serikali ni Socialist party, Israel ni taifa la Kisocalist lakini, kuna democracy na Uhuru

Jambo baya ni Autocracy, Russia ni kosa wananchi kuongelea maoni tofauti na Serikali na chama tawala, mfano mdogo tu vita ya sasa ukitoa taarifa tofauti na vyombo vya serikali unakula mvua ya miaka 15
 
Huwezi kufanisha puli na ushoga wewe, msitake kulete upuuzi nchini kwetu. Yaani mwanao wa kiume alale na mtoto wa kiume mwenzie na kumpa matako, huku akisema "i love you baby"!! We unaona hicho ni kitu cha kawaida? Hilo kosa la kupeana matako adhabu yake inatakiwa kua kifo tu.
Mada ni kuhusu Urusi na Ukraine. Haijalishi kama unapinga, as long as unaendeleza hoja inamaana unakuwa sehemu ya kuhamisha hii mada kuwa debate ya MIKUNDU, MAVI na MATAKO ya wanaume. Hapa mwingine akikupinga na wewe ukampinga mwisho wa siku mnakuwa mnazungumzia VINYESI tu na si mada husika.
 
Nani amekataa kuwa [emoji635][emoji635][emoji635] hana pengine pa kuuza?.
Wanunuzi wakubwa wa nishati na malighafi nyingine za Russia ni [emoji631][emoji631][emoji631] na nchi za Europe. Hiyo maana yake nini !?. Hata [emoji635][emoji635] mwenyewe anawategemea sana hao jamaa katika kukuza pato lake kwa kufanya nao mauzo .
Usifikiri kuwa na yeye [emoji635][emoji635] hajui wanunuzi wake wa nishati na hao jamaa . Kama yeye ni mbabe na anawateja wengine wengi duniani hebu angekata kuwasambazia
hao Europe & [emoji631][emoji631] huduma ya nishati ili wahangaike .
Na kama unasema amejijengea uaminufu na ana marafiki dunia nzima !!!. Waambie viongozi wenu wa Africa wanunue mafuta kutoka kwake kama wana huo uwezo .
Ameshusha bei ya mafuta anauza bei ya chini sana . Mwambie January makamba akanunue mafuta [emoji635][emoji635] kama yeye ni mwanaume . Tumeambiwa yeye ndo mzalishaji mkubwa wa alizeti duniani . Mwambie atuletee na sisi huku Lita moja ya mafuta ya alizeti ni sh 12000.
Sio kwamba anawategemea. Bali ana malengo yake. Wanaomtegemea ni ulaya. Jeuri yao yote ya vikwazo lakini mafuta,gesi,mbolea hawana pakwenda.

Russia hakuwa na shida yakutafuta wateja wapya wakati alikuwa na soko kwa mashoga. Lakini wakizingua,soko lipo kubwa tuu. Toka lini bidhaa hizo zikawa na uhaba wa wateja!?

Afrika tunaweza tusifaidike. Sababu kuu ni kusujudia na kuogopa nchi za magharibi. Na yote hiyo ni kutokana na kutawaliwa na fikra za kitumwa na khofu ya viongozi kuondolewa madarakani na mashetani wa magharibi. Pia uwepo wa vibaraka waliotayari kutumika kwa maslahi ya mabeberu.
Hivi kwamfano wewe kwa msimamo wako huu ungekuwa ndio Makamba,si ungeungana na ulaya kutesa raia kwamaslahi ya Amerika?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Utegemezi kwa nishati ya [emoji635][emoji635][emoji635] hilo halina ubishi kuwa jamaa wanategemea sana nishati yake. Ninachokisema Mimi ni kuwa lazma watatafuta njia mbadala ya kuepukana na nishati yake . japokuwa itachukua miaka mingi lakini inawezekana huko mbeleni .
Hata Putin juzi kwenye hotuba yake amesema pengo la nishati ya [emoji635][emoji635] kwa sasa halizibiki ladda HAPO BAADAE .
Labda nikuulize kitu . hiyo nishati inayochimbwa iko siku miaka ya mbeleni itakuja kuisha. Unataka kusema na ulaya yote shughuli zao zitasimama kwa kuwa [emoji635][emoji635] kamaliza malighafi yake ?.
Na wakati wao wakitafuta nishati mbadala,Russia atakuwa hajalala. Atakuwa nae anajiandaa kutoka kutegemea uchumi wa nishati iliyopitwa na wakati na kuwa na uchumi tofauti kabisa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
nani halijui hilo ? Tena kwa taarifa yako umeme ndo unatumika Ku operates mitambo mingi kuliko mafuta yenyewe . mafuta Mara nyingi yanatumika sana kwenye vyombo vya usafiri . Ndo kinachowatesa Whites. Hata hapa tu Tanzania matumizi makubwa ya mafuta ni nini?.
Kinachoipa thamani mafuta ni kuwa kupitia mafuta unaweza pata umeme .
Huo umeme unatokana na nini!? Au wazjngu wanaweza kufua umeme kutoka kwenye umeme wenyewe!?

Ili upate umeme ni either utatumia
Maji, Upepo, mafuta, gesi, biogas, solar, geothermal, nuclear nyingine utaongezea wewe.

Unafkiri EU wakizihama mafuta na gesi watahamia kwenye nn



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Solar bado ni kipipi kwa ulaya jua ni adim snaa kule kwa wenzetu.
Hapana sola si kipipi. Eurostat (mamlaka ya takwimu ya EU) inasema:
"Solar power accounted for 14% of Europe's gross electricity consumption in 2020, as part of a 34% renewables share across the continent to which wind power contributed the biggest proportion". (Linganisha: Nishati ya nyuklia ilikuwa 24.6 % mwaka 2020).
Sola ni chanzo cha nishati kinachoendelea kuongezeka haraka zaidi pale Ulaya.
Maana EU kwa jumla tayari kidogo juu ya 1/3 ilikuwa nishati endelevu ya sola, upepo, maji na jotoardhi. Mipango ni kuendelea haraka kuongeza vyanzo hivyo na kumaliza matumizi ya mafuta. Mipango hiyo ilipanuliwa si kwa sababu ya Urusi bali shauri ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi na kupanda kwa joto.
Vita ya Putin inaweza kuharakisha harakati hiyo. Wimbo la nguvu kubwa ya Urusi shauri la mafuta na gesi ni wimbo linalozidi kufifia pia bila mazoezi ya Putin.
 
nani halijui hilo ? Tena kwa taarifa yako umeme ndo unatumika Ku operates mitambo mingi kuliko mafuta yenyewe . mafuta Mara nyingi yanatumika sana kwenye vyombo vya usafiri . Ndo kinachowatesa Whites. Hata hapa tu Tanzania matumizi makubwa ya mafuta ni nini?.
Kinachoipa thamani mafuta ni kuwa kupitia mafuta unaweza pata umeme .
Unajifanya unajua vitu, ila upo mtupu sana.. mafuta yanatoa products nyingi zaidi ujuavyo, na si kulenga kuendeshea mitambo tu
 
Huo umeme unatokana na nini!? Au wazjngu wanaweza kufua umeme kutoka kwenye umeme wenyewe!?

Ili upate umeme ni either utatumia
Maji, Upepo, mafuta, gesi, biogas, solar, geothermal, nuclear nyingine utaongezea wewe.

Unafkiri EU wakizihama mafuta na gesi watahamia kwenye nn



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa hana akili, anajifanya mjuaji kumbe mtupu . Mafuta nje ya kuendeshea mitambo inatoa products nyingi tu, kwa akili yake anajua yanatumika kuendeshea vyombo vya usaifir tu
 
Ni hesabu ya Ukraine. Kama kila habari za aina hii, ina propaganda. Kwa hiyo si ya uhakika sana. HAkika hao 1500 au nini waliotajwa na Urusi si kweli. (maana hata kwenye kuzama kwa Moscow hakuna taarifa hata ya kifo 1 - ambayo haina uwezekano mkubwa wakati baruti na roketzi ndani ya meli zinalipua).
Marekani nilisoma wanakadiria zaidi 10-12000 vifo upande wa Urusi.

Kwa vyovyote: kama wangebaki nyumbani na kufanya kazi yao halali: Kulinda na kutetea nchi yao - wote wangekuwa hai.
Hizo takwimu Zina walakini!Nways kuhusu kupoteza askari,kila vita Inapoteza askari!Ungempa ushauri Huo na Marekani kutovamia Iraq,Afghan na kwingineko alikopoteza askari wengi tu!
 
Back
Top Bottom