Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Marekani yasema usiku wa kuamkia leo haukuwa mzuri kwa mikoa mingi ya Ukraine
Marekani yasema Majeshi ya Russia yamefanya mashambulizi mengi na makubwa zaidi kuwahifanyika ndani ya usiku mmoja nchini Ukraine. Majeshi hayo ya Russia yaliyohusika ni jeshi la anga la Russia, majeshi ya wanamakombora, majeshi ya wanamizinga na mifumo ya ulinzi wa anga. Mashambulizi hayo yamefanywa kwenye mamia ya tageti za kijeshi za Ukraine.
Mashambulizi ya ndegevita yameangamiza miundombinu 16 ya jeshi la Ukraine ikiwemo vituo vitano vya kutoa kamandi za kijeshi, ghala la mafuta na bohari/ghala tatu za silaha.
Mashambulizi hayo yamefanywa kwenye mikoa ya Kharkiv, Donetsk, Zaporhizhzhia na Dnepropetrovsk pamoja na bandari ya Mykolaiv. Pia Russia imefanya mashambulizi kwenye sehemu 108 ambapo zilikuwa na wanajeshi wengi wa Ukraine na magari vita yao.
Kwenye maeneo mengine, majeshi ya Ukraine yamedungua na kuteketeza drones 12 za Ukraine na vifaru. Pia makombora ya Iskandar-M yametumika kushambulia na kuteketeza bohari 4 za silaha na vifaa vya kijeshi kwenye mikoa ya Luhansk, Vinnytsia na Donetsk.
Asante sana Putin...US mwenyewe anaelewa somo lako.