Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

EU wanachapa kazi kuongeza vyanzo va nishati endelevu kama vile upepo. nguvumaji, jotoardhi, kuni (pellets) na sola.
Sola wanatumia mbinu zote mbili
1) joto la Jua (ambalo linaweza kutumiwa hata wakati wa baridi ingawa mavuno ni madogo - wanatumia antifreeze kwenye kimiminika cha paneli na kukipitisha kwenye pampu ya joto / heat exchanger)
2) umemejua; hasa umemejua unapanuliwa haraka

Ujerumani wanaandaa sheria ya kupiga marufuku majiko ya gesi kuanzia mwaka 2030 hivi . . . nyumba mpya zinapaswa kutumia heating ya sola, kuni, au / mpamoja na jotoardhi

Umeme kwa vyombo vya usafiri: viwanda vyote vya magari yanabadilika kutengeneza magari ya beteri. Vituo vya kuchaji vinajengwa kote.
Wanalenga kuongeza sana umemeupepo na umemejua. Changamoto ni Kuhifadhi umeme maana vyanzo asilia havizalishi muda wote sawa.
Wakati mwingine rafadha za upepo zinazalisha umeme mwingi mno, hadi rafadha zinapaswa kuzima, lakini nyakati tofauti upepo hautoshi

Kwa hiyo kuna bado majaribio mengi kuhamia magari ya hidrojeni. Kuzalisha hidrojeni inahitaji umejme nyingi, lakini hapo kuna hoka la kutumia umemeupepo wakati uzalishaji wake unazidi matumizi. Hapo hidrojeni ni njia nzuri kuhifadhi nishati yake.
Mkuu tutabishana hapa kwa data za kila aina. Ila umeme wa jua hauwezi kamwe kuja kutosheleza mahitaji ya EU walau kwa 50%.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
ila siamin mpk wa leo huyule jamaa asad bdo yupo madarakn maana kwa ile vuguvug arab spring ilivoanza kwa hosni ilisambaa nikajua asad anatembea ila duh alikaza na ikaishia hapo hapo
Russia asingeingilia,muda huu angekuwa amesahaulika kaburini.
Usiombe mashetani wa magharibi wanapokuwa na jambo lao,hawajali uongo gani watautumia ili mradi wafikie lengo lap.
Kwakweli Russia idumu.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Source

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
1650281695780.png

 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri Mungu hakutenga dhambi ndogo na kubwa !. Nakukumbusha anayehukumu ni Mungu. Na kingine ni kuwa mapenzi yanayoruhusiwa ni ya mume na mke tu! . tena walioruhusiwa kisheria na kidini.
Wewe unaetumia mkono kujiridhisha. Na wenzako wanaofanya mapenzi kwa jinsia moja YOU ARE THE SAME.[emoji23][emoji23]
Mashoga hua wanajipa sana moyo kwa kusema dhambi zote ni sawa.
 
Sasa anataka nini??

Maana haeleweki.Watu wanateseka.
Kwani wewe ni mgeni Kama wewe ni mgeni humu kwenye hii thread anzia mwanzo 1 kuangalia coments za wadau humu wameshalitolea ufafanuzi sana sana tu .....alafu ukimaliza kupitia ndo utajua russia anataka nini huko ukraine.

au kama kuna mdau atajitokeza akujibu swali lako itakuwa poa ....zaidi

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tutabishana hapa kwa data za kila aina. Ila umeme wa jua hauwezi kamwe kuja kutosheleza mahitaji ya EU walau kwa 50%.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa nini?? Nishati ya Jua inatosha kwa mahitaji yote, kote duniani.
Ni swali la gharama
a) kifedha (maana je utapata malighafi za kutosha kwa bei gani ukiongeza sanaa maeneo ya paneli za sla?)
b) kimazingira (unataka kukubali kilomita mraba ngapi za paneli?)

Kwa nchi katika Afrika ingekuwa raihisi zaidi, ila hapa Afrika ya Mashariki hadi sasa ni Kenya tu iliyoamka kidogo na kuwekeza kazika upepo na jotoardhi
 
Tangu miaka zaidi ya 100 ni fesheni kila dikteta (au kiongozi anayeelekea) anatumia kitukinchoitwa "bunge" au parliament penye watu wanakutana kuitikia yale wanayoambiwa. Tofauti na bunge halisi ni uhuru wa uchaguzi, kama upo au la.

Putin amefaulu vizuri kuondoa uhuru wa uchaguzi. Nchi kama Iran wanaacha watu wachague, lakini huko wanakagua vikali wagombea, wanabaki hao pekee wanaokubaliwa na uongozi. Putin pia alizuia wengi wasigombee, baadaye pia kugushi matokeo. Alitumia mbinu iliyofanana na ile ya Magu 2020, kuwaambia maofisa kwenye ngazi ya chini wasilete matokeo mabaya wakipenda kazi yao pamoja na marupurupu. Ni njia rahisi zaidi kuliko zamani ambako Wakomunisti walipanga kabla ya uchaguzi matokeo hadi asilimia-nukta-ngapi.

Upande wa sheria: Urusi si swali la uwongo. Pale inatosha ukisema "vita" tayari unapata kesi ya kuchafusha jeshi na faini yako. Kama umepata mahakama zinazoshiriki mchezo huu, unaweza kuendelea..
Marekani kuna uchaguzi huru na wa haki!? Trump analalamika kaibiwa uchaguzi na ana uthibitisho wake. Clintoni (mama) alilalamima kuibiwa uchaguzi na Trump baada ya kinachoaminika Russia kuingilia uchaguzi wa USA. Yaani Alaxei Navalny akilalamika kuminywa na kuibiwa uchaguzi mnamsikiza ila Trump akilalamika kuibiwa uchaguzi mnamuona kichaa. Hiyo preconceived notion kwamba USA ni watakatifu ndio inayowafelisha

Hizo allegations zako dhidi ya putin ni kelele kwenye mvua maana hazina ushahidi.

Niliuliza swali naona umeliskip makusudi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Angalau katika nchi penye uhuru wa media si rahisi kuficha (tofauti na Urusi na Ukraine). Kwa hiyo idadi za vita hizo upande wa Marekani kimsingi zinajulikana.
Ndio hivyo,na wao wangekaa nyumbani wasingekufa!Vita lazima Ina casualties!
Au unadhani nchi zinavyojizatiti na silaha ni Kwa ajili ya urembo na show off!
Ni kujilinda lakini ikitokea la kutokea wakapambane!
 

Russian economy entering ‘difficult period’ – central bank​

The country’s businesses will need to adapt to the sanctions reality
The period when the Russian economy could live on reserves is over, Elvira Nabiullina, head of the Central Bank of the Russian Federation, .
 
Hata Marekani kuna vyama vya kijamaa.

Pia Democracy sio Upebari hata kwenye ujamaa kunaweza Kuwa na Democracy mfano ni Mataifa ya Ulaya mojawapo ni Spain, Chama kinachounda Serikali ni Socialist party, Israel ni taifa la Kisocalist lakini, kuna democracy na Uhuru

Jambo baya ni Autocracy, Russia ni kosa wananchi kuongelea maoni tofauti na Serikali na chama tawala, mfano mdogo tu vita ya sasa ukitoa taarifa tofauti na vyombo vya serikali unakula mvua ya miaka 15
Hiyo unayodhani kuwa kuna Uhuru wa kutoa maoni huko West is just a manufactured consent....in reality the elites in general and the milatry-indistrial complex in particular ndio wenye sauti na maamuzi...
 
RES account for 22.1% of EU energy sources. Yaani hapa kuna solar, wind, hydro, ambient, tidal, geothermal, biogas, na renewable waste zote kwa pamoja hazijafikia hata 25% ya mahitaji ya energy ya ulaya.

Safari iliyopo mpk kufika walau 50% ni ndefu sana [emoji1787] we are talking 21xx huko.

Mafuta gesi coal uranium kuni bado zipo zipo sana. Na hapa ndipo mrusi anapotawala. Mtamuinamia tu mtake msitake. At list for another century/ies down the line

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russia yautumia mkoa wa Lviv 🎁🎁🎁🎁 za Pasaka...

Mkoa wa Lviv uliopo magharibi mwa Ukraine karibu na Poland umepelekewa moto mkali wa makombora matanoa na Russia. Gavana wa mkoa huo bwana Maksym amekiri kuwa makombora matatu yameangamiza miundombinu ya jeshi la Ukraine na lingine limeangamiza kiwanda cha kufitisha matairi ya magari.

Serikali ya Ukraine yakiri kuwa sasa hivi hakuna sehemu salama tena nchini Ukraine dhidi ya makombora ya Russia

SmartSelect_20220418-143245_Chrome.jpg
Screenshot_20220418-143427_Chrome.jpg
Screenshot_20220418-143534_Chrome.jpg
SmartSelect_20220418-143550_Chrome.jpg
SmartSelect_20220418-143631_Chrome.jpg
 
Marekani kuna uchaguzi huru na wa haki!? Trump analalamika kaibiwa uchaguzi na ana uthibitisho wake. Clintoni (mama) alilalamima kuibiwa uchaguzi na Trump baada ya kinachoaminika Russia kuingilia uchaguzi wa USA. Yaani Alaxei Navalny akilalamika kuminywa na kuibiwa uchaguzi mnamsikiza ila Trump akilalamika kuibiwa uchaguzi mnamuona kichaa. Hiyo preconceived notion kwamba USA ni watakatifu ndio inayowafelisha

Hizo allegations zako dhidi ya putin ni kelele kwenye mvua maana hazina ushahidi.

Niliuliza swali naona umeliskip makusudi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hakuna utakatifu Marekani hata kidogo. Kuna demokrasia huko hataikiwa na kasoro. Ni demokrasia chafu mara nyingi, maana athira ya pesa ni kubwa mno.
Lakini inatokea tena na tena kwamba viongozi wanaondolewa kwa njia ya kura, pia kuna sheria thabiti na mfumo wa mahakama.
Ukiwa mmoja wa hao wanaopenda kuleta hapa kilio cha Trump, basi natoka maana sina interest kumjadili huyu mwongo mchafu.
 


Russia Uses Powerful Tu-22M Long-Range Bombers To ‘Carpet Bomb’ City Of Mariupol

Russian forces have been shelling the city frequently. Most recently, they decimated the Azovstal steel factory, where the majority of Ukrainian soldiers were holed up. Russian Tu-22M bombers crossed into Ukrainian airspace and released unguided bombs on Ukrainian forces in the besieged port city, marking it the first time Moscow has used long-range bombers in the conflict. A Russian drone recorded the bombing raid, which was also later confirmed by Ukrainian forces. Ukraine’s Defense Ministry spokesman Oleksandr Motuzyanyk said that the long-range bombers are being employed to assault Mariupol. A bundle of gravity bombs exploding on the campus of the Azovstal steel factory on the eastern outskirts of Mariupol is visible in drone footage
 
Angalau katika nchi penye uhuru wa media si rahisi kuficha (tofauti na Urusi na Ukraine). Kwa hiyo idadi za vita hizo upande wa Marekani kimsingi zinajulikana.
Hakuna nchi yeyote duniani inayo toaga takwimu sahihi ya wanajeshi wake waliokufa vitani hakuna hata moja.
Acha kujidanganya maana hao wamagharibi unawaona watakatifu sana wakati ndio mabingwa wa ulaghai.
 
Hao angalau wanayo guard kwa RAIA wao. Sasa hawa wengine wenyewe hata suala la chaguzi hawataki kulisikia . waombe Mungu Putin aendelee kuwa in office. Kinyume na hapo 🇺🇸🇺🇸 atawachezesha mayele mayele .😂😂😂.
Uzuri hilo swala wanalijua.
Ndugu yangu hiyo USA kwa Sasa mmmmmh Vita hii imetoa mafunzo mengi Sana kwa kweli...ukiona hata watu wa kawaida tu wanaanza kuzishitukia nchi za magharibi pamoja na vyombo vya habari vya kipropaganda ujue mambo yamebadilika...kwa Sasa katika nchi mbalinbali duniani kuaminika kwa BBC, Aljazeera, Skynews, Fox News, CNN kumepungua mno mno mno mno😁😀😁😀😂😂
 
RES account for 22.1% of EU energy sources. Yaani hapa kuna solar, wind, hydro, ambient, tidal, geothermal, biogas, na renewable waste zote kwa pamoja hazijafikia hata 25% ya mahitaji ya energy ya ulaya.

Safari iliyopo mpk kufika walau 50% ni ndefu sana [emoji1787] we are talking 21xx huko.

Mafuta gesi coal uranium kuni bado zipo zipo sana. Na hapa ndipo mrusi anapotawala. Mtamuinamia tu mtake msitake. At list for another century/ies down the line

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni zaidi, namba ya 34% renewable energy sources niliyoleta ilihusu Ulaya kwa jumla na sijaleta chanzo sahihi iko hapa Solar the fastest growing European clean power source
naona tofauti ni kuingiza Norwei na Iceland ambazo siko tayari juu ya 100$ ilhali si EU.
Hata hivyo, kuongezeka kunaendelea kwa mbio wa ajabu. Sababu kubwa ni uchumi wa namba kubwa, yaani gharama kwa kila kiwango cha nishati inashuka kadri unavyoweza kutengeneza na kuuza ifaa vingi.
 
Back
Top Bottom