kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,563
- 5,170
Daa warusi mna raha aise😂😂😂😂😂😂Wanapigwa kisha jamaa wanafanya show Off angani [emoji847] View attachment 2191804
Daa warusi mna raha aise😂😂😂😂😂😂Wanapigwa kisha jamaa wanafanya show Off angani [emoji847] View attachment 2191804
Sijui kwa nini unamwaga neno hili "takatifu"?? Sijui takatifu duniani.Hakuna nchi yeyote duniani inayo toaga takwimu sahihi ya wanajeshi wake waliokufa vitani hakuna hata moja.
Acha kujidanganya maana hao wamagharibi unawaona watakatifu sana wakati ndio mabingwa wa ulaghai.
Ni sawa,walau wawaage ndugu zao Kwa simu maana Russia amepeleka waraka Hadi UN Ili asijelaumiwa Kwa kitakachofuata!Jeshi la Ukraine Mariupol uzalendo mtupu, wamegoma kusalimu amri pamoja na kuzungukwa na adui. No retreat no surrender ,we shall fight to the last man standing.
Ni zaidi, namba ya 34% renewable energy sources niliyoleta ilihusu Ulaya kwa jumla na sijaleta chanzo sahihi iko hapa Solar the fastest growing European clean power source
naona tofauti ni kuingiza Norwei na Iceland ambazo siko tayari juu ya 100$ ilhali si EU.
Hata hivyo, kuongezeka kunaendelea kwa mbio wa ajabu. Sababu kubwa ni uchumi wa namba kubwa, yaani gharama kwa kila kiwango cha nishati inashuka kadri unavyoweza kutengeneza na kuuza ifaa vingi.
Russia wins a battle , all indications Russia will lose the war -writing is on the wall.Daa warusi mna raha aise😂😂😂😂😂😂
Usikute unayaongea haya ....kumbe hata jkt hujawahi kwenda .....lkn pia n mwanaume wa dar.....hata mlio wa risasi hujawahi kuusikiaNafkiri Zelensky atakuwa Rais wa dunia., anajiamini, anatekeleza, anapambana, hachoki, ni jasiri na tunaona na kuthibitisha haya leo ni siku ya 60 almost bado Mrusi wa mchongo yuko Donbas., Kyiv ipo well intact, tuko pamoja naye wengi walimkebehi na kusema ni mchekeshaji lakini ni strong kuliko kiongozi yoyote niliyewahi kumsikia.
Kwa ufupi ni kwamba Mrusi hanusi kitu Ukrean hata huko Donbas atarudi kwao na damu za raia wa Ukraine ambao kwa vyovyote walipaswa kuwa salama na nchi yao.
Ila kiukweli nakupongeza Ndugu yangu kwa posts zako za kuwatetea West. Kwa hakika wewe ni Pro-West na Pro NATo kindakindaki😂🤣😂🤣😂Nani amekataa kuwa 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 hana pengine pa kuuza?.
Wanunuzi wakubwa wa nishati na malighafi nyingine za Russia ni 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 na nchi za Europe. Hiyo maana yake nini !?. Hata 🇷🇺🇷🇺 mwenyewe anawategemea sana hao jamaa katika kukuza pato lake kwa kufanya nao mauzo .
Usifikiri kuwa na yeye 🇷🇺🇷🇺 hajui wanunuzi wake wa nishati na hao jamaa . Kama yeye ni mbabe na anawateja wengine wengi duniani hebu angekata kuwasambazia
hao Europe & 🇺🇸🇺🇸 huduma ya nishati ili wahangaike .
Na kama unasema amejijengea uaminufu na ana marafiki dunia nzima !!!. Waambie viongozi wenu wa Africa wanunue mafuta kutoka kwake kama wana huo uwezo .
Ameshusha bei ya mafuta anauza bei ya chini sana . Mwambie January makamba akanunue mafuta 🇷🇺🇷🇺 kama yeye ni mwanaume . Tumeambiwa yeye ndo mzalishaji mkubwa wa alizeti duniani . Mwambie atuletee na sisi huku Lita moja ya mafuta ya alizeti ni sh 12000.
Kibaraka wa Putin anabweka.Nyie nyie mnasikia huko [emoji1787]View attachment 2191868[emoji298]"Good evening, everyone! I read that Zelensky announced his readiness to fight for 10 years. The fool [emoji1] Come on, we don't have that much time. We will finish with you in the next few days! You have schizophrenia, I think!”, Ramzan Kadyrov.
«Приветствую всех! Я тут прочитал, что Зеленский заявил о готовности сражаться 10 лет. Дурак, у нас столько времени нет. Мы на днях закончим с тобой! У тебя шизофрения, по-моему!», Рамзан Кадыров.
Ili ujue huna akili, ona hata hayo maneno umenakiri.Russia wins a battle , all indications Russia will lose the war -writing is on the wall.
kwa bahat mbaya hiyo publicity ni kitu cha mwisho wangependa kisikike ulmwengunIla kiukweli nakupongeza Ndugu yangu kwa posts zako za kuwatetea West. Kwa hakika wewe ni Pro-West na Pro NATo kindakindaki😂🤣😂🤣😂
Uko vizuri katika kutetea😀😁 huchoki kabisa....
Ila Hilo li-Mrusi safari hi mnalo....limeanza kufanya carpet bombing huko...😁😁😂😂
Weye mpuuzi kasome lugha kwanza -NAKILI siyo NAKIRI.Ili ujue huna akili, ona hata hayo maneno umenakiri.
anasktika kmyakmyaJamani leo Ndugu yangu wa 'inasikitisha saana' sijamuona humu...kulikoni???
Zelensky announced his readiness to fight for 10 years
Zelensky got jokes....
Eti hii "tutammaliza baada ya siku chache"... ameshasema mara ngapi?Ramzan Kadyrov[emoji298]"Good evening, everyone! I read that Zelensky announced his readiness to fight for 10 years. The fool [emoji1] Come on, we don't have that much time. We will finish with you in the next few days! You have schizophrenia, I think!”