Hawa ni wa askar kutoka katika mkoa wa Chechen nchini urusi.ba kufahmishwa kuhusu hawa wanajeshi wa chechen
Ni raia wa Urusi kutoka mkoa wa Chechen.uhalali wao kwenye vitahii wachechen ni upi ? na uhusiano wao na Russia ni upi ndugu zangu ?
Kwako Puli ni sawa na kufirimbwa ...duuuh pole sana utakuwa na uzoefu sana wa kuzamishiwa nyama ...mpaka ulinganishe Puli na kuzamishiwa dyudyu.Hivi katika maisha yako hujawahi kupiga puli!?🤔🤔🤔. Kama umewahi kwanini !?. Je unatofauti gani na shoga !?.
Wataalamu wa saikolojia wanasema mtu anayepiga masturbation huwa anakuwa na jinsia mbele kwa wakati mmoja.😂😂😂😂.
Hamna!Dharau hzii[emoji28]
Kwani Russia na Putin wanakujua wewe mpk wakuridhishe kwa hoja zao?Sijaona hoja za maana za Russia na Putin has more to loose than to gain from this war
[emoji16][emoji16] Biden alisema ana ziara Kiev sijui iliishia wapi?Aise baada vita kupamba moto huko kyiv sioni tena ziara za mabeberu pia naona nato wako kimya pumzi imekata hawafanyi vikao wanaangalia tu mwenzao anavyochapwa
Braza wewe unataka ubadili Gia angani tujadili vita coz ndo iliyotuleta hapa umeona moto wanavyopelekewa umeanza kuchambua mafuta Kwanza kwenye nishati mafuta unaonekana upo mweupe unahisi mafuta ni petrol na diesel kama tunayouziwa sisi end product wenyewe wanauziwa crude oil na kuyachakata kwa matumizi mbalimbali umekazana wataachana na mafuta wataachana na mafuta pambafu Kwanza kwa taarifa yako brand zote za supercars wanatengeneza gar zenye kunywa mafuta mengi Bugatti,Ferrari,Lamborghini,Aston Martin and etc and the owners of car are very proud of fuel consumption itz not easy for anyone to afford especially shi##t hole Country unaposema wanasitisha haraka unadhani ile ngoma ya kumcheza mwali akiingia kwa mumewe mnatoa maturubai kwa hiyo ndege zao zitakunywa mtori na nmeanza kuhisi ukisikia urusi anawauzia gas ulaya unadhani kama zile tunazouziwa sisi za mihan na taifa gas zipo kwenye mitungi make Kwanza hapo ncheke kule zimefungwa kama Maji majumbani na viwandani matumizi ya natural gas wew utakufa utayaacha yanapiga kazi makaa ya mawe yameacha kutumika Sana kwasababu ya gas unajua yamerun kwa karne ngapi na sio kwamba yameachwa yamepunguza matumizi ila Kuna viwanda vinayatumia na bahati mbaya ni kwamba Urusi vyote anavyo kwahiyo braza #msalimie semeji yako hapo nyumbani kwake[emoji23][emoji23][emoji23] sasa umeorodhesha vyanzo si chini ya 8 vya umeme harafu unasema Europe wakiachana na mafuta na gesi watatumia chanzo gani kingine cha nishati.
Na Mimi nakujibu hivi palipo na nia pana njia. [emoji635][emoji635] anauwezo wa kufunga gesi yake na mafuta kwa hao jamaa. But nakuhakikishia hapa watateteleka mwanzoni but end of the day they will rise strong.
Sina hakika pia kama wewe[emoji1787]
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha...
It's ok for Europe and Western world ku-ban RT and Sputnik kwasabab zinatoka Russia...
Ila Russia ban BBC na mfano ake ni ukiukwaji wa uhuru wa habari...
Sina hakika hata kama hilo neno "Autocracy" anayodai ipo Russia anaijua maana ake.