Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ujinga kama huu ndo ulinifukuza huku, kazi ku copy and paste ushuzi wowote mtandaoni. Hizi habari peleka telegram
Tuambie basi hiyo explosion imeletwa na na nini.Watu diagnostic wana uwezo wa kufanyika tukio diagnosis na kuweza kupata fununu as to what might happened,ili wafanye uchunguzi zaidi.Small minds cannot do that,kaa pembeni you are a small mind,hapa sio pako.
 
Mwamba zelensky amesema wako tayari kupigana hata kwa miaka 10 lakini hakuna Ku surrender. Salute kwa Azoz battalion mariupol.


Ukraine is not prepared to give up territory and is ready, if necessary, to fight Russia “for 10 years,” President Volodymyr Zelensky has claimed. He also appeared to acknowledge that the current conflict effectively began in 2014, when Kiev first launched an operation to re-take the breakaway Donbass.



In an interview with CNN, Zelensky said that for Ukraine “the battle for Donbass is very important” for a number of reasons, adding that it could affect “the course of the whole war.” He stressed, however, that a diplomatic solution to the conflict is preferable.



“We cannot give up our territory, but we must find some kind of dialogue with Russia,” Zelensky said, adding that talks will not be conducted “on the basis of the Russian ultimatum
 
Nafkiri Zelensky atakuwa Rais wa dunia., anajiamini, anatekeleza, anapambana, hachoki, ni jasiri na tunaona na kuthibitisha haya leo ni siku ya 60 almost bado Mrusi wa mchongo yuko Donbas., Kyiv ipo well intact, tuko pamoja naye wengi walimkebehi na kusema ni mchekeshaji lakini ni strong kuliko kiongozi yoyote niliyewahi kumsikia.

Kwa ufupi ni kwamba Mrusi hanusi kitu Ukrean hata huko Donbas atarudi kwao na damu za raia wa Ukraine ambao kwa vyovyote walipaswa kuwa salama na nchi yao.
Haya maneno ndiyo yamefanya hao askari wote wamefagiliwa na kupelekwa kwa Mungu.
 
Tuambie basi hiyo explosion imeletwa na na nini.Watu diagnostic wana uwezo wa kufanyika tukio diagnosis na kuweza kupata fununu as to what might happened,ili wafanye uchunguzi zaidi.Small minds cannot do that,kaa pembeni you are a small mind,hapa sio pako.

Sio kila kitu ni copy and paste, aliendika hiyo habari ni 'war monger' na hio header ni 'click- bait'. Kama hujui kutofautisha propaganda na habari objective huna faida yeyote hapa.
 
Mji wa Kremmina kwenye mkoa wa Lugansk nchini Ukraine sasa upo kwenye mikono salama ya majeshi ya Russia

Mkuu wa Mkoa wa Lugansk anasema majeshi ya serikali ya Ukraine yameumwaya baada ya kupelekewa moto mkali na majeshi ya Russia ndani ya mji huo

SmartSelect_20220418-182924_Chrome.jpg
SmartSelect_20220418-183002_Chrome.jpg
Screenshot_20220418-183124_Chrome.jpg
 
Sio kila kitu ni copy and paste, aliendika hiyo habari ni 'war monger' na hio header ni 'click- bait'. Kama hujui kutofautisha propaganda na habari objective huna faida yeyote hapa.
Hii source ni extremely reliable and credible.If you don't like the information for any personal reasons,ignore it.You could be a NWO/CIA moron,minion or covert operator who knows,mbona wapo wengi JF.Kama mmepigwa mmepigwa tu na mabwana zako.Na kama sina faida ni kwako,ila kwa wengine mimi ni useful.
 
Nafkiri Zelensky atakuwa Rais wa dunia., anajiamini, anatekeleza, anapambana, hachoki, ni jasiri na tunaona na kuthibitisha haya leo ni siku ya 60 almost bado Mrusi wa mchongo yuko Donbas., Kyiv ipo well intact, tuko pamoja naye wengi walimkebehi na kusema ni mchekeshaji lakini ni strong kuliko kiongozi yoyote niliyewahi kumsikia.

Kwa ufupi ni kwamba Mrusi hanusi kitu Ukrean hata huko Donbas atarudi kwao na damu za raia wa Ukraine ambao kwa vyovyote walipaswa kuwa salama na nchi yao.
Nakufananisha na yule waziri wa Iraq wakati USA anavamia 2003 alikua jasiri sana almaaruf akiitwa "chemical Ali "
 

Hal Turner Radio Show




World​

Avostal Steel Plant in Ukraine Being Mercilessly Bombed​


HAPPENING NOW: Avostal Steel Plant in Ukraine Being Mercilessly Bombed

ASOVSTAL Steel Mill now under heavy bombardment and burning.
The Ultimatum for Ukraine troops to put down their weapons and surrender by 9:00 GMT has long expired.
The militant AZOV Brigade Nazis had a chance to leave and survive; they chose not to.
About one hour ago, the Russian Army ordered all units to attack the plant. It is being mercilessly bombed right now and is on fire.

UPDATE 3:16 PM EDT --
Ministry of Defense of Russia: Basements with militants at the Azovstal plant in Mariupol will not be stormed.
Supersonic bombers, Tu-22M3 Backfire-C, will bomb plant with high explosive demolition bombs FAB-3000.
Then will be use Heavy Flamethrower System TOS-1A Solntsepyok.
 
Salute to the Azoz battalion in Mariupol, No surrender. .
Ukraine's Azov Battalion is still holding out in Azovstal, a huge steelworks overlooking the Azov Sea.
Justin Crump, a military expert at security consultancy Sybilline, told the BBC there could be 500 to 800 Ukrainian troops holding out in the city.
"[The steelworks] has nuclear bunkers, tunnels, it's built to survive a nuclear conflict - they are really well set for defence," he said.

"They have had more than 50 days to fortify it and build escape routes," Mr Crump added. "I suspect that unless they are wiped out they'll be there a long time. It's credible there would be guerrilla resistance."
 
Hal Turner Radio Show



World​

Avostal Steel Plant in Ukraine Being Mercilessly Bombed​


HAPPENING NOW: Avostal Steel Plant in Ukraine Being Mercilessly Bombed

ASOVSTAL Steel Mill now under heavy bombardment and burning.
The Ultimatum for Ukraine troops to put down their weapons and surrender by 9:00 GMT has long expired.
The militant AZOV Brigade Nazis had a chance to leave and survive; they chose not to.
About one hour ago, the Russian Army ordered all units to attack the plant. It is being mercilessly bombed right now and is on fire.

UPDATE 3:16 PM EDT --
Ministry of Defense of Russia: Basements with militants at the Azovstal plant in Mariupol will not be stormed.
Supersonic bombers, Tu-22M3 Backfire-C, will bomb plant with high explosive demolition bombs FAB-3000.
Then will be use Heavy Flamethrower System TOS-1A Solntsepyok.
Bloody Cowards. Baada ya kushidwa kuteka ngome, Urusi wameamua kurusha mabomu kama hawana akili.
 

Russia Announces Full Control Over Mariupol; Shoots Down a Cargo Plane Carrying NATO Weapons!​

WORLD HAL TURNER 16 APRIL 2022 HITS: 26606
The Russian Ministry of Defense has announced that Russian forces now control "all of Mariupol" after the surrender of 1,464 Ukraine troops.
Pavlo Kyrylenko, governor of the Donetsk region, told CNN the city was “no more,” leaving Russians with nothing left to seize.
“The enemy may seize the land Mariupol used to stand on, but the city of Mariupol has been wiped off the face of the earth by the Russian Federation.

NATO WEAPONS DELIVERY PLANE SHOT DOWN
There is now also word filtering out that Russian air defenses have SHOT DOWN a cargo plane carrying a shipment of NATO Weapons for Ukraine, but this is dicey . . .
Russia claims it downed a Ukrainian transport plane carrying weapons “in the Odessa region.”
There are no Ukrainian transport planes flying there, but there were some flying from Turkey to Poland.
At this point, the flag of the plane is believed to Be Ukrainian, but that is NOT confirmed. (Could be a NATO Plane)
Some Sources, primarily Russian, claiming that the Aircraft shot down was a NATO Military Aircraft carrying Weapons to Ukrainian Forces in Odesa, but again this is extremely unlikely. However, if found to be true, oh boy . . .

Hal Turner Editorial Remarks
Flying from Turkey (Drones) to Poland (the central distribution point of NATO weapons) ultimately entering Ukraine?
If this is one of the planes shot down, then in one fell swoop, Russia has put Ukraine, Turkey, and Poland, on notice that NATO weapons shipments are not safe anywhere.
Bold move by Russia.
Still have to get all the facts and, of course, see how this plays out.
NATO ilikua inakuzwa TU,
NATO safari hii wemepatikana.
Wamekutana na kisiki.
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelens amesema kuwa Urusi inajaribu kuliharibu kabisa Jimbo la Mashariki la Donbas lakini ameahidi kwamba atalilinda.

Akizungumza kupitia ujumbe wake wa video wa Jumapili jioni Zelensky amesema vikosi vya Urusi vinajitayarisha kwa oparesheni kubwa Mashariki mwa nchi hiyo ambayo itaharibu kila kitu kwenye Jimbo la Donbas.

Hayo yameelezwa wakati Ukraine ikiapa kupambana hadi dakika ya mwisho katika mji uliozingirwa wa Mariupol baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa na Urusi wa kuwataka wapiganaji wake kuweka chini silaha na kujisalimisha.

Waziri Mkuu wa Ukraine, Denys Shmyhal amesema saa kadhaa tayari zimepita tangu kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na Urusi na hadi sasa vikosi vya Ukraine havijasimu amri na vitaendelea kupambana.

Akizungumza na televisheni ya ABC Shmyhal amesema Mji wa Mariupol bado "haujaanguka" na vikosi vilivyozingirwa na jeshi la Urusi vitapigana hadi risasi ya mwisho.


Zelenskyy atishia kuvunja mazungumzo ya amani na Moscow
Mapema siku ya Jumapili rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine alisema mazungumzo ya amani kati ya nchi yake na Urusi yatasitishwa iwapo Moscow itawaua wanajeshi waliosalia kwenye mji wa Mariupol.

Jeshi la Urusi ambalo sasa limehamishia nguvu zake kwenye kuchukua udhbiti wa jimbo la Donbas limesema kuna wapiganaji wachache wa Ukraine waliobakia ndani ya mji wa Mariupol na jana iliwataka kujisalimisha kwa ahadi ya kutowashambulia.


Stori: DW
Lazima awe shujaa while kichwa cha putin kikiburuzwa miji ya Urusi.
 

Hal Turner Radio Show




World​

Avostal Steel Plant in Ukraine Being Mercilessly Bombed​


HAPPENING NOW: Avostal Steel Plant in Ukraine Being Mercilessly Bombed

ASOVSTAL Steel Mill now under heavy bombardment and burning.
The Ultimatum for Ukraine troops to put down their weapons and surrender by 9:00 GMT has long expired.
The militant AZOV Brigade Nazis had a chance to leave and survive; they chose not to.
About one hour ago, the Russian Army ordered all units to attack the plant. It is being mercilessly bombed right now and is on fire.

UPDATE 3:16 PM EDT --
Ministry of Defense of Russia: Basements with militants at the Azovstal plant in Mariupol will not be stormed.
Supersonic bombers, Tu-22M3 Backfire-C, will bomb plant with high explosive demolition bombs FAB-3000.
Then will be use Heavy Flamethrower System TOS-1A Solntsepyok.
Inasikitisha Sana[emoji26]
Jamaa wamekufa aisee
 
Ooh My God!
Jizas!
Wamswalie Mtume!

Huyu mchekeshaji nafikiri anashirikiana Urusi kuidhoofisha Ukraine!
Nina mashaka makubwa! Huyu ni double agent, anafanya kazi na NATO na Put-in wote! Mwanasiasa malaya huyu siyo bure! Ndiyo maana westerners wapo mguu nje mguu ndani!
unaandika km taila vile
 
Back
Top Bottom