Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwako Puli ni sawa na kufirimbwa ...duuuh pole sana utakuwa na uzoefu sana wa kuzamishiwa nyama ...mpaka ulinganishe Puli na kuzamishiwa dyudyu.
😂😂😂 asante Dada .
una mama mtamu sana 😂😂😂.
 
.
Screenshot_20220418-193000.jpg
 
Bloody Cowards. Baada ya kushidwa kuteka ngome, Urusi wameamua kurusha mabomu kama hawana akili.

Warusi hawakuwa na alternative mkuu,AZOV Brigade Nazis
Millitia walikuwa wamejichimbia kwenye bunkers chini ya the

Avostal Steel Plant, wamepewa ultimatum watoke,hawataki kutoka,Urusi wangefanya nini?Ilibidi watumie mbinu zozote kumaliza tatizo.​

 
We jamaa ni ndezi kweli. Kwahiyo watu wamejificha na askari unaopambana nao kwenye vita. Ulitaka wawapelekee ugali huko mahandaki. Russia walikuwa waungwana wakawataka wajisalimishe, wao wamegoma ulitakaje yaani.
Wamepewa kinachowastahili.
Ndio maana tunasema Urusi wadhaifu, mara watishie kulipua nuklia. Hatimaye tunashuhudia mbinu ya hovyo kabisa ,kuteketeza nyumba ili kumshinda adui.
 
R.I.P Azov fighter

well done 🇺🇦🇺🇦 soldiers. No retreat no surrender.
👏👏👏👏 that's what the soldier should do for his mother land . We appliciate your highest level of patriot . You are so Native Be blessed for that 🙏🙏🙏🙏
BRAVO FIGHTERS 🙏🙏🙏.
Aluta continua. 👊👊
 
Population si hoja ya kuangalia sana, issue ni Purchasing power(PP), Uwezo wa hiyo population kufanya manunuzi.

Mfano mzuri ni sawa na mtu ufungue kiwanda cha gari hapa TZ(idadi yetu unaijua, tupo wengi tu) na mwingine akafungua kiwanda hicho hicho Canada(Population approx 39m).

Wa Tz atakuwa kazungukwa na watu wengi ila watazamaji, hawawezi kununua ila Canada bila kujali tumewazidi population kwa kiwango gani, hao hao wachache wanaweza fanya manunuzi kutuzidi.

Kuhusu mpango wa uzazi hilo ni suala jingine ambalo lina uhusiano na mambo mengi sanaa ikiwemo mikataba ya kulinda urithi wa dunia na mazingira, uwezo wa kujitegemea na mambo mengine ambayo hata tukianza kuyazungumza hapa ni mengi
Huko juu nakuunga mkono
Ila uzazi wa mpango niupuuzi tu wahawa wajinga
Leo hii mama zetu dada zetu (wanawake kiujumla) wapo hatarini nakupata makansa kwahuo ujinga wao wauzazi wampango kupitia hayo majira cjui ma p2 namengineyo
Wazungu wauaji sana hawa UMBWA
 
Warusi hawakuwa na alternative mkuu,AZOV Brigade Nazis
Millitia walikuwa wamejichimbia kwenye bunkers chini ya the

Avostal Steel Plant wamepewa ultimatum watoke,hawataki kutoka,Urusi wangefanya nini?Ilibidi watumie mbinu zozote kumaliza tatizo.​

👏👏👏 sawa mmewateketeza hongereni kwa kazi nzuri 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 👏👏👏
 

US set to start training Ukrainians on artillery system: Defence official​

The United States military is expected to start training Ukrainian trainers on using the Howitzer artillery system in coming days, a senior US defense official said on Monday.

The official, speaking on condition of anonymity, said the training would take place outside Ukraine, Reuters news agency reported.

Hadi sasa Mariopol bado haijaanguka
 
Warusi hawakuwa na alternative mkuu,AZOV Brigade Nazis
Millitia walikuwa wamejichimbia kwenye bunkers chini ya the

Avostal Steel Plant wamepewa ultimatum watoke,hawataki kutoka,Urusi wangefanya nini?Ilibidi watumie mbinu zozote kumaliza tatizo.​

Si kweli kwamba Mariopol imeanguka
 
Back
Top Bottom