Kuropoka!?!?!duh....Mnateseka Sana aisee?!ukiletewa hapa utafiti uliofanyika nchi mbalimbali kuhusu mtazamo na kuaminiwa kwa vyombo vya habari vya habari vya magharibi utasemaje Ndugu yangu?!?! Utaendelea kweli ku-comment kwenye Uzi huu?! Na bill Shaka huna habari kuwa mjadala umeshafanyika tayari na mingine inaendelea kufanyika kwenye nchi mbalimbali za West on media performance on/in Ukraine-Russia war ...verdict ni biased reporting in the mainstream media in favour of the west...Umefanya research au umeropoka tu brother, yaani kabisa unasema nchi mbalimbali duniani 😂😂😂😂 unachekesha sana. Harafu fahamu kuwa propaganda ni silaha na ina pande mbili uwongo na ukweli unaoumiza. Propaganda inaweza kupikwa kutokana na agenda ya kushamirisha jambo litokee. Kwa mfano, neno ( ubeberu ) ilikuwa ilikuwa ni propaganda ya kashamilisha sera ya ujamaa, ndani ya uwanja wa vita inaweza ikajengwa propaganda kama ( fake retreating ) kumuhadaa adui kisha kumshambulia kwa kasi. Mabeberu tunawachukia bure tu lakini wako smart sana mambo yao hawababaishi maana ushindani ndio jadi yao. Tunaitaji therapy kutibu ( inferiority complex) ili tuepuke unyonge kuona tunaonewa na mabeberu badala ya kushindana vizuri.
Bila Shaka hujui haya...kwenye Vita hivi media performance ni mbaya mno iwe media za Russia au za West...
Pole Sana Ndugu yangu...
Ushauri wangu jifunze angalau kidogo kutumia lugha nzuri kwenye mijadala ..hupotezi chochote ukifanya hivyo...