Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe jamaa mbna unapenda kumshambulia mtu kwa matusi badala ya kujibu kiustaarabu ?. Hivi tukisema humu wote tuanze kutukanana nini hatma yake ?. Kwanini usijibu hoja kiustaarabu ndugu . Heshima haiuzwi .wote humu matusi na kejeri tunaviweza tena pengine hata kuliko unavyofikiri .
Behave brother 🙏🙏🙏🙏!!!!!
Kama umebadirika sawa., Na akili zimekurudi.. Maana wewe ndio ulianza hizo lugha ....
 
Ni hesabu ya Ukraine. Kama kila habari za aina hii, ina propaganda. Kwa hiyo si ya uhakika sana. HAkika hao 1500 au nini waliotajwa na Urusi si kweli. (maana hata kwenye kuzama kwa Moscow hakuna taarifa hata ya kifo 1 - ambayo haina uwezekano mkubwa wakati baruti na roketzi ndani ya meli zinalipua).
Marekani nilisoma wanakadiria zaidi 10-12000 vifo upande wa Urusi.

Kwa vyovyote: kama wangebaki nyumbani na kufanya kazi yao halali: Kulinda na kutetea nchi yao - wote wangekuwa hai.
Propaganda ni section muhimu sana ndani na nje ya uwanja wa vita, recconaissance isipotumika vizuri lazima vifo vya askari viwe vingi kwelikweli. Frustration zinazotokea mstari wa mbele zisome tu kwenye media sio mchezo.

 
Prices for furniture in Britain have seriously jumped and continue to grow - because of the embargo on the supply of wood from Russia and Belarus.

The Guardian writes about this, citing manufacturers' statements.

So, according to Whitemeadow CEO Ian Oscroft, the cost of one sofa has increased by 25% compared with the period before Brexit.

And Managing Director of the Association of British Furniture Manufacturers Sean Holt stressed that manufacturers in the country have never faced the fact that the prices of materials have risen everywhere in this way.

“Our association members say prices will rise even more in the next few months,” Holt added.

Earlier, we recall, the UK Forest Stewardship Council suspended all trade certificates with the Russian Federation and Belarus and banned imports from these countries.
Galip Sr View attachment 2191508
Russio sio Zimbabwe
 
Ndugu yangu hiyo USA kwa Sasa mmmmmh Vita hii imetoa mafunzo mengi Sana kwa kweli...ukiona hata watu wa kawaida tu wanaanza kuzishitukia nchi za magharibi pamoja na vyombo vya habari vya kipropaganda ujue mambo yamebadilika...kwa Sasa katika nchi mbalinbali duniani kuaminika kwa BBC, Aljazeera, Skynews, Fox News, CNN kumepungua mno mno mno mno😁😀😁😀😂😂
Umefanya research au umeropoka tu brother, yaani kabisa unasema nchi mbalimbali duniani 😂😂😂😂 unachekesha sana. Harafu fahamu kuwa propaganda ni silaha na ina pande mbili uwongo na ukweli unaoumiza. Propaganda inaweza kupikwa kutokana na agenda ya kushamirisha jambo litokee. Kwa mfano, neno ( ubeberu ) ilikuwa ilikuwa ni propaganda ya kashamilisha sera ya ujamaa, ndani ya uwanja wa vita inaweza ikajengwa propaganda kama ( fake retreating ) kumuhadaa adui kisha kumshambulia kwa kasi. Mabeberu tunawachukia bure tu lakini wako smart sana mambo yao hawababaishi maana ushindani ndio jadi yao. Tunaitaji therapy kutibu ( inferiority complex) ili tuepuke unyonge kuona tunaonewa na mabeberu badala ya kushindana vizuri.
 
mkuu kwani hizo meli za 🇷🇺🇷🇺 + opec hazipo huko baharini ?. Zipo nyingi tu tena zinalandalanda kutafuta wateja kwa bei rahisi na yakutupwa . Hukumsikia juzi Mbunge shabibi akiishauri selikari kuwa njia ya kupunguza kupanda kwa nishati ya mafuta ni Ewura waruhusu kila mfanyabiashara akanunue mafuta anakojua yeye . unafikiri hawazioni hizo meli ?. Kwa sasa hivi kwa nchi zetu hizi kununua nishati kutoka kwa 🇷🇺🇷🇺 ni kuchezea ndevu za 🇺🇸🇺🇸 atakuchezesha mdumange na ngomanagwa hadi uyatapike hayo mafuta.😂😂😂
Wangapi wameshayatapika !!??
 
Kwani wewe ni mgeni Kama wewe ni mgeni humu kwenye hii thread anzia mwanzo 1 kuangalia coments za wadau humu wameshalitolea ufafanuzi sana sana tu .....alafu ukimaliza kupitia ndo utajua russia anataka nini huko ukraine.

au kama kuna mdau atajitokeza akujibu swali lako itakuwa poa ....zaidi

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Sijaona hoja za maana za Russia na Putin has more to loose than to gain from this war
 
Tumpe muda MKUU naamini PUT IN wanajua kipi wanafanya nanini wanatakiwa kukifanya nakwawakati gani wakifanye
Hao FINI na SWED hawatajiunga na NATO hiki kipigo walikua wanatumiwa watu salamu !!!
Asee watajiunga na NATO ili kujikinga na chokochoko za warusi
 
Yaani nchi kama Beralus, Russia ajiandae kuivamia tu, kama anaamini kuzimia nchi jirani ni suluhiso la usalama wake...

Yaani Pro Russia si wafatiliaji au wasomaji... Yaani Russia anaogopa sana nchi za Kidemokrasia kuwa jirani yake...

Syria ni utawala wa ukoo mmoja tu, so hili haliepukiki kuwa lazima majority watashinda tu...
Kwani tanzania wanatawalaje. Zanzibar watoto wawili wa rais wanatawala huku bara wengine wamepewa uwaziri hata uwezo hawana
 
Screenshot_20220418-163849_Samsung Internet.jpg
 
Jeshi la Ukraine Mariupol uzalendo mtupu, wamegoma kusalimu amri pamoja na kuzungukwa na adui. No retreat no surrender ,we shall fight to the last man standing.
Maneuver warfare, hii mbinu moja wapo kwani supremacy ya vikosi vya urusi vitakuwa challenged, kukataa kusurrender kunamaanisha kitu probably wamehakikishiwa msaada na vikosi vya silaha za msaada. Inaonekana wazi askari waliogoma bado wake kwenye defence line na fighting unit zao zinaweza kujibu mapigo. Kama wangekuwa wamezingirwa it means wanakuwa kwenye killing zone haina haja ya kuwaambia wajisalimishe wao wenyewe wataweka silaha chini. Vita ina level tatu yaani physical level, psychological level na analytical level, under this section makamanda wao watakuwa wamefanya analysis na kuona kuwa wanaweza kuendeleza mapigo licha ya kuzidiwa wingi wa askari. Personally, nawasifu askari wa ukraine ni wanaume haswaa wenye pumbu za chuma sio mchezo kuhimili supremacy ya jeshi kubwa kama la urusi.
 
Back
Top Bottom