Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe kutokuwa na Hizo taarifa unazozihitaji haimaanishi taarifa Hizo hazipo. Kutokufuatilia habari kwako hakumaanishi taarifa hazipo Bali ni uzembe wako. Ngoja nikujibu maswali machache,mengine ukasome;

1.Imepigwa mda gani?
Kafuatilie habari,mda wa tukio umetajwa kwenye Vyombo vya habari japo Urusi inakanusha.

2.Imepigwa na Kombora Aina ipi?
Meli imepigwa na Kombora Aina ya NEPTUNE ANTI-SHIP MISSILES. Hii ni Short range Missile(15Km) ambayo ilitengenezwa nchini Ukraine,ilifanyiwa Final Test mwaka 2021 na kuanza kutumika rasmi.

3.Imepigwa na Kombora Ngapi?
Swali Hilo halina jibu bayana. Kwa mjibu wa Ukraine,Walituma Kwanza Drones ya T2B ili kuzi-Diverge Radar Systems za Meli hiyo harafu baadae wakafyatua Makombora 2 ya NEPTUNE na Meli ikaanza kuwaka Moto. Kwahiyo haijulikani Kama Makombora yote 2 yali-hit target au ni moja tu lili-hit target.

4.Imepigwa na Kombora kutoka Ardhini,Baharini au angani?
NEPTUNE MISSILES Ni SURFACE-TO-SURFACE MISSILE. Kwahiyo lilirushwa kutoka Ardhini nchi kavu kwenda Majini.

5.Ilichukua mda gani Kuzama?
Kuhusu Mda wa Kuzama nadhani hili Swali waulizwe Russia maana sio kazi ya Mshambuliaji(Ukraine) kuanza kurecord mda ambao Meli itazama,Mpigaji kazi yake Ni Kufyatua Kombora na kuhakikisha Kombora Lime-HIT target na kusepa,hayo ya mda wa Kuzama Ni kazi ya Wenye Chombo Kurecord.

6.Je,Hilo Kombora liliwahi kutumika wapi?
Kama unamaanisha kwenye LIVE BATTLEFIELD halikuwahi kutumika zaidi ya mazoezini. Hii Ni kwasababu Ukraine haikuwahi kupigana Vita vikubwa namna hii,hata hivyo Kombora Hilo sio la zamani Sana Ni Jipya,Limeingia Service mwaka 2021 tu baada ya Kufanyiwa Final Test mwaka Jana April.

7.Ilipigwa Ubavuni,Chini au Juu?
Meli hiyo ilipigwa Juu kwenye Canon ambapo kwa Meli za Kivita za Urusi,Ammunitions zinakuwa karibu na Canon,ndio maana Shambulozi moja linasababisha hata zile Ammunitions za Meli zianze kulipuka na kusababisha Meli Kuzama haraka.
Hii hapa mkuu.
Screenshot_2022-04-18-09-32-55-970_com.gbinsta.android.jpg
 
Walishajaribu kutafuta njia ila ikashindikan.gesi ilitakiwa itoke Qatar ipite Saudia,ipite tena Jordan alafu ikatize Syria kisha ikatize Uturuki alafu ifikie Bulgaria.inasemekana moja ya chanzo cha vita vya Syria ilikuwa ni hii baada ya Assad kukataa bomba lisipite Syria.baada ya Assad kushinda vita hii project imekuwa Abandon projectView attachment 2191501
Hivi mkuu labda nikuulize kitu. Hivi hiyo nishati ya 🇷🇺🇷🇺 huko ardhini haitotokea kuja kuisha ?. Na je umewahi kujiuliza miaka ya mbeleni huko nchi zinazotegemea nishati ya 🇷🇺🇷🇺 wataishije?
Nchi nyingi kwa sasa zinajitahidi kugundua vyanzo vingine vya nishati unafikiri hawana akili?.
Teknolojia nyingi wanazivumbua zisizo husisha matumizi ya mafuta na gesi unafikiri ni vichaa?.
Moja kati ya sababu zinazowasukuma ni hiyo kuwa mafuta na gesi ni kama madini tu iko siku tutachimba yataisha tu .
Mwanafizikia Albert Einstein anatueleza kila kitu kilichopo hapa ulimwenguni kina nishati , kikubwa tu kitu hicho kiwe na mass . the issue comes how to change a mass to energy. Na hapo ndipo wanasayansi wanahangaika kubadili mass to energy. Na kwa kiasi kikubwa hatua imepigwa .
Amini iko siku hawa wenzetu dunia ya kwanza watakuja kuachana na matumizi ya nishati ya mafuta na gesi . ni lini ? Muda utaongea .
 
Walishajaribu kutafuta njia ila ikashindikan.gesi ilitakiwa itoke Qatar ipite Saudia,ipite tena Jordan alafu ikatize Syria kisha ikatize Uturuki alafu ifikie Bulgaria.inasemekana moja ya chanzo cha vita vya Syria ilikuwa ni hii baada ya Assad kukataa bomba lisipite Syria.baada ya Assad kushinda vita hii project imekuwa Abandon projectView attachment 2191501

Russia alicheza vzr karata zake kule ana venezuela asia support kama yote hapo lazma wapoteane
 
Utegemezi kwa nishati ya [emoji635][emoji635][emoji635] hilo halina ubishi kuwa jamaa wanategemea sana nishati yake. Ninachokisema Mimi ni kuwa lazma watatafuta njia mbadala ya kuepukana na nishati yake . japokuwa itachukua miaka mingi lakini inawezekana huko mbeleni .
Hata Putin juzi kwenye hotuba yake amesema pengo la nishati ya [emoji635][emoji635] kwa sasa halizibiki ladda HAPO BAADAE .
Labda nikuulize kitu . hiyo nishati inayochimbwa iko siku miaka ya mbeleni itakuja kuisha. Unataka kusema na ulaya yote shughuli zao zitasimama kwa kuwa [emoji635][emoji635] kamaliza malighafi yake ?.
Russia hesabu zake hazipo tena ulaya wala America saivi anwaza soko la Asia maana dunia kiuchumi nchi nyingi za Asia pato Lao linakuwa na viwanda vingi vinaamishiwa uko kwaiyo iyoo miaka mitano waliyojiwekea naye Rusia atakuwa kapata soko lake jipya kubwa ni seals la mda mtu
 
Mzee hakuna kinachoshindikana akiamua kuleta oil africa anaweza tumia hata meli zake zikafanya supply kupunguza transport cost.

Soko la nishati ni kubwa sababu hata iliyopo haitutoshi. Tusubiri tuone hakuna kinachoshindikana OPEC+ ndo kila kitu
mkuu kwani hizo meli za 🇷🇺🇷🇺 + opec hazipo huko baharini ?. Zipo nyingi tu tena zinalandalanda kutafuta wateja kwa bei rahisi na yakutupwa . Hukumsikia juzi Mbunge shabibi akiishauri selikari kuwa njia ya kupunguza kupanda kwa nishati ya mafuta ni Ewura waruhusu kila mfanyabiashara akanunue mafuta anakojua yeye . unafikiri hawazioni hizo meli ?. Kwa sasa hivi kwa nchi zetu hizi kununua nishati kutoka kwa 🇷🇺🇷🇺 ni kuchezea ndevu za 🇺🇸🇺🇸 atakuchezesha mdumange na ngomanagwa hadi uyatapike hayo mafuta.😂😂😂
 
Kaka rudi tena darasani usome vizuri, mambo ya sera za uchumi na siasa Kati ya mabeberu na nchi za asia, pia pitia kitabu '' why nations fail'' kushindana na mabeberu sio jambo jepesi hawa jamaa ni compitetive haswaa, kuna wajuvi wengi humu ndani wameonesha jinsi beberu mkuu alivyotake over china na mataifa mengi ya Asia. Kujua mwenendo wa geopolitics unapaswa kusoma kwelikweli vinginevyo hapa tutalishana matango Poli
Mkuu kila kitu huwa kiaonekana hakiwezekani mpaka kiwezekane, mawazo yako hata watu kipindi cha utawala wa Rumi waliamini hivyo, Ila tuupe muda nafasi utatupa majibu
 
Jomba katika ukurasa ulioanza nao hivi leo ase ni mgumu mno [emoji2958].

Katika majadiliano kuna watu wa aina 2,
[emoji298]Kuna aliye hiari kujifunza kupitia majadiliano...
[emoji298]Kuna anayetaka kushinda majadiliano...

Katika hayo makundi mawili wapo tena wa aina 2 kati yao
[emoji298]Ambao hutoa maelezo yao na kutetea hoja zao kwa wingi wa taarifa walizonazo...
[emoji298] Vile vile ambao hawana details za kutosha kwa ajili ya majadiliano...

Ukizama ndani tena kuna wa aina mbili zaidi kutoka kwenye hayo makundi juu...
[emoji298]Walio na hiari ya kutazama different perspective kisha ku-draw different opinions...
[emoji298] Na kuna yule ambae akishika kimoja ni hicho hicho hadi mwisho...

Zaidi kingine ndani ya majadiliano hisia pia huw zinahusika katika kutoa decisive judgement.... That's why hata kama Dokt n mjuzi kiasi gani haruhusiw kufanya OP kwa mtu wake wa karib. Kwasabab maamuzi yatakuwa yanaambatana na hisia.
[emoji298]So mahaba yakihusika utaona taratib mnatoka kwenye hoja za msingi na kuingia kwenye ushabiki...

Anyway jarib tu kutizama unajadiliana na mtu wa aina gani [emoji848]
🙏🙏🙏🙏
 
And when the dust settles, those who imposed sanctions will be forced to negotiate with us on our terms.”

Director General of Roscosmos Dmitry Rogozin spoke about the attitude towards the sanctions policy of the West. The head of the state corporation believes that external pressure will not prevent Russia from implementing national programs. Galip Sr

“Everything will be implemented on time, as it should be,” he said in an interview with the ONT TV channel.
20220417_182244.png
 
Prices for furniture in Britain have seriously jumped and continue to grow - because of the embargo on the supply of wood from Russia and Belarus.

The Guardian writes about this, citing manufacturers' statements.

So, according to Whitemeadow CEO Ian Oscroft, the cost of one sofa has increased by 25% compared with the period before Brexit.

And Managing Director of the Association of British Furniture Manufacturers Sean Holt stressed that manufacturers in the country have never faced the fact that the prices of materials have risen everywhere in this way.

“Our association members say prices will rise even more in the next few months,” Holt added.

Earlier, we recall, the UK Forest Stewardship Council suspended all trade certificates with the Russian Federation and Belarus and banned imports from these countries.
Galip Sr View attachment 2191508
[emoji635] sio [emoji117][emoji1269]
 
vita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa [emoji635][emoji635]. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo [emoji635][emoji635] atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?
Nikiwa mdogo pale kijijini kwetu aliwahi tokea jamaa mmoja aliitwa Mwasile , jamaa alifungua Kaduka kake , pale kijijini kulikuwa hakuna duka zaidi ya kwa jamaa . kwa kweli alikuwa ndo mkombozi niseme. Jamaa kulitambua hilo akaanza malingo Mara Leo afunguwe , kesho pamefungwa yaani akawa haeleweki sometimes mnashindwa hadi kunywa chai kisa sukari hamna Mwasile hayupo. Hali ile iliendelea bahati nzuri akaja mpemba mmoja akafungua duka lake kijijin tena kubwa kuliko la Mwasile . mwisho wa siku Mwasile Akahama pale hakuonekana mazma .
nikusaidie tu utegemez wa nishat unahitajika nch nying zinazoendelea.ndio mana jana putin kasema west wanaweza kujitegemea kinishat miaka michsche ijayo cha msing wao waelekeze nguv masoko mapya kwa wenye uhitaji kama asia na mide east na africA.jerman watawez kuwa na solar magar ya umeme sawa.sisi africa je tutaweza? ukisema atabaka na nishat yake yn jad sisi tukatae kununua mafuta yake?au una gar la umeme
 
The West has spent billions of dollars preparing the Ukrainian military to kill and die. Russia is not opposed to Ukraine, but to the entire Western world.”

Ex-deputy of the Rada Ilya @The_Kyva Kiva in an interview with RT noted that the West has long chosen a model of confrontation with the Russian Federation that is convenient for itself - with the hands or lives of Ukrainians:

“Since 2014, instructors from NATO countries have been actively working on the territory of my country, preparing the military for street fighting.

Few people know that once every two months, American aircraft took to the United States a group of military personnel who had already undergone special training directly at special American military bases. These are rapid response groups, special forces, liquidators.”
Galip Sr
Kilio cha ajabu kidogo. Hakuna askari wa Kirusi aliyeshambuliwa katika Urusi.
Hakuna aliyewaandaa wanajeshi wa Ukraine kushambulia Urusi.
Wanajeshi wote 20,000 wa Urusi walikufa wangekuwa hai kama wangebaki katika nchi yao.
Wanachofanya Waukraine huitwa KUJITETEA ambayo ni haki ya kila mtu..
Au nimekosa?
 
Kwa namna shughuli za kijeshi zinavyoendeshwa kwa umakini mkubwa hasahasa linapokuja swala la nyuklia ni vigumu kuamini kama wanaweza kufanya blunder (miscalculation) kubwa kiasi hiko.

Usifikiri macho na masikio ya jeshi la urusi yapo yote kwenye hii vita kiasi cha 'kushangaa na kujiuliza nini kimetokea' pale shambulio kama hilo likitokea.

Hakuna swala la kumshambulia urusi kwa ghafla. Kuna intelijensia inafanya kazi saa 24 kila kona ya dunia kuanzia madouble, matriple agents, sleeper cells, zipo satellite zinazorekodi movement NATO kila mahali achilia mbali drones, communication interceptions etc. NATO pia wanafanya hivyo kwa mahasimu wao.
Kwa yeyote kbl hujaanza kushambulia mwenzako tyr kashajua. Msamiati wa 'ghafla' haupo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Msamiati waghafla haupo
Naunga mkono hoja MKUU
 
Alternative ni ipi hiyo!?
Coal wanamtegemea Russia
Uranium wanamtegemea Russia
Mafuta wanamtegemea Russia
Hata magogo/Kuni wanamtegemea Russia

Hiyo alternative wanayoisema wataitafuta ni ipi na itatoka wapi!?

  • Mafuta yapo Venezuela na Iran ila Venezuela na Iran ziko na Putin watawasaidiaje!? Saudia ndio huyo ashaanza kuwa unreliable. Ktk kipindi hiki cha uhitaji Opec wanakataa kupump mafuta zaidi ili kujaza pengo la Russia.
  • Gesi ipo qatar ila haiwezi kufika ulaya bila kupitia Syria ambayo ipo chini ya Assad ambaye yupo madarakani mpk sasa kwa hisani ya Putin. Gesi haiwezi kupita kwake. Na ikienda kwa njia ya meli ni lzm itakuwa ghali
  • Coal na uranium usipozitoa russia si bei itapanda!?

Hivyo ni vitisho tu. Hawana ujanja

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ila siamin mpk wa leo huyule jamaa asad bdo yupo madarakn maana kwa ile vuguvug arab spring ilivoanza kwa hosni ilisambaa nikajua asad anatembea ila duh alikaza na ikaishia hapo hapo
 
Back
Top Bottom