Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanajeshi wa ukraine waliokamatwa na majeshi ya Urusi ukraine.....Wanavyotazama sasa[emoji23][emoji23]na aliwatuma makima nyie[emoji23][emoji23] putin piga makenge haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yuko wapi biden na nato yako awasaidie!!!!!Putin anajua kuwasaga hawa makunguni balaa[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmoja hapo haelewi hata imekuaje!!!tatizo zelensky haelewi!!Subirini mwone atakachofanywa na Kremlin tutakuja kumsomea arobain soon vita ni mkakati aisee[emoji1538][emoji1538][emoji1538]View attachment 2192243View attachment 2192244
[emoji23][emoji23][emoji23]KIMSBOY usiondoke humu sasa kuna hizi MMBU zinajiita pro NATO zina sumbua kweli kweli humu yaani kero tupu ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa zenu mnaona walivyogeuzwa mishkaki inatisha lakini kibri chao kimewaponzaView attachment 2192359
Huelewi kinachojadiliwa hapa? Heri unyamaze kuliko kuleta hapa ushenziw ako wa kitoto.
Nilimjibu jamaa kuhsu yale aliyowahi kuleta.
Wewe unatafuta nafasi tu kusambaza picha hizi zilizopelekwa tayari mara sijui ngapi lakini hazina uhusiano na yale yaliyojadiliwa.
Kama huelewi kitu wala huna cha kuchangia - P- O-!
 
Putin kawashika pabaya wapiganaji wa Mauripol waliosalia na kujificha, waomba msaada kwa Marekani + NATO wawaokoe dhidi ya njaa, kifo na kukamatwa mateka na majeshi ya Russia

Kiongozi wa kikosi cha kigaidi cha Azov nchini Ukraine analialia kuwaomba ati maraisi wa Marekani na 'washirika wake' wawafanyie mchongo wa njia ya kutoroka/kuchoropoka wapiganaji waliozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma cha pua Mauripo, waitiwe nguvuni na majeshi ya Russia. Anasingizia ati wanataka kuwaondoa raia, maiti kibao za wanajeshi wa Ukraine waliodedishwa ili wakazikwe na wapiganaji wengi waliojeruhiwa ambao hawana hata panadol za kupunguza maumivu.

Huyu kiongozi ni mpumbavu sana, anafikiri kuna rais yeyote dhaifu toka hizo nchi dhaifu anazoziomba atatia pua yake kwenye mavuno hayo yaliyoiva ya Putin.

SmartSelect_20220418-232707_Chrome.jpg

SmartSelect_20220418-232727_Chrome.jpg
 
Ili kifo kiwe cha kizembe kinatakiwa kiwe na sifa zipi ili ambao tupo hai tukwepe? Unadhani kifo chako kitakuwa cha kishujaa kuliko hawa askari waliokufa wakitii maaagizo ya mkuu wao wa kikosi?
Mkuu mwenyewe wa vikosi Ni yule mchekeshaji kibaraka wa mabeberu au Kuna mwingine mkuu[emoji3]
 

​


Sanctions on Russia are an own goal by west, says Putin​


The Russian president, Vladimir Putin, said on Monday that western countries had scored an own goal by imposing sanctions on Russia, which he said had led to a 'deterioration of the economy in the west'. Speaking about the state of Russia's domestic economy, Putin said that inflation was stabilising and that retail demand in the country had normalised
 
ni mimi ndugu yangu
nilibadili kwaajili ya hamasa ya match ya jana

Kwema lakini
[emoji3][emoji3][emoji3]

Kwema ndugu haya tuendelee na mtanange ......leta yale mapicha picha yako ya hovyo hovyo yaliyokaa ki pro nato. na mimi nikushushie ISKANDA M ...CLASTR BOMBOS .......alafu usisahau kuleta picha za wale maa azov waliokwama kwenye kiwanda cha chuma chini ya ardhi .....naskia wamesurrender wote na wametoka wazima kabisa aaaa....[emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Kwema ndugu haya tuendelee na mtanange ......leta yale mapicha picha yako ya hovyo hovyo yaliyokaa ki pro nato. na mimi nikushushie ISKANDA M ...CLASTR BOMBOS .......alafu usisahau kuleta picha za wale maa azov waliokwama kwenye kiwanda cha chuma chini ya ardhi .....naskia wamesurrender wote na wametoka wazima kabisa aaaa....[emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
umeskia kutoka kwa nan ukiwa kijiwe gani cha gahawha hapo buza? kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom