Tehe tehe tehe,inasemekana sababu ya kukataa kujisalimisha ni kuwa huko shimoni kulikua kumejaa special forces wa USA,UK,France,Poland,Canada na mamluki wengine kutoka nchi mbalimbali.
Inasemekana Special forces wa USA,UK na France walikua ni waalimu na washauri wa kivita wa wanajeshi wa Ukraine.
Inasemekana miongoni mwao kulikua Kuna makamanda Wazito kutoka USA,UK na Fr.
Inasemekana walitaka wajisalimishe lakini sauti kutoka Washington,London na fr wakiwataka wasijisalimishe.
Insemmekana katazo hilo lilikua ni kujadili kama Kuna namna ya kuwaokoa ilibwasiangukie kwenye mikono ya Moscow bear 🐻🐨.
Maana Ingekua ni aibu kubwa sana.
Inasemekana hakukua na nafasi kabisa ya kuwaokoa baada ya Moscow bear kunusa mipango hiyo,hivyo kusubiri atakae sogeza pua itakua chakula ya Moscow 🐻🐨.
Helkopta mbili kwa nyakati tofauti zilijaribu kufanya uokoaji lakini masikini yalikua ni mavuno ya Moscow 🐻🐨.