3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,019
naaam nipe khabariGanga Zumba katika ubora wako
naaam nipe khabariGanga Zumba katika ubora wako
Ukraine wanatumikishwa TU,The special operation of the Russian Armed Forces in Ukraine is going according to plan, Peskov said.
He also said that the dynamics of negotiations with Kiev leaves much to be desired, the Ukrainian side does not demonstrate constancy on the agreed points.View attachment 2192257
No retreat , no surrender. 👊👊👊Azov wameuwawa kwa kiburi Chao Cha kijinga, kutokusurrender.
Huu Ni ujumbe kwa wanajeshi wengine wa Ukraine kusurrender pale wanapoambiwa waweke silaha chini.
Tehe tehe tehe,inasemekana sababu ya kukataa kujisalimisha ni kuwa huko shimoni kulikua kumejaa special forces wa USA,UK,France,Poland,Canada na mamluki wengine kutoka nchi mbalimbali.👏👏👏 sawa mmewateketeza hongereni kwa kazi nzuri 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 👏👏👏
Jamaa zenu walishaishiwa silaha mda sana kilichobaki hawakua na jinsi ilibidi wapigwe tu, silaha zilizokua zinaingia ziliishia kuharibiwa na nyingine kukamatwaSi kweli kwamba Mariopol imeanguka
History will not remember any soldier who died there but will remember a stup id zeleensky.No retreat , no surrender. 👊👊👊
Better to die hard lethal to live dead .
Your names will be written in golden ink .
Since now you are the heroes of 🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦. Be blessed a lot .
Mungu humpenda askari shujaa .
Asante kwa kuthibitisha Putin haenelei "kwa upole ili kikinga watu raia", lakini anapiga hovyo ili kusambaza hofu na tishio.Wewe 'Kilaza' si ukatafute makala usome...unataka uletewe makala nzima hapa?
View attachment 2192272
Kufa kijinga jinga Ni upumbavu,No retreat , no surrender. [emoji109][emoji109][emoji109]
Better to die hard lethal to live dead .
Your names will be written in golden ink .
Since now you are the heroes of [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]. Be blessed a lot .
Mungu humpenda askari shujaa .
Ila jamaa ni mnoko sana.Uyu jamaa anamorali ya Vita balaa,
Tangu mwanzo anataka kuimaliza Hii Vita mapema mno.
Hivi huwamnaamka tu na kukomenti au Huwa mnapitia coments kwanza?Maneuver warfare, hii mbinu moja wapo kwani supremacy ya vikosi vya urusi vitakuwa challenged, kukataa kusurrender kunamaanisha kitu probably wamehakikishiwa msaada na vikosi vya silaha za msaada. Inaonekana wazi askari waliogoma bado wake kwenye defence line na fighting unit zao zinaweza kujibu mapigo. Kama wangekuwa wamezingirwa it means wanakuwa kwenye killing zone haina haja ya kuwaambia wajisalimishe wao wenyewe wataweka silaha chini. Vita ina level tatu yaani physical level, psychological level na analytical level, under this section makamanda wao watakuwa wamefanya analysis na kuona kuwa wanaweza kuendeleza mapigo licha ya kuzidiwa wingi wa askari. Personally, nawasifu askari wa ukraine ni wanaume haswaa wenye pumbu za chuma sio mchezo kuhimili supremacy ya jeshi kubwa kama la urusi.
Najua inachosha kukaza akili, hata hivyo jaribu tena:Jamaa zenu walishaishiwa silaha mda sana kilichobaki hawakua na jinsi ilibidi wapigwe tu, silaha zilizokua zinaingia ziliishia kuharibiwa na nyingine kukamatwa View attachment 2192280
Hivi wewe unalelewa hata kilichoandikwa chini ya hiyo picha?
www.protocol.com
Mi nakuambia hiviii,NATO ni kigenge cha wahuni hata jeshi letu likiaza tunawakimbiza wahuni hao
sawa tumekusikia . Chinja mbuzi ufurahie .Tehe tehe tehe,inasemekana sababu ya kukataa kujisalimisha ni kuwa huko shimoni kulikua kumejaa special forces wa USA,UK,France,Poland,Canada na mamluki wengine kutoka nchi mbalimbali.
Inasemekana Special forces wa USA,UK na France walikua ni waalimu na washauri wa kivita wa wanajeshi wa Ukraine.
Inasemekana miongoni mwao kulikua Kuna makamanda Wazito kutoka USA,UK na Fr.
Inasemekana walitaka wajisalimishe lakini sauti kutoka Washington,London na fr wakiwataka wasijisalimishe.
Insemmekana katazo hilo lilikua ni kujadili kama Kuna namna ya kuwaokoa ilibwasiangukie kwenye mikono ya Moscow bear 🐻🐨.
Maana Ingekua ni aibu kubwa sana.
Inasemekana hakukua na nafasi kabisa ya kuwaokoa baada ya Moscow bear kunusa mipango hiyo,hivyo kusubiri atakae sogeza pua itakua chakula ya Moscow 🐻🐨.
Helkopta mbili kwa nyakati tofauti zilijaribu kufanya uokoaji lakini masikini yalikua ni mavuno ya Moscow 🐻🐨.
Halafu huko ulaya wananchi wa kawaida kabisa wamemtaja kama "Dakatari bingwa" duniani aliemaliza corona.Mpaka sasa hakuna mkoa salama Ukraine, na bahati nzuri Putin ni muungwana sana yule baba, anastahili tuzo ya amani ya Nobel. Mpaka sasa amejizuia kupiga raia na makazi. Akiona wanajeshi au wanamgambo wanajichanganya na raia anomba waondoke kisha anaripua.
Hakika rais huyu mpole sana kutokea duniani ni baraka kwa urusi. Kila wakitaka kumpaka matope wanashindwa, wameenda kwenye vikwazo wameshindwa, huyu ni malaika sio mtu wa kawaida.
kufa ni kufa tu mkuu,kishujaa ama kizembe, wacha watetee nchi yaoKufa kijinga jinga Ni upumbavu,
Hata kuretreat Ni Njia sahii ya kujipanga upya kuliko kufa kizembe
inashida gani si moja ya habari
nway mkaitoe meli yenu red sea inachafua mazingira ya baharini