Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden rejects proposals by US Senator Koons calling for troops to be sent to Ukraine, the US is not going to fight with Russia, Psaki said.

20220417_182244.png
 
Wanajeshi wa ukraine waliokamatwa na majeshi ya Urusi ukraine.....Wanavyotazama sasa[emoji23][emoji23]na aliwatuma makima nyie[emoji23][emoji23] putin piga makenge haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yuko wapi biden na nato yako awasaidie!!!!!Putin anajua kuwasaga hawa makunguni balaa[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmoja hapo haelewi hata imekuaje!!!tatizo zelensky haelewi!!Subirini mwone atakachofanywa na Kremlin tutakuja kumsomea arobain soon vita ni mkakati aisee[emoji1538][emoji1538][emoji1538]View attachment 2192243View attachment 2192244
Naona yanaona aibu yanaangalia chini
 
Kwani Russia na Putin wanakujua wewe mpk wakuridhishe kwa hoja zao?

Wenye jukumu la kukuridhisha na hoja zao Ni CCM, wengine they don't give a damn.
LAKINI mkuu hii war imenigusa na mimi na mke wangu.

Petroli imepanda na huenda mama asiongeze tene ujira wakati wa Mei Mos.Vita lazima itetewe sio unaamka tu unaanza kupiga watu mabomu.
 
🤔🤔🤔 unaona wivu tukiwasifia marehemu ?.
Kazi ya mwanajeshi ni kupigana kufa na ushindi ni matokeo.
Wewe wasifu askari wa 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 kwa ushindi , na mm nawasifu askari wa 🇺🇦🇺🇦🇺🇦 kwa kufa kishujaa.​
Hahaha kijana wale hawakuwa waUkraine kwa taarifa yako. Hawana ushujaa wowote bali wanajificha sababu Geneva Convention inayowahusu POW haiwajumuishi mercenaries.

Waliojificha kule kiwandani ni wanaojiita mercenaries ingawa kimsingi ni wanajeshi wa NATO. Na ndio maana jana na leo wanakazania kweli Russia watoe safe corridors ili raia watoke lakini lengo sio raia bali wawatoe hao mamluki. Ndio maana wameambiwa wasalende hawataki wanajua wakifanya hivyo wakikamatwa na wakajulikana sio wanajeshi wa Ukraine ni kuuawa tu..​
 
Nafuatilia mjadala hapa hata sielewi, yaani naona kuna watu wanashangilia vita. aisee
Watu hawashangilii vita,bali mabeberu waliozoea kunyanyasa wengine Russia anavyowatesa. Nchi zaidi ya 30 kuisaidia nchi moja lakini bado wakula za uso hadi baadhi maghala yamebaki tupu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Warusi bado wanadhibiti Mariupol hadi mtu anaweza kurusha meseji anavyotaka?
Mpumbavu wa pekee ni yule aliyetangaza tangu wiki kwamba "Mariupol imeshatekwa na Urusi"
Tulia wewe Mwendawazimu, na kukaa unalialia hapa JF ukitafuta huruma...

Kama roho yakuuma kusikia mji wa Mariupol umetekwa kajinyonge
 
Fifth shipment of US military aid expected to arrive in Ukraine
The White House says four planes have delivered US military assistance to Ukraine over the course of the weekend, and a fifth was due to arrive.
 
Fifth shipment of US military aid expected to arrive in Ukraine
The White House says four planes have delivered US military assistance to Ukraine over the course of the weekend, and a fifth was due to arrive.
Bado mnaamini silaha ndio suluhisho. Nyosheni mikono jipangeni upya. Kwa akili ya Putin nchi itabaki majivu.
 
Back
Top Bottom