........MOSKASVZ halijasepa hivi hivi limeacha
Mkuu punguza hasira , kwanza bado hakuna udhibitisho ya kwamba Urusi imesha wauwa au bado.[emoji848][emoji848][emoji848] mkuu huo upendo kwa askari wa [emoji1255][emoji1255][emoji1255] umeuanza lini?
Mnapiga kelele humu kuwa lengo LA vita yenu ni ku demilitarization . sasa unaumia nini?[emoji848][emoji848][emoji848]. Acha wafe lengo lenu litimie .
mbona kama picha ya 1945 huko........MOSKASVZ halijasepa hivi hivi limeacha
L.E.G.A.C.Y au huoni hapo down
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192415
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Aisee URUSI Wana teknolojua ya hatar SanaSystem za kutungua hiyo ndege ndio haziwezi kufika usawa ilipo
Haabr nzur Kama hii ningependa kuiona BBC,cnn, aljazeera na wengineo.Putin kawashika pabaya wapiganaji wa Mauripol waliosalia na kujificha, waomba msaada kwa Marekani + NATO wawaokoe dhidi ya njaa, kifo na kukamatwa mateka na majeshi ya Russia
Kiongozi wa kikosi cha kigaidi cha Azov nchini Ukraine analialia kuwaomba ati maraisi wa Marekani na 'washirika wake' wawafanyie mchongo wa njia ya kutoroka/kuchoropoka wapiganaji waliozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma cha pua Mauripo, waitiwe nguvuni na majeshi ya Russia. Anasingizia ati wanataka kuwaondoa raia, maiti kibao za wanajeshi wa Ukraine waliodedishwa ili wakazikwe na wapiganaji wengi waliojeruhiwa ambao hawana hata panadol za kupunguza maumivu.
Huyu kiongozi ni mpumbavu sana, anafikiri kuna rais yeyote dhaifu toka hizo nchi dhaifu anazoziomba atatia pua yake kwenye mavuno hayo yaliyoiva ya Putin.
View attachment 2192377
View attachment 2192378
Warusi bado wanadhibiti Mariupol hadi mtu anaweza kurusha meseji anavyotaka?Putin kawashika pabaya wapiganaji wa Mauripol waliosalia na kujificha, waomba msaada kwa Marekani + NATO wawaokoe dhidi ya njaa, kifo na kukamatwa mateka na majeshi ya Russia