The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Ina ukweli kiasi gani?👇
Russia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.
akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.
na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
duh hio gar ya juu mzee alikuag nayo.chuma cha mrusi hicho[emoji635][emoji1255][emoji298]Lisichansk oil refinery after yesterday's Russian strike.
View attachment 2192318View attachment 2192319View attachment 2192320
Jifunze kwanza kuandikaRussia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.
akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.
na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uyu keshaweweseka,
Alina aache kulia Lia,
Washaambiwa waache kujificha kwenye mgongo wa raia.
Labda ni robot...nimeanza kuwa na Shaka ....haiwezekani Kila kitu 'inasikitisha saana'Come on,unafanya utoto gani?Watu tunafuatilia mjadala humu na updates,hiki unachofanya unafaidika Nini?Grow up bhana!
How?!Russia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.
akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.
na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hawa ndio honey trap.ni makomandoo wa fsb hatar kabisa hawa.bora utumiw wanaume kuliko hawa russisk honey trapRussia Raha Sana yaani [emoji39]
View attachment 2192725View attachment 2192726View attachment 2192729View attachment 2192731
Umetishanaaam nipe khabari
Hii Sasa Ni mvua ya mabomu[emoji26]Urusi imeanza kutoa dozi usiku huuView attachment 2192481View attachment 2192482View attachment 2192483View attachment 2192484
Rais wa dunia make Kwanza hapo ncheke labda rais wa dunia ya nyumban kwenu huyo hafai hata kuwa mtibu tarafaNafkiri Zelensky atakuwa Rais wa dunia., anajiamini, anatekeleza, anapambana, hachoki, ni jasiri na tunaona na kuthibitisha haya leo ni siku ya 60 almost bado Mrusi wa mchongo yuko Donbas., Kyiv ipo well intact, tuko pamoja naye wengi walimkebehi na kusema ni mchekeshaji lakini ni strong kuliko kiongozi yoyote niliyewahi kumsikia.
Kwa ufupi ni kwamba Mrusi hanusi kitu Ukrean hata huko Donbas atarudi kwao na damu za raia wa Ukraine ambao kwa vyovyote walipaswa kuwa salama na nchi yao.
Sawa anashidwa si watoke wapigane watakaa kwenye handaki mpka liniWarus wa kibongo poleni Sana hii vita Urusi anashindwa vibaya Sana na huyo Putin wenu anzani kuomboleza kwa Sababu ndo mwisho wake kabla ya kupelekwa kuzimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubalie tu yaishe .... Urusi anapigika haswaaa.How?!
Inabidi yule jamaa wa inasikisha sana atie nenoKwa kweli Urusi anapigika sanaaaaa yaniiiiii.