Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIA jamani hivi wale wanajeshi wa azov steel industry Russia inachukua hatua gani saizi ?
Wale wataachwa kule kule shimoni wafe mdogo mdogo kwa njaa
Wakiona mambo magumu waliishaambiwa watoke mikono ikiwa kichwani wakakaidi
Wale watakufa taratibu taratibu ama watasalimu amri chaguo nilakwao
 
Nyie hebu acheni mambo yenu bana,ndo kwanza kwarezima imeisha Jana na bado ramadhani inaendelea.
Hao wasichana mnaowaona wako fiti kuliko wanajeshi wa USA.🤪😜🙏
Hahaha wewe mwenyewe muda wote uko kwenye picha hizo...Uzi unasonga mbele kwa Kasi wewe bado umeganda kwenye picha hizo😀😁😂🤣😂😁😂😂
 
RUSSIA jamani hivi wale wanajeshi wa azov steel industry Russia inachukua hatua gani saizi ?
Washafyekwa wote, walionusulika wamekimbia.

Jana usiku bomber za Russia zimefulumisha mvua ya mabomu happy kiwandani hivi Sasa Ni vumbi tupu,

Wanajeshi wa Russia sahv wanafanya sweeping TU na kukamata silaha zilizosalimika
 
Wale wataachwa kule kule shimoni wafe mdogo mdogo kwa njaa
Wakiona mambo magumu waliishaambiwa watoke mikono ikiwa kichwani wakakaidi
Wale watakufa taratibu taratibu ama watasalimu amri chaguo nilakwao
Na mimi Nilikua naona hamna haja ya kuwapiga mabomu Wala Nini,Ni kuhakikisha tu Kuna ulinzi wa kutosha eneo zima la kiwanda then OP inaendelea sehemu nyingine Kama Kule Donbass.Kule chini wakae hata mwaka mzima njaa haina mbabe uvumilivu utawashinda tu.
 
Watu hawashangilii vita,bali mabeberu waliozoea kunyanyasa wengine Russia anavyowatesa. Nchi zaidi ya 30 kuisaidia nchi moja lakini bado wakula za uso hadi baadhi maghala yamebaki tupu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mimi sioni tofauti ya Rusia na Marekani.
Marekani huwa anaonea mataifa mengine, say mataifa ya kiarabu
Rusia pia amekuwa akionea mataifa mengine, hasa mataifa ya eastern europe.

Marekani alivamia Afghanstan,
Rusia alivamia Afghantan pia.

Marekani alivamia Iraq,
Rusia alivamia Geogia.

Wapi tena Marekani alivamia, recently, no where
Rusia, recently alivamia Ukraine, akateka Crimea, Kaivamia tena, anataka kuiteka yote nasikia.

Marekani alisaidia wapiganaji ndani ya Syria.
Rusia alisaidia wapiganaji na wachechnya.

n.k
 
Habari hizi kamwe hutozisikia BBC, CNN nk... ukraine wana hali mbaya jamani, huruma ya kibinadamu imeanza kuniingia.. putin wasamehe baba.. chukua donbase cremea na mariupol basi. Waachie vipande vingine
Screenshot_20220419-145636_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom