Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kabisa jamaa ukiwa unamfatilia unakua upande wake
Uzuri nilianza kumfatilia huyu mwamba miaka takriban saba ama nane nyuma kwahio kelele na propaganda za wamagharibi kwa huyu jamaa kwaupande wangu zilishanikosa muda sanaaa
Leo kuna muda nilipitia official page ya UNICEF walipost ama wamepost pics za wamama wajawazito wanaodai wapo UKRAINE kwenye OP inayoendelea
Aseee WESTERN wanapoteza ama washapoteza sana kwenye angle ya propaganda sababu ya hii OP
Ukipata wakat pitia kule uone koments za waungwana na raia wema
RUSSIA sio ZIMBABWE
UNICEF kwe page yao platform ipi?
 
March 7: Pakistan's PM Imran Khan criticizing foreign diplomats who pressured his country to join a UN resolution condemning Russia: "What do you think of us? Are we your slaves that whatever you say, we will do?"

April 10: Imran Khan ousted as Pakistan's PM.

Bado baadhi wanaendelea kuisashabikia hii western hegemony...
IMG_20220419_165757_365.jpg
 
Urusi anasema ni SPECIAL MILITARY OPERATION, Ukraine na Dunia inasema ni WAR.

Ukraine yuko karibu kuingia EU. Pengine washirika wa EU wakaingia kumkingia kifua Ukraine na vita ikapamba moto zaidi.

Just in case dunia inaingia kwenye vita kubwa zaidi,pengine ya tatu, Je Tanzania inajiqndaa kwa namna yoyote dhidi ya vita hii na athari zake?

Kujiandaa namaanisha;
1- Kuwekeza/kutunza chakula.
2-Kuwekeza/Kutunza mafuta,gesi,umeme.
3-Kununua/Kuhifadhi madawa ya binadamu,mifugo na mazao.
4-Kuwaelimisha watu juu ya matumizi na utunzaji rasilimali. Mfano Vyanzo vya maji,mimea.
5-Ibada kwa wale waamini.
6-Kupunguza matumizi yasiyo lazima na kuwekeza zaidi kwa tahadhari.

Hayo ni baadhi na maandalizi machache tu.

Je kuna haja ya kuenenda kwa tahadhari,kujiandaa kwa kesho tusiyoijua!?

Semper Fi.
 
Inasikitisha saana
Hii ya Sasa Ni kiboko,
Uko Uturuki nae katangaza special operation ndani ya iraq.

Jana Uturuki wameshambulia kaskazini mwa Iraq kwa mabomu Kama mvua

Hizi Vita sijui tunaelekea wapi[emoji848]
 
Urusi anasema ni SPECIAL MILITARY OPERATION, Ukraine na Dunia inasema ni WAR.

Ukraine yuko karibu kuingia EU. Pengine washirika wa EU wakaingia kumkingia kifua Ukraine na vita ikapamba moto zaidi.

Just in case dunia inaingia kwenye vita kubwa zaidi,pengine ya tatu, Je Tanzania inajiqndaa kwa namna yoyote dhidi ya vita hii na athari zake?

Kujiandaa namaanisha;
1- Kuwekeza/kutunza chakula.
2-Kuwekeza/Kutunza mafuta,gesi,umeme.
3-Kununua/Kuhifadhi madawa ya binadamu,mifugo na mazao.
4-Kuwaelimisha watu juu ya matumizi na utunzaji rasilimali. Mfano Vyanzo vya maji,mimea.
5-Ibada kwa wale waamini.
6-Kupunguza matumizi yasiyo lazima na kuwekeza zaidi kwa tahadhari.

Hayo ni baadhi na maandalizi machache tu.

Je kuna haja ya kuenenda kwa tahadhari,kujiandaa kwa kesho tusiyoijua!?

Semper Fi.
Hakuna kitu kaka vita ya Tatu haipo .... Mtu anachapika Hapo inaishia hapohapo.
 
Moderator naomba umfuatilie huyu jamaa na ikikupendeza tafuta namna ya kuzuia hii.
Anaboa.
M niko na huu uzi since day one ila sina cha kuchangia nasoma sasa huyu kenge maji hasikii kila mtu anamkemea.
Kua pro nato au RUSSIA au neutral kuliko anavyofanya.
Linaboa sanaaa sasa ivi n kuliacha tuu maana limeshaona n sifa.
 
Back
Top Bottom