Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu ROBOT aliesetiwa humu ..mwenye usemi wake unaosema ......

INASIKITISHA KWAAKWELI / SANA

mi nawashauri tu mumvumilie maana ndo MEDULA kaiseti hivo au kwa lugha ingine anamtindio wa ubongo .....tuvumiliane humu kila mtu anaakili zake .......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Daaaahhh anaboa kinoma
Apigwe ban ya miaka 5
 
.Yaani jamaaaa anamtandika ndugu yake Kwa kuwa tu ni Pro-russia .... Sasa kama ndugu yake anamfanya hivyo.... Hao waukraine wengine ambao sio ndugu ....!!!?? Unazi ni mbaya sana
 
Hahaha wewe mwenyewe muda wote uko kwenye picha hizo...Uzi😀nasonga mbele kwa Kasi wewe bado umeganda kwenye picha hizo😀😁😂🤣😂😁😂😂
Waone hivyohivyo warembo hao wa Russia,Russia inasifiwa kwa wasichana wazuri duniani,enzi za cold war waliwavuruga vibaya sana MaSpy wa west.
Sasa wewe ndugu yangu jipeleke TU.
Kama hawajakutumia kwenda kumakamata Zelensky.😀😃😀😀
 
Screenshot_20220419-194920.jpg
 
Mnavyojiachia sasa vijana wa Putin ..... Kuna watu wanapita kimyakimya kama wanaaga maiti ..🤣🤣🤣🤣
Ha ha haa,
Pro Rushia mna namajivuno sana,
Ingekua uko bungeni na ndugai akiwa spika,ungeombewa miongozo,na ukatakiwa kufuta maneno Yako,kwa kuwa umetumia maneno yenye kuudhi.
😀😀😀
 
Vikao viiiiingi bado maamuzi yale yale [emoji241] [emoji241] [emoji241]

[emoji845]Scholz after talks with Biden and Western leaders: The West adheres to the position that NATO should not participate in hostilities in Ukraine[emoji845]

Wakati huo huo Germany kafikia ukomo wa kutoa silaha, [emoji848][emoji847][emoji2958]

[emoji845]We have reached the limit in what we can supply to Ukraine from our own reserves of the German Armed Forces — German Chancellor Scholz[emoji845]

NATO slogan be like No Action Talk Only
Wakati wanaendelea kulalama kuna habari huko kwamba maeneo ya zaporinha kama nimeandika vyema na mengine nime yasahau majina wamepiga kura leo kujiunga na yale majimbo mawili yalio tangazwa na RUSSIA kwamba nijamhuri huru zinazojitegemea
Kwakweli PUT IN anaupiga mwingi sana yaan mpaka unamwagika
UKRAINE nisehemu isiotenganishika na RUSSIA walikua wanaitaftia sababu tuuu
Kwahuu mwendo TAIWAN wakae mkao wa KULA

MKUU hio habari imekaaje hapo yahayo majimbo kujitenga!!!!!
 
Vipi team javelin mpo humu? Nauliiza mpooo mana mahaba yalizidi humu mara javeline linaweza kugeuka mbuyu,mara javelin kiboko ,mara javelin hakuna zaidi yake,mara javelin ndo baba angu haya kiko wapi sasa ,we javeline usione aibu njoo huku uwaone wasifu wako wanaumbuka huku
 
CC like tahira linajiita sijui Gang nani!
 
Vipi team javelin mpo humu? Nauliiza mpooo mana mahaba yalizidi humu mara javeline linaweza kugeuka mbuyu,mara javelin kiboko ,mara javelin hakuna zaidi yake,mara javelin ndo baba angu haya kiko wapi sasa ,we javeline usione aibu njoo huku uwaone wasifu wako wanaumbuka huku
@Nyamizi
 
Back
Top Bottom