Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Itu kimetua mitaa ya Mariupol..... Huruma sana kule chini
Screenshot_20220419-200515.jpg
 
🇺🇦🇷🇺⚡Residents of the village of Rozovka, Zaporozhye region, voted at a people's meeting for joining the Donetsk People's Republic.

Thus, the territory of the DPR is expanding beyond the borders of the former Donetsk region of Ukraine. Everything will be DNR
 
Wakati wanaendelea kulalama kuna habari huko kwamba maeneo ya zaporinha kama nimeandika vyema na mengine nime yasahau majina wamepiga kura leo kujiunga na yale majimbo mawili yalio tangazwa na RUSSIA kwamba nijamhuri huru zinazojitegemea
Kwakweli PUT IN anaupiga mwingi sana yaan mpaka unamwagika
UKRAINE nisehemu isiotenganishika na RUSSIA walikua wanaitaftia sababu tuuu
Kwahuu mwendo TAIWAN wakae mkao wa KULA

MKUU hio habari imekaaje hapo yahayo majimbo kujitenga!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeisikia hiyo pia, ase tutashuhudia mengi mwisho wa hii OP... ile eastern party yote natumai haitachukuliwa na Russia Ila itajitenga na Kyv. DPR na LPR zitaongezeka ukubwa kieneo au pia ikazuka People Republic nyingine upande huo huo wa eastern. So siku za usoni tukisikia Kharkiv People's Republic tusishangae
images-2.jpg
Nikiitazama hii ramani nahisi siku za usoni huo "mfereji" wa maji ndio utakuja kua mpaka wa Ukraine Mpya upande wa Mashariki.
 
Vikao viiiiingi bado maamuzi yale yale [emoji241] [emoji241] [emoji241]

[emoji845]Scholz after talks with Biden and Western leaders: The West adheres to the position that NATO should not participate in hostilities in Ukraine[emoji845]

Wakati huo huo Germany kafikia ukomo wa kutoa silaha, [emoji848][emoji847][emoji2958]

[emoji845]We have reached the limit in what we can supply to Ukraine from our own reserves of the German Armed Forces — German Chancellor Scholz[emoji845]

NATO slogan be like No Action Talk Only

NATO wametia aibu ya millenium. Russia kawaumbua sana. Tunawambia kila siku Russia ndo mbabe wa vita kumbuka kapeleka wanajeshi wa kawaida tu [emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeisikia hiyo pia, ase tutashuhudia mengi mwisho wa hii OP... ile eastern party yote natumai haitachukuliwa na Russia Ila itajitenga na Kyv. DPR na LPR zitaongezeka ukubwa kieneo au pia ikazuka People Republic nyingine upande huo huo wa eastern. So siku za usoni tukisikia Kharkiv People's Repbulic tusishangae View attachment 2193274Nikiitazama hii ramani nahisi siku za usoni huo "mfereji" wa maji ndio utakuja kua mpaka wa Ukraine Mpya upande wa Mashariki.
Safi kabisa itapendeza
Mtoto akililia wembe
 
Urusi anasema ni SPECIAL MILITARY OPERATION, Ukraine na Dunia inasema ni WAR.

Ukraine yuko karibu kuingia EU. Pengine washirika wa EU wakaingia kumkingia kifua Ukraine na vita ikapamba moto zaidi.

Just in case dunia inaingia kwenye vita kubwa zaidi,pengine ya tatu, Je Tanzania inajiqndaa kwa namna yoyote dhidi ya vita hii na athari zake?

Kujiandaa namaanisha;
1- Kuwekeza/kutunza chakula.
2-Kuwekeza/Kutunza mafuta,gesi,umeme.
3-Kununua/Kuhifadhi madawa ya binadamu,mifugo na mazao.
4-Kuwaelimisha watu juu ya matumizi na utunzaji rasilimali. Mfano Vyanzo vya maji,mimea.
5-Ibada kwa wale waamini.
6-Kupunguza matumizi yasiyo lazima na kuwekeza zaidi kwa tahadhari.

Hayo ni baadhi na maandalizi machache tu.

Je kuna haja ya kuenenda kwa tahadhari,kujiandaa kwa kesho tusiyoijua!?

Semper Fi.
Naomba nichangie kidogo tu kwa hii hoja Yako.
EU Sio NATO
Urusi hitaki NATO mlangoni kwake.
Ndani ya NATO Kuna USA ,nae USA ana Nia ovu na Urusi nae Urusi anazijua Nia ovu za USA.
Uingereza sio mwanachama wa EU lakini ni mwanachama wa NATO.
Uturuki ni mwanachama wa NATO lakini sio mwanachama wa EU,na ameomba kuwa mwanachama Hadi kachoka EU hawamtaki,kisa sijui.....


Finland na Sweden sio Wanachama wa NATO lakini ni Wanachama wa EU.

Kwa hiyo Ukraine hakatazwi kuwa mwanachama wa EU .kwa sababu EU Sio umoja wa kijeshi.
 
Mkuu hapo hawatakiwi hata kidogo kupata eneo la bahari hao wanatakiwa wabakie wenyewe tu, ikiwezekana Hadi upande wanaopakana na ulaya kuwe na nchi nyingine halafu ni pro Russia, yaani mahitaji ya Kyiv mpaka yapite nchi nyingine ndiyo yafike kwake
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeisikia hiyo pia, ase tutashuhudia mengi mwisho wa hii OP... ile eastern party yote natumai haitachukuliwa na Russia Ila itajitenga na Kyv. DPR na LPR zitaongezeka ukubwa kieneo au pia ikazuka People Republic nyingine upande huo huo wa eastern. So siku za usoni tukisikia Kharkiv People's Repbulic tusishangae View attachment 2193274Nikiitazama hii ramani nahisi siku za usoni huo "mfereji" wa maji ndio utakuja kua mpaka wa Ukraine Mpya upande wa Masharik
 
After the massacre in Bucha, the Russian authorities and media tried to refute video footage coming from the city. Bellingcat and other researchers have studied their statements.
 
On the eve of the inspection of the territory of the Chernigiv region, the NSU patrols detected a Russian UAV, which explored the territory near one of the settlements. For unknown reasons, a sound and vein fell to the ground with the lethal apparatus.
 
Back
Top Bottom