bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
DuhhDaaaahhh anaboa kinoma
Apigwe ban ya miaka 5
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
DuhhDaaaahhh anaboa kinoma
Apigwe ban ya miaka 5
Umechanganyikiwa!?CV ya Hitler ni nzuri kuliko ya Putin.
Aliipigania hadi nchi yake vitani, hakujilimbikizia mali yeye na "Oligarchs" wake.
Aliandika hadi kitabu maarufu cha Mein Kampf
Dikteta Putin anapaka poda kwa Dikteta Hitler
Na hapo amemeza dawa ana angalau kidogo.Umechanganyikiwa!?
Ina maana hujaona mambo aliyoyafanya president Zelensky ya kutikisa tako.? Ina maana ni tusi? Ina maana hujui kua Zelensky anagawa lile tobo la taka? Ahaa mkuu!! Hata kama ni ushabiki huo umezidi.Huwezi kujenga hoja yako bila kutukana na kutokwa na povu?
Historian haitoi Mrusi mweusi.
Weusi unaowaona usa walienda zama za utumwa.
Umechanganyikiwa!?
Ina maana hujaona mambo aliyoyafanya president Zelensky ya kutikisa tako.? Ina maana ni tusi? Ina maana hujui kua Zelensky anagawa lile tobo la taka? Ahaa mkuu!! Hata kama ni ushabiki huo umezidi.
Yule jamaa kabla hajawa president alikua comedian na shoga..
Rais wa jamhuri wa watu wa donesk amekubali ombi la watu wa kijiji cha Rozovka kilichopo kwenye jimbo la zaphorizhzhia kujiunga na jimbo la Donesk.
Hakika, sijawahi kumuona Mrusi mweusi!
Uchawi upo mkuu,
Na Kuna Watu Kweli wamerogwa
Si zaidi kama comedian???
Zelensky sio shoga.Leta hoja , acha matusi hovyo kama umezaliwa na kulelewa jalalani.
Patamu hapo.
Sera za USA zinaanza kupingwa taratibu.mwisho wa siku watu wataingia mabarabarani hawaitaki NATO mazima.