Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sergei Grudinin, a 21-year-old conscript from the village of Ilinovka in the Amur Region, who served on the cruiser Moskva, is "alive, healthy and will soon be in touch."


I have been following you for some time now hata ulipokuwa unatumia ID yako ya zamani...it appears unapenda kupost picha za watoto wa wenzio waliopoteza maisha.
Come and think of it...is this ethical ?! Definitely NOT....utajisikiaje wewe ikiwa Ndugu zako waliopoteza maisha picha zao zinasambazwa hovyo mitandaoni?!
 
I have been following you for some time now hata ulipokuwa unatumia ID yako ya zamani...it appears unapenda kupost picha za watoto wa wenzio waliopoteza maisha.
Come and think of it...is this ethical ?! Definitely NOT....utajisikiaje wewe ikiwa Ndugu zako waliopoteza maisha picha zao zinasambazwa hovyo mitandaoni?!
Inasikitisha wako hapa wanaochukua habari za vita hiyo baya kama washabiki wakati wa mchezo wa mpira. Ni Kitoto, tena bila maadili yoyote... asante kwa mchango!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa jamaa wanatwambia wanayo Intelligence yote ya jeshi la Russia... ila hawajui exactly wapi silaha wanazotuma zinakoishia... Hawa ni watu wa HOVYO sana.

[emoji298]The United States cannot track exactly where the weapons they sent to Ukraine end up, CNN reported, citing sources in the country's defense ministry.

"The United States has few ways to track the significant shipments of anti-tank, anti-aircraft and other weapons that they sent across the border to Ukraine," the channel said.

According to CNN, in the long term, some of the weapons sent to Kiev, for example, "may end up in the hands of other armed forces and militias that the United States did not intend to arm."
 
Naona Putin sahizi kawaamulia
"Military operation in Ukraine is going well according to plan"- Putin. Alafu Yule Shoga akamcheka.
Wakati Putin anaachana na Kiev,kuna wajinga walisema kashindwa,sasa hii ni Bora angeichukua Kiev kuliko kupoteza ardhi, tukumbuke Zelensky alisema yupo tayari kwa masharti yote,Ila sio la kuiachia hata "inchi moja" ya ardhi ya Ukraine. Hapa Russia Kalamba dume.
 
Kyiv sio ardhi?
"Military operation in Ukraine is going well according to plan"- Putin. Alafu Yule Shoga akamcheka.
Wakati Putin anaachana na Kiev,kuna wajinga walisema kashindwa,sasa hii ni Bora angeichukua Kiev kuliko kupoteza ardhi, tukumbuke Zelensky alisema yupo tayari kwa masharti yote,Ila sio la kuiachia hata "inchi moja" ya ardhi ya Ukraine. Hapa Russia Kala dume.
 
Jamaa hana jina,
Kamji flani kadogo hakana jina.

Uongo mtupu
Niliwahi kuona makala ya jamaa mmoja Ni mtanzania amekaa huko Russia miaka mingi Sana ameshachukua na urais wa huko,ameoa Mrusi na huyo jamaa alichaguliwa kua mayor wa kamji flani kadogo huko Russia.Nikiipata nitaiweka hapa.
 
Sana tu... Kuna sehem anasema ”Even before I finished high school, I wanted to work in intelligence. Granted, soon after, I decided I wanted to be a sailor, but then I wanted to do intelligence again. In the very beginning, I wanted to be a pilot,”

Kabla hajamaliza High School alienda KGB directorate kuuliza namna gani anaweza kua Intelligence Officer, There, he was told that first, he would have to either serve in the army or complete college, preferably with a degree in law.

"And from that moment, I began preparing myself to enter the law department at Leningrad State University,” anaeleza Putin.

Baada ya Masomo yake hayo ndani ya miaka 1970s huko ambapo 90% ya wachangia huu uzi hawajazaliwa Putin alikuwa anafanya kazi KGB kama Jasusi... "Intelligence Officer", hapo ukumbuke akiwa na degre ya sheria na mpiganaji mzuri wa Judo.

Miaka ya 1990s huko from baada ya kurejea kutoka Germany, akawa Assistant to the Rector of Leningrad State University in charge of International relations. Na ni ndani ya miaka hii ya 90+ alipoanza kukwea katika ngazi za juu.

[emoji298]1991y Chairman of the Committee for International Relations at the St Petersburg City Hall
[emoji298]1994y Deputy Chairman of the St Petersburg City Government
[emoji298]1996y Deputy Chief of the Presidential Property Management Directorate
[emoji298]1997y Deputy Chief of Staff of the Presidential Executive Office and Chief of Main Control Directorate.

Hapa utaona Career yake ilivokuwaina rise so sharply ajab zaidi busy working na bado alikuwa anaendelea thesis yake ya PhD ya Uchumi kutoka St. Petersburg State Mining Institute.

[emoji298]1998y Akawa appointed kua Director of the Federal Security Service.
[emoji298]From March 1999y, he also held the position of Secretary of the Security Council of the Russian Federation.
[emoji298]Hiyo hiyo 1999y Mwezi August akawa appointed kua Prime Minister wa Russia Government, hii post alipewa na aliyekuwa Rais wakati huo Marehem Boris Yeltsin

Haikuchukua mda ndani ya mwaka huo huo wa 1999y Boris Yeltsin akajiuzuru na akamkabidhi Putin Urais, wakati huo akawa kama Acting President... Putin aliwah kunukuliwa akisema “Two or three weeks before New Year, Mr Yeltsin called me to his office and said that he had decided to step down. This meant I would have to become Acting President,”

Akasema zaidi kua "I had my own thoughts, my own reasoning, but at the same time, there was another logic I had to consider too. Fate was offering me the chance to work for the country at the very highest level and it would have been foolish to say, no, I’m going to go and sell sunflower seeds instead, or go into private legal practice. I could do all those other things later after all, and so I decided that this had to come first, and everything else later,”

Huh na mwaka ulofata 2000 March 26 akachaguliwa rasm kua Prezdaa wa Russia federation na ndio huyu twamshuhudia leo... Eti wasomi wa kibongo wanakwambia Putin kichaa hajui akifanyacho sheenzi kbs

Nenda pale Ukraine omba CV ya Rais wao...

1993-2018 Comedian
2019 Up to date President af huyu ndio yule aitwa Smart na shujaa... WTF MFs
Good citation.
Umemuelezea vizuri Sana na very simple.

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Ushauri:
1. umwandikie barua Papa Fransiko, Puti apelekwe kwenye orodha wa watakatifu!
2. Kuhusu Zelenski: unyoshe kidogo wimbo lako la "comedian"
a) tafuta Kiswahili, ni aibu kurudi kwenye lugha ya wakoloni!
b) usisahau ana digrii ya sheria. Sijui wewe unazo digrii ngapi, lakini nikilinganisha na kiwango cha wastani cha jukwaa hiyo, naona si vibaya.
c) alifanya kazi ya mchekeshaji, si vibaya kusahau kutaja kwamba aliweza kuwasiliana na wananchi wake ili wamchague na kumpa kura nyingi sana, tena kura halisi ambazo Putin anaota ndoto tu.
d) si vibaya kutaja kwamba alipoamua kutoingia kazi ya kisheria baada ya kuhitimu (sijui una ushuhuda Putin alihitimu??) alikuwa mjasiriamali akaunda kampuni yake, akaajiri watu na kulipa mishahara (kwa pesa yake, si kwa pesa ya walipa kodi - sijui Putin aliweza kupata senti nje ya ofisi za serikali??)
e) si vibaya kutaja kampuni ya Selensky ilikuwa mtoaji wa maudhui mbalimbali kwenye media ya Ukraine - na hata Urusi. Maudhui ambayo so vichekesho pekee.
Si lazima kuni shukuru kwa ushauri bora!
Pole sana mkuu..
Umeandika kwa uchungu...!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
CV ya Hitler ni nzuri kuliko ya Putin.
Aliipigania hadi nchi yake vitani, hakujilimbikizia mali yeye na "Oligarchs" wake.
Aliandika hadi kitabu maarufu cha Mein Kampf
Dikteta Putin anapaka poda kwa Dikteta Hitler
Sasa unataka kusema nini juu ya rais Zelensky? Kutikisa matako? Kulalana na wanaume??
Sitaki tubishane kuhusu Putin, sijaona rais wa kumlinganisha nae duniani kwa sasa.. wengine ni wagonjwa wa dementia.
 
The German manufacturer of household chemicals Henkel announced the termination of business in Russia.
20220417_182244.png
 
Russia ya Putin haifikii kwa mbwembwe USSR ya Stalin na Kruschev ilyopigana na Hitler, iliyotengeneza nyuklia, kupelekeza satellite mwezini na kutaka kuweka makombora Cuba.

Heshima ya nchi inajengwa na uchumi, sanaa na mahusiano yake na nchi nyingine.
USA ana Hali ngumu aisee,
Anaona jinsi heshima yake inavyoshuka kwa Kasi na anajiuliza atairudiaha vipi..
 
Huwezi kujenga hoja yako bila kutukana na kutokwa na povu?
Sasa unataka kusema nini juu ya rais Zelensky? Kutikisa matako? Kulalana na wanaume??
Sitaki tubishane kuhusu Putin, sijaona rais wa kumlinganisha nae duniani kwa sasa.. wengine ni wagonjwa wa dementia.
 
The network trolls the mayor of Kramatorsk Alexander Goncharenko, who said that "the Armed Forces of Ukraine are fighting like lions in the Amazon forests."

Users noticed that there are no lions in the Amazon, and instead of forests, there are jungles.
20220417_182244.png
 
Back
Top Bottom