Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ingelikuwa hii vita wanapigana wabongo na Russia tayari mungekwisha peleka mattako yenu urusi zamani, wabongo ni watu waoga sana, Saivi Ukreane washamsoma Urusi tokea siku aliyoanza kuvamia aliingia na gia ya kuwataka majeshi ya ukraine ku-sarrenda lakini Ukrean wamekuwa wakikataa na hakuna chochote alichofanya Putin zaidi ya kutoa majeshi yake Kyiv na kurud Donbas baada ya maafa ya wanajeshi wake wingi sana zaidi ya 16,000
Sisi hata hao Wakenya tu watatuhemyesha haswaa
 
Sawa ..tumekusikia .... Mnavyoviita vita vinaedeleaje huko....
Sio vita ni special operation, mpaka sasa jimbo la mariupol tumelichukua kwa 100% hivyo eneo la mashariki mwa Ukraine tuna control nalo kwa zaidi ya asilimia 87. Mariupol, Donetsk, luhansk, cremea zote zitajitenga na nchi ya ukraini na kuunda nchi mbili au 3.

Ukraine atakosa udhibiti wa bandari, na maeneo muhimu yenye rasilimali na ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha ngano. Tupo mdogo mdogo hatuna haraka, yaani pale Ukraine ndio tumefika, hatuondoki leo wala mwaka 2030, kama yupo wa kututoa nenda ukamwite.
 
Na kule Iraq, je, USA aliivamia na kumuua Saddam Hussein kwa sababu gani?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Sadam Hussein alikua ana silaha za maangamizi,ambazo ni hizo hapo chini.
Screenshot_20220412-002702.jpg
 
Na kule Iraq, je, USA aliivamia na kumuua Saddam Hussein kwa sababu gani?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Mara ya kwanza waliingia kwa haki baada ya Saddam kuvamia Kuweit. Umoja wa Mataifa uliidhinisha.
Mara ya pili walivunja sheria ya kimataifa na kugushi sababu ya silaha kali.
Ujifunze kutofautisha!
 
Taarifa zinasema kuwa Urusi imeahirisha kulishambulia na kuliteketeza eneo la kiviwanda ambako wanajeshi wa Ukraine wamejificha baada ya kugundulika ya kwamba kuna raia zaidi ya 1,000 walio jificha kwenye eneo hilo.
Sasa Urusi itatumia kikosi maalumu kwa ajili ya kulivamia eneo hilo ili kuepusha maafa dhidi ya raia waliojificha humo.
Inasikitisha sana tche tche..!!
 
Huwa unapenda kuuliza maswali tu kama mtu anayejua sana ili kuficha ujinga wako, ni mkakati mzuri lakini wa kitoto uki overdo.
Uingereza aliwawekea vikwazo viongozi wa wapi Jamhuri za wapi ....!!??
 
Back
Top Bottom