President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
The Norwegian authorities have decided to send about 100 Mistral anti-aircraft missile systems to Ukraine, the Kingdom's Ministry of Defense announced.
Sadam Hussein alikua ana silaha za maangamizi,ambazo ni hizo hapo chini.View attachment 2193675
Na kule Iraq, je, USA aliivamia na kumuua Saddam Hussein kwa sababu gani?
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
hivi na wewe pamoja na wenzako mnafurahije uvamizi wa urusi kwa nchi ya ukraine ambayo wananchi wake walikuwa wanaishi kwa amani na mashikamano tena mnafurahi sana wale wabakaji wa kirusi wakifanya uonevu kwenye nchi ya watu UTU uko wapi?I have been following you for some time now hata ulipokuwa unatumia ID yako ya zamani...it appears unapenda kupost picha za watoto wa wenzio waliopoteza maisha.
Come and think of it...is this ethical ?! Definitely NOT....utajisikiaje wewe ikiwa Ndugu zako waliopoteza maisha picha zao zinasambazwa hovyo mitandaoni?!
Kwakweli Marekani ni majambazi wa kimataifa. % kubwa ya kipato chake ni kutokana na wizi.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Shida ma ccm hii kitu hawataki sijui wanaogopa nini!?TANZANIA ILUHUSU URAIA WA NCHI MBILI ILI TUISHI POPOTE, DUNIANI
MSio vita ni special operation, mpaka sasa jimbo la mariupol tumelichukua kwa 100% hivyo eneo la mashariki mwa Ukraine tuna control nalo kwa zaidi ya asilimia 87. Mariupol, Donetsk, luhansk, cremea zote zitajitenga na nchi ya ukraini na kuunda nchi mbili au 3.
Ukraine atakosa udhibiti wa bandari, na maeneo muhimu yenye rasilimali na ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha ngano. Tupo mdogo mdogo hatuna haraka, yaani pale Ukraine ndio tumefika, hatuondoki leo wala mwaka 2030, kama yupo wa kututoa nenda ukamwite.
Unajiona moderm et ....Watumiaji wa tecno mna shida sana.
Russia iko kwenye self-defense. Ukraine ni kichaka Cha NATO na West katika njama za kuitaka kuiangamiza Russia. Ukraine inatumika kama front au launching pad ya USA, NATO na nchi za West dhidi ya Russia.
Nioneshe mahala ambako Russia alitumia Nyuklia.Hakuna nchi yenye viongozi wenye akili timamu wanaoweza kuivamia nchi yenye maelefu ya silaha za nyuklia.
NATO ndio defensive organisation dhidi ya uvamizi na vitisho ambavyo Russia imekuwa navyo kwa muda mrefu dhidi ya jirani zake.
Ukitizama namna EU countries wanavyopelekwa pelekwa na Washington, vile namna US anavojiamulia tu kila idara kwenye mambo yao haikupi kigugumizi kusema EU ni Colony la US.
Nazungumzia uvamizi uliofanywa na George Bush, Colin Powell na Donald Ramsfield.Mara ya kwanza waliingia kwa haki baada ya Saddam kuvamia Kuweit. Umoja wa Mataifa uliidhinisha.
Mara ya pili walivunja sheria ya kimataifa na kugushi sababu ya silaha kali.
Ujifunze kutofautisha!
hivi na wewe pamoja na wenzako mnafurahije uvamizi wa urusi kwa nchi ya ukraine ambayo wananchi wake walikuwa wanaishi kwa amani na mashikamano tena mnafurahi sana wale wabakaji wa kirusi wakifanya uonevu kwenye nchi ya watu UTU uko wapi?
Ngoja tuinywe wote dawa alioitengeneza mrusi hapo ukraine iwe pro NATO or Pro Russia btw ni bando langu naposti ninachoona kwangu kinafaa