Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukitizama namna EU countries wanavyopelekwa pelekwa na Washington, vile namna US anavojiamulia tu kila idara kwenye mambo yao haikupi kigugumizi kusema EU ni Colony la US.

Their Presidents are just governors reporting to their President in the US. In other words Europe is just another state of America. Stupidity [emoji706][emoji706]
 
Kwa sababu Saddam Hussein alikuwa ni "murderous dictator", aliwauwa sana Wakurdi na Washia, alikuwa anavamia Jirani zake Kuwait na Iran kwa sababu zile zile Putin alizozitumia kuivamia Ukraine. Alilifanya eneo la Gulf kuwa kwenye tension muda wote. Dictator mharibifu kama yule na wengine wanapaswa kuondolewa kwa sababu zozote zile zinazoweza kutumika.
It was good riddance.


Kusupport uvamizi wa Iraq aliofanya President Bush Jr unakuwa unafanya udhalimu ndugu yangu wakati wavamizi walizingizia kwamba sababu yao kuu kumvamia Sadam Hussein ni kwa sababu ya yeye kumiliki WMD lakini hakukuwa na hizo WMD kwa Sadam Hussein na nadhani wenyewe wanakiri kwa sasa kuwa walikosea
 
Russia iko kwenye self-defense. Ukraine ni kichaka Cha NATO na West katika njama za kuitaka kuiangamiza Russia. Ukraine inatumika kama front au launching pad ya USA, NATO na nchi za West dhidi ya Russia.
Hawakuweza... hawawezi na kamwe hawataweza, Russia yuko decade ahead of NATO kwenye military power...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Russia are Powerful yet wako humble hawana shida na mtu [emoji847] ila yule Kenge w Blue anavuka Atlantic yote kwenda kuzua ***** ***** mashariki ya kati na kuweka vijisilaha vyake kibarazan kwa mwenzie...
E5jczQQVIA8hHqi.jpg
Em fikiria hizo dot zote unazoziona hapo ni Base za US hapo hujazungumzia wanajesh wake waliopo maeneo ambayo yeye hajaweka base.

A country with millitary presence in over 130 Countries, nchi pekee inayoongoza kwa uvamizi duniani kuna pimbi mmoja uko eti anasem NATO ni defensive alliance... He is nutty ASF

Imagine a world where instead of the US empire funding military bases around the globe we had 800 centers of cross-cultural cooperation designed to cultivate the best ideas in #Climate resilience, civic engagement & sustainable innovation?

Hawa wenzetu sijui huwa wanaitazama dunia kutokea shimo gani.
 
India Set to Boost Russian Energy Imports


Indian importers plan to increase purchases of Russian crude oil and coal at discounted prices, media reports have stated.


State-owned oil refiners plan to boost Russian imports, shifting their purchasing strategy from tenders to negotiated deals in order to get larger discounts, according to The Economic Times.


Separately, S&P reported that India is looking to raise imports of Russian coal amid stockpile shortages, as Moscow’s discounted prices are much lower than Australian and South African coal.
 
Nioneshe mahala ambako Russia alitumia Nyuklia.
Nchi pekee Duniani iliyowahi tumia Nyuklia, inajidai inajali sana kuhusu Nukes
Uko umeenda mbali... Iraqi alivamiwa kwa speculation kua anazo WMD... Weapons of Mass Destruction. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakampiga weee kisha wakamnyonga mzee wa watu bure...

Haya hizo WMD ziko hapo Russia wasogeze pua basi m@mae...[emoji848] Ukiwauliza kwanini hamuendi wanajifanya ooh hawataki direct confrontation na Russia...

WMD si ni zile zile... Kwanini Iraqi walipigwa Russia wanamkimbia...
 
Thibitisha haya maneno yako "Russia yuko decade ahead of NATO kwenye military power..."
Maelezo yako yaliyofuata baada hii sentesi yanathibitisha ni kinyume chake!
Ondoa hii contradiction.
Hawakuweza... hawawezi na kamwe hawataweza, Russia yuko decade ahead of NATO kwenye military power...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Russia are Powerful yet wako humble hawana shida na mtu [emoji847] ila yule Kenge w Blue anavuka Atlantic yote kwenda kuzua ***** ***** mashariki ya kati na kuweka vijisilaha vyake kibarazan kwa mwenzie...View attachment 2193742Em fikiria hizo dot zote unazoziona hapo ni Base za US hapo hujazungumzia wanajesh wake waliopo maeneo ambayo yeye hajaweka base.

A country with millitary presence in over 130 Countries, nchi pekee inayoongoza kwa uvamizi duniani kuna pimbi mmoja uko eti anasem NATO ni defensive alliance... He is nutty ASF

Imagine a world where instead of the US empire funding military bases around the globe we had 800 centers of cross-cultural cooperation designed to cultivate the best ideas in #Climate resilience, civic engagement & sustainable innovation?

Hawa wenzetu sijui huwa wanaitazama dunia kutokea shimo gani.
 
Their Presidents are just governors reporting to their President in the US. In other words Europe is just another state of America. Stupidity [emoji706][emoji706]
Wangese sana hawa [emoji1787]... Af ukiyakuta kwenye kauli zao wako wazi kabisa wanajisema na kujiita World leaders...
IMG_20220420_093210_374.jpg
Wanajiona wako na haki ya kujudge kila kona ya dunia [emoji848] Nimeisoma hio Post nikabaki nacheka tu.
 
‘This Will Tear the EU Apart’: German Energy CEO Speaks Out Against Russian Gas Ban


"It's not just that this step would hit Germany hard, it would pose a huge problem for Europe," the CEO of EON, Leonhard Birnbaum, told the Handelsblatt business newspaper.


"If we think we can just secure the supply in Germany without caring for the other countries, this will tear the EU apart," he added, referring to many other European nations like the Czech Republic and Austria which rely heavily on Russian energy.


The executive speculated that Berlin would need at least three years to become energy independent from Moscow.
 
Sio vita ni special operation, mpaka sasa jimbo la mariupol tumelichukua kwa 100% hivyo eneo la mashariki mwa Ukraine tuna control nalo kwa zaidi ya asilimia 87. Mariupol, Donetsk, luhansk, cremea zote zitajitenga na nchi ya ukraini na kuunda nchi mbili au 3.

Ukraine atakosa udhibiti wa bandari, na maeneo muhimu yenye rasilimali na ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha ngano. Tupo mdogo mdogo hatuna haraka, yaani pale Ukraine ndio tumefika, hatuondoki leo wala mwaka 2030, kama yupo wa kututoa nenda ukamwite.
Ungesoma vizuri swali langu ..ungejua nimemuuliza PRONATOAMERICA..... ndio maana nimemuuliza "SAWA tumewasikia , mtuambie hiyo mnayoita vita (wao maNATO) inaendeleaje .... Usiwajibie bwana mkubwa...
 
Mara ya kwanza waliingia kwa haki baada ya Saddam kuvamia Kuweit. Umoja wa Mataifa uliidhinisha.
Mara ya pili walivunja sheria ya kimataifa na kugushi sababu ya silaha kali.
Ujifunze kutofautisha!
Walivyoingia mara ya pili walishitakiwa wapi ...!!?? Ulisikia kauli ya White house na pentagon Baada ya ICC kutaka kuanza uchunguzi!!? Nini kilitokea !!? Mkae Kwa utulivu .... Walivyokuja kukiri kwamba intelligence yao iliwadanganya hatua Gani zilichukuliwa!!??
 
Ase Pro-NATO au kwa yoyote anayehisi yuko huu upande please save your bullshit... Sina mda wa kujadiliana na nyie.

Sasa kiumbe unani'qoute ukizingatia upo ndani ya 'Ignoring List", mara ya kwanza sijakujibu, mara ya pili sjiakujibu wakazana tu hivo vipele mnavitoa wapi?

Em tuacheni kujaziana notifications[emoji298][emoji1787] zisizo na kichwa wala Miguu... Narudia tena ka unajijua Pro-NATO don't qoute plz...

Just chilling and hold you a** off..
 
Huwa unapenda kuuliza maswali tu kama mtu anayejua sana ili kuficha ujinga wako, ni mkakati mzuri lakini wa kitoto uki overdo.
Unaona sasa ulivyo mwehu ... Wewe unajinasibu mwerevu na bado unatumia maneno yasiyo na staha ...mpumbavu sana wewe .... Nimekuuliza Uingereza WAMEWEKA VIKWAZO Kwa viongozi Gani !!?? Nikurahisishie ukiondoa viongozi wa Urusi na Belarus . Uingereza imeweka vikwazo Kwa viongozi wa nchi Gani !!?? Na waliwaitaje kwenye bill yao ya sanctions hao viongozi wa LPR na DPR!!?? .... ukishindwa pita hivi usiniletee mavimavi.
 
hivi na wewe pamoja na wenzako mnafurahije uvamizi wa urusi kwa nchi ya ukraine ambayo wananchi wake walikuwa wanaishi kwa amani na mashikamano tena mnafurahi sana wale wabakaji wa kirusi wakifanya uonevu kwenye nchi ya watu UTU uko wapi?
Ngoja tuinywe wote dawa alioitengeneza mrusi hapo ukraine iwe pro NATO or Pro Russia btw ni bando langu naposti ninachoona kwangu kinafaa
Ukikemea wewe inatosha...
 
❗️Briefing of the Russian Ministry of Defense (20.04.2022)

◽️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

💥 As a result of a strike by high-precision missiles in the areas of Novovorontsovka and Kislevka, up to 40 people of Ukrainian troops were destroyed, as well as seven pieces of military equipment.

💥 Operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces hit 73 military facilities of Ukraine during the night.

▫️ Among them: four command posts, 57 places of accumulation of manpower and Ukrainian military equipment, seven strongholds and four ammunition depots. Also, as a result of the strikes, six tanks, nine armored vehicles and a battery of 152-mm Msta-B howitzers were destroyed.

💥 Rocket troops and artillery attacked 1053 objects of the Ukrainian military infrastructure.

▫️ Among them, the following were destroyed: 31 command posts, six warehouses of fuel and lubricants, 910 strongholds and enemy manpower concentration areas, as well as 106 artillery firing positions.

💥 Russian air defense systems shot down six Ukrainian unmanned aerial vehicles over the settlements of Podvysokoye, Chistovodovka, Yakovenkovo, Pokrovskoe. Also in the areas of Donetsk and Skilevatoe, two Tochka-U tactical missiles were shot down in the air.

📊 In total, since the beginning of the special military operation, 140 aircraft, 496 unmanned aerial vehicles, 253 anti-aircraft missile systems, 2388 tanks and other armored combat vehicles, 256 multiple rocket launchers, 1029 field artillery guns and mortars, as well as 2232 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine
 
Back
Top Bottom