Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sema team Ukraine uko Mariupol Warusi wametushika pabaya sizani kama tutaboa .

Ukraine imesema ipo tayari kuliachia jiji ilo la Mariupol endapo Urusi itakubari kuwachia wanajeshi wake walio nasa uko na raia lakn urusi imekata



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Inaonekana ndani ya hao Askari wa Ukrane kuna siri kubwa, maana Ukrane anavyohaha na hao Askari sio mchezo.
 
I don't even know what a 19-year-old sailor Maxim Mikov, a native of Khabarovsk Territory, did in the Kiev region, but he fell very painfully and with ends

 
Downed Russian UAV "Orlan-10" (sorry, the number is not visible)
 
During the SVO 01/04/22 he fulfilled his duty to die near Mariupol Demidov Nikolai Olegovich. 24 years of life for a native of the Stavropol Territory is more than enough
 
And also pieces of some aircraft knocked down by pvoshniks #dshv #vsu. They say it's a Russian unmanned rotary wing "Horizon Air S-100", maybe so

 
Captain Yevgeny Alekseevich Akimov, the commander of the aviation guidance group, was already going to retire from Chita, but the evil nationalists on 03/20/22 disrupted all his plans. And they didn't even give up the repair.
 
Ujerumani yako vipi??
Bei imeshuka baada ya kuondoa aina flani ya 'tax'... mapato yatapungua! Nchi nyingi zimefanya hii kitu.(Uholanzi,Belgium na Germany) Kumbuka kabla ya vita wa Dutch wengi walijaza mafuta ujerumani... ila sasa hivi wajerumani wanaenda kujaza mafuta uholanzi. 🙆‍♂️
 
The Permanent Representative of Ukraine to the UN said that more than 500,000 Ukrainians were "forcibly transferred" to Russia, including 121,000 children.

According to him, Ukrainian citizens are sent to "economically depressed regions" of Russia, in particular, the northern regions and Sakhalin Island, where they receive documents prohibiting them from leaving Russia for two years.

Pan Kislitsa, of course, did not provide proof of his words. But he repeated the word "GULAG" ten times. And this was enough for the entire progressive public to believe him.

Nobody cares how, where and under what conditions the Ukrainians evacuated to Russia actually live.
 
Akili huwa inatanguliq rasilimali na malighafi. Japan ni taifa dogo sana lisilo na rasilimali lakini ndilo la tatu kwa ukubwa wa uchumi duniani. Unaweza kuwa na madini yote na misitu...
Mkuu hiki ulichoongea unajua chanzo chake?

Sasa Mimi nakuambia hili ulilosema chanzo ninmarekani na nchi za ulaya, kivipi ni hivi

Katika vuguvugu la kudai Uhuru kwenye miaka ya 1950, bara la afrika lilikuwa na vijana wachache wenye elimu ambao wengi wao ndiyo walikuwa wanaendesha harakati za kudai Uhuru

Sasa baada nchi hizo kupata Uhuru marekani na nchi za magharibi Kwa makusudi walianzisha mpango kabambe wa kuhakikisha kwenye kila nchi wale vinara ambao walikuwa mstari wa mbele kuwaamsha waafrika kujitambua, watu hao wanaangamizwa

Kwenye nyaraka za CIA walizozitoa Kwa public zinasema wazi kuwa waliohusika na kifo cha Patrice Lumumba wa zaire ya zamani, kuna wengi waliuliwa kipindi hicho wakina augustino Neto, Samira Machel, augustino Neto, kwame nkurumha na wengineo na kuhakikisha inchi hizo zinatawaliwa na wajinga wajinga ambao hawajielewi ili hata wanapoiba basi hawataaumbuka Ila watapewa msaada na vibaraka walio madarakani, mfano mzuri Mobutu seseko baada ya kumuua Lumumba wakampa nchi, angalia unafiki wa watu wa magharibi suala la demokrasia halikuwepo tena maana Mobutu alitawala vipindi vingi na wala suala la demokrasia halikuwepo

Matokeo yake afrika imekuwa masikini baada ya kuwekewa viongozi wabovu na mataifa ya magharibi, ndiyo viongozi waliokubali kutoa madini ya nchi Kwa mrahaba wa 3%, unategemea unaweza kuwapa wananchi maendeleo Kwa kiasi hicho cha malipo ya madini????

Sasa hivi mkoloni Hana haja ya kuja afrika kuweka viongozi Ila alichofanya kwenye serikali nyingi za kiafrika kwenye nafasi za decision makers wamekaa wapumbavu halafu anachokifanya ni kuwaaambia hao wapumbavu kuwa wakijichanganya wanakosa madaraka na hawatakaa warudi, sasa hawa decision makers wanafanya kila Aina ya uovu ili wabaki madarakani, hawa wapumbavu ndiyo chanzo cha umasikini afrika

Kilichopo sasa hivi wenye uzalendo na weredi hawana madaraka, wapumbavu na wajinga ndiyo wanamadaraka
 
Back
Top Bottom