Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Alie nani ? Hebu fuatiliza mjadala nani aliekuw analia sawa dogo
Tulia Putin akutie nyembe
Alie nani ? Hebu fuatiliza mjadala nani aliekuw analia sawa dogo
Kadyrov Ni mtu na nusu[emoji28]View attachment 2193692
Kadyrov spoke about the cleansing of Azovstal from Ukrainian nationalists and showed captured equipment
Ha ha ha.....Kamanda wa kikosi cha Ukrane kilichosalia Mauripol amesema wamebakiwa na siku chache kama sio saa chache za kuendelea kuwa hai.
Kamanda amesema wamezidiwa askari mmoja kwa askari kumi wa Kirusi..
Urussi sio Zimbabwe
Kadyrov ndio kiongoz wa operation uko mariupol.Sema team Ukraine uko Mariupol Warusi wametushika pabaya sizani kama tutaboa .
Ukraine imesema ipo tayari kuliachia jiji ilo la Mariupol endapo Urusi itakubari kuwachia wanajeshi wake walio nasa uko na raia lakn urusi imekata
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wampigie Zelensky aje awatoe[emoji3]
Wazungu wote ndugu,hata wachina
Wote
Propaganda za kishamba kabisa[emoji28]The Permanent Representative of Ukraine to the UN said that more than 500,000 Ukrainians were "forcibly transferred" to Russia, including 121,000 children...
Huyo mwamba ni hatari, yeye ni Vita tu.Kadyrov ndio kiongoz wa operation uko mariupol.
Hawez kukubaliana huu upuuzi,
Yeye Ni Kichapo mwanZo mwisho[emoji4]
Si vile. Ujerumani walitangaza kwamba wanataka kubadilisha sheria ya kodi, hawakufanya bado. Tangu kupungua kwa bei serikali imeanza kujuta tayari kwamba walianzisha mchakato wa kubadilisha sheria.Bei imeshuka baada ya kuondoa aina flani ya 'tax'... mapato yatapungua! Nchi nyingi zimefanya hii kitu.(Uholanzi,Belgium na Germany) Kumbuka kabla ya vita wa Dutch wengi walijaza mafuta ujerumani... ila sasa hivi wajerumani wanaenda kujaza mafuta uholanzi. 🙆♂️
OkYeye Ni mbongo na alichaguliwa kua Mayor.
Hivi hicho kidubwana kwenye mbilinge mbilinge za russia kutakuwa na muda wa kuweka tako chini kweli nato wanachekeshaKijisilaha hicho ndo cha kupigana na Russia au zimbabwe??
Labda wanataka Papa aende akawaombee misa takatifu ya maziko kabla ya kifo Chao[emoji28]Kamanda wa majeshi ya Ukraine yaliyojichimbia kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma amemuomba papa Francis wa Vaticana asaidie kuokoa maisha yao.
Amesikika kwenye vidio akilalamika kuwa wamebakiwa na masaa machache tu huku akitilia maanani nyongeza ya muda wa kujisalimisha uliotolewa na Urusi huku na wao wakiwa wameishiwa na chakula na silaha na vile vile kuzingirwa kwenye njia zote za kutokea.
Huyo kamanda zaidi ya kuomba msaada kwa papa ili waokolewe amewaomba viongozi wote duniani kusaidia kuondoka salama eneo hilo hata ikiwa watapelekwa nchi nyengine ya mbali.
ttps://www.bbc.com/news/live/world-europe-61157670
Kakabidhiwa mikoba na Putin,