Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jaman mwenye uwezo akajaribu hata kuwatorosha.

View attachment 2193850
Utamu wa Vita huwa hapo,unapombana panya wako,kila akijaribu kutoa kichwa achungulie anakutana na mlio wa bullets ,anarudisha kicha ndani ya shimo!! hapo lazima achague option moja Kati ya 3;- ajimalize yy,au akubali bullets ya adui ndo Ichomoe moyo wake,au a surrender !!! na mki surrender Basi mjue hamtabaki wote hai ,Kuna wengine watalamba bullets tu,Kama kamanda wenu atakuwa kichwa ngumu kuwapa full info watakazotaka!!!!
 
hivi na wewe pamoja na wenzako mnafurahije uvamizi wa urusi kwa nchi ya ukraine ambayo wananchi wake walikuwa wanaishi kwa amani na mashikamano tena mnafurahi sana wale wabakaji wa kirusi wakifanya uonevu kwenye nchi ya watu UTU uko wapi?
Ngoja tuinywe wote dawa alioitengeneza mrusi hapo ukraine iwe pro NATO or Pro Russia btw ni bando langu naposti ninachoona kwangu kinafaa
Ndugu yangu nadhani wewe ni mchanga Sana kwenye geo-politics...na kama sivyo Kuna elements za ndani mwako za fanaticism in support of America, NATO and its cronies...Russia siyo wendawazimu kihivyo kuanza tu kuishambulia Ukraine...There are genuine reasons for doing that...Russia is defending itself against the West and particularly NATO and USA ambao wanatumia Ukraine kutaka kuiangamiza Russia..
 
Ajab tangu waingie mzigoni sjawah sikia Ukraine wamebahatika kukamata chechen walau m1 tu dadeki [emoji3][emoji3]
Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
 
Waliojichimbia uko kwenye mahandaki kiwanda Cha chuma AZOVSTAL Hali sio shwari kabisa.

Wako outnumbered na wamezungukwa kila Kona
Njaa,kiu na majeraha vinataka kuwaua, wamebakisha masaa kua hai.

Sasa wanaomba msaada wasaidiwe kutoka.

Zelensky aliwatia kiburi Cha kipumbavu kwamba wasikubali kusurrender,

Sasa Matokeo yake ndo kama haya,
[emoji28]
Screenshot_20220420-132806.jpg
Screenshot_20220420-133222.jpg
 
Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Hao hapo ndani ya Mariupol ni dada zako wa mwembe yanga au sio [emoji57]
 
Waliojichimbia uko kwenye mahandaki kiwanda Cha chuma AZOVSTAL Hali sio shwari kabisa.

Wako outnumbered na wamezungukwa kila Kona
Njaa,kiu na majeraha vinataka kuwaua, wamebakisha masaa kua hai.

Sasa wanaomba msaada wasaidiwe kutoka.

Zelensky aliwatia kiburi Cha kipumbavu kwamba wasikubali kusurrender,

Sasa Matokeo yake ndo kama haya,
[emoji28]View attachment 2194075View attachment 2194076
Kiwanda kinafumuliwa muda hu
 
Hizo ndege zote zitakuwa chakula cha S-400
Mkuu mpaka sasa Urusi ishashindwa vita hii,wao walikuwa na kila kitu na wameshindwa kuiangusha serikali. Je Ukraine kupata msaada wa ndege na vifaru kidogo lazma watoboe tu.
 
Germany instead of supplying weapons to Kiev will transfer modern tanks to countries of Eastern Europe, ready to send Ukraine weapons from the times of the USSR - Bloomberg
 
Back
Top Bottom