Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin doesn't seem upset at all about Zara, H&M and Uniqlo leaving Russia:

“If someone leaves the Russian market, then the holy place is never empty. I would like domestic producers to take it. It is necessary to add in terms of technologies and materials, and there are a lot of talented people in the Russian Federation. We have great potential."
 
Alipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
Hivi we jamaa ni mzima kweli?

Unajua unacho kiongea?

Hivi unadhani silaha huwa zimerundwa tu sehemu moja unaenda kuharibu tu kirahisi sio?
 
Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Hatimaye Umefufuka katika wafu.... Karibu tena jukwaani.
 
Wewe ndio mchanga kwenye geo-politucs Kama ungekuwa sio mchanga ungefahamu Russia haijaanza kuvamia majirani zake leo.

Ina Historia ndefu sana kuvamia nchi jirani. Stalini alivamia Finland na Poland mwaka 1939 ikachukua eneo kubwa tu kutoka Finland, Ilivamia nchi ya Chechnya ikaichukua kabisa,iliivamia Afghanistan ikaangukia pua baada ya US kuwaunga mkono Mujahedin.

Ndugu yangu nadhani wewe ni mchanga Sana kwenye geo-politics...na kama sivyo Kuna elements za ndani mwako za fanaticism in support of America, NATO and its cronies...Russia siyo wendawazimu kihivyo kuanza tu kuishambulia Ukraine...There are genuine reasons for doing that...Russia is defending itself against the West and particularly NATO and USA ambao wanatumia Ukraine kutaka kuiangamiza Russia..
 
Mkuu mpaka sasa Urusi ishashindwa vita hii,wao walikuwa na kila kitu na wameshindwa kuiangusha serikali. Je Ukraine kupata msaada wa ndege na vifaru kidogo lazma watoboe tu.
Marekani wamesema hawaelewi kama kweli silaha zinazotumwa Ukrane kama zinawafikia jeshi la Ukrane, maana kila wakituma Silaha kwenye uwanja wa mapambano hazionekani.
 
Putin katika miaka ya karibuni amekuwa karibu mno na Kadyrov na amefungua misikiti mingi mikubwa ambayo haionekana hata mataifa ya kiarabu.Imesaidia sana kuwavuta wachechen na mataifa ya kiarabu kuwapuuza NATO. na vita vyao visivyokwisha.Yale yalikuwa ni matayarisho ya kisaikolojia kwa kuingia vitani ili kuwazima Ukraine.
Hilo nalo lawezekana, maana kidunia chetu hiki kimejaa illusions za kutosha. Kuhusu Dini naeza sema Russia pako safe. Russia nahisi ndio taifa pekee duniani ambalo limejaa kila aina ya dini chini ya jua. Na wanaheshimiana kila kundi na imani yao huwakuti wakibaguana.

Ukija kenye ethnicity pia hivo hivo.

Ila kuna kitu naweza kupishana na wewe kidooogo. Kujenga misikiti sio sababu ya hapo middle east kumuunga mkono. Kwasabab kwa mtazam wangu Middle east hapo kumejaa corrupted leaders na vibaraka wa jua linakozamia...

Eneo lile sehem kubwa linatawaliwa kifalme, so mbio za viongozi ndani ya familia ni mtifuano mtupu.

Nikikwambia CIA wana mkono mrefu hadi hapo kwenye hizo Royal Family sina hakika kama tutakubaliana ingawa ndio uhalisia. Sabab zipo nyingi tu za wao kumpa kisogo US na kundi lake kisha kubaki neutral...

Hivi vikundi vya waasi wanavitrain na kuvi-arm hawa hawa Pentagon kwenye kila taifa watakapotaka kusimamisha uongozi wanaoutaka au kunapokuwa na interest zao zingine.
 
Acha kuwavunjia heshima hawa watu walisha itoa makamasi Urusi sema tu walikosa msaada wa silaha kama anao pata Ukrain.
Sasa Chechens walioivujisha jasho Urusi ndio hawa kina Kadyrov? Wale watukutu sio hawa na hawawezi kubaliwa kuingia jeshini, ndio maana humu nilishasema Russia akishindwa kulinda uchumi wake dhidi ya sanctions kuna vi-regions humo vitaleta matata. Kadyrov ana maadui kwake Chechnya na analindwa na Putin kwa vile wanafaana kwenye maslahi ya kitaifa.

Chechens walilifanya jeshi la Urusi lionekane na kasoro. Baadae 2008 pale Georgia Russia ikaonekana jeshi lake bado haliko sawasawa. Ndio maana wakakimbilia kufanya carpet bombing mji. Ukraine aliomba no fly zone kwa sababu hii Russia wakishindwa chini hupiga miji ovyo kutokea angani, wao wana allergy na smart munitions.

Anatoly Serdyukov aliyekuwa Defence Minister kabla ya Shoigu alifanya mabadiliko makubwa sana kwa Russia na akagombana na oligarchies wengi hata hakudumu kwenye cheo kile. Alileta mageuzi ya haraka na alikuwa smart, yule kazoea kuongoza corporates Putin akamuamishia Rostec ndio hapa wanasaidia modifications za hizi Su na Mig. Shoigu alikuja kuendeleza reforms ambazo zimepimwa Syria na sasa Ukraine
 
Hatimaye Umefufuka katika wafu.... Karibu tena jukwaani.
Mimi nipo sana tu. Nakwepa kuandika mambo marefu ambayo mara nyingi sio direct na hii vita. Mfano kuna muda nimekaa nikafatilia na kujiridhisha kwa sasa Chinese navy inaizidi Russian navy kwenye technology, capabilities, quantity na quality ya surface combatants.

Nacholenga ni different perspectives
 
Alipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
Et alipigwa kwa kustukizwa unazani hizo ni ngumi za bar haya rudi Facebook haraka Sana
 
Russia handed over to Ukraine a draft agreement with clear language, but Kyiv is in no hurry to react, said Dmitry Peskov.

"Our draft document has been handed over to the Ukrainian side, which includes absolutely clear wordings worked out. The ball is on their side. We are waiting for an answer," he said.

According to Peskov, the Ukrainian side is constantly moving away from previously agreed positions, constantly changing them - this negatively affects the effectiveness of the negotiations.
 
Hao hapo ndani ya Mariupol ni dada zako wa mwembe yanga au sio [emoji57]
Kadyrovites sio wapiganaji wa kuaminia hata kidogo. Kwenye siege ngumu ngumu wao hawapigani maeneo makali. Proportion yenye Tiktok accounts wengi ni wao, kwanza hazipandi sana na Federal troops ndio maana mara nyingi hawawi pamoja. Wao wanasubiri mpigane waje kurekodi kupost mitandaoni.

Pale Mariupol wapo % chache kati ya wanajeshi wa Russia wanaopigana. Ni kama wengine wanavyokosea kwamba Azov battalion pekee ndio wanapigana Mariupol wakati kuna vikosi vingine ambavyo ndio wengi. Kadyrovites wenyewe hawakuja wengi wakipata casualties kubwa ni political disaster kule kwao
 
Sasa Chechens walioivujisha jasho Urusi ndio hawa kina Kadyrov? Wale watukutu sio hawa na hawawezi kubaliwa kuingia jeshini, ndio maana humu nilishasema Russia akishindwa kulinda uchumi wake dhidi ya sanctions kuna vi-regions humo vitaleta matata. Kadyrov ana maadui kwake Chechnya na analindwa na Putin kwa vile wanafaana kwenye maslahi ya kitaifa.

Chechens walilifanya jeshi la Urusi lionekane na kasoro. Baadae 2008 pale Georgia Russia ikaonekana jeshi lake bado haliko sawasawa. Ndio maana wakakimbilia kufanya carpet bombing mji. Ukraine aliomba no fly zone kwa sababu hii Russia wakishindwa chini hupiga miji ovyo kutokea angani, wao wana allergy na smart munitions.

Anatoly Serdyukov aliyekuwa Defence Minister kabla ya Shoigu alifanya mabadiliko makubwa sana kwa Russia na akagombana na oligarchies wengi hata hakudumu kwenye cheo kile. Alileta mageuzi ya haraka na alikuwa smart, yule kazoea kuongoza corporates Putin akamuamishia Rostec ndio hapa wanasaidia modifications za hizi Su na Mig. Shoigu alikuja kuendeleza reforms ambazo zimepimwa Syria na sasa Ukraine
Ninaweza kukubaliana na ww kuhusu mengine lakini hili la kuharibu miji hakuna bingwa wa kupigana vita bila ya uharibifu wa mji labda mpiganie msituni.

Tangu nimejielewa nimeshudia vita nyingi kwenye mataifa tofauti tofauti lakini sijawahi kuona vita vya kiharibifu na mauaji mkubwa ya raia kama vita ya Marekani na washirika wake nchini Afghanistan na Iraq.

Hata Israel alipo pigana vita na Hizibulah sikuona chochote cha maana alicho kuwa ana shambulia zaidi ya majumba na madaraja.
Hata kwenye vita yake na Hamas sionagi cha maana anacho kifanyaga zaidi ya kushambulia miundo mbinu ya kiraia.

Hata kwenye vita dhidi ya kundi la ISS muungano unao ongozwa na Marekani ndio ulio uwa raia wengi kuliko hata hilo kundi lenyewe walilokuwa wanapigana nalo kiasi kwamba mji kama Raqaa ulifutika kwenye uso wa dunia.
 
Kadyrovites sio wapiganaji wa kuaminia hata kidogo. Kwenye siege ngumu ngumu wao hawapigani maeneo makali. Proportion yenye Tiktok accounts wengi ni wao, kwanza hazipandi sana na Federal troops ndio maana mara nyingi hawawi pamoja. Wao wanasubiri mpigane waje kurekodi kupost mitandaoni.

Pale Mariupol wapo % chache kati ya wanajeshi wa Russia wanaopigana. Ni kama wengine wanavyokosea kwamba Azov battalion pekee ndio wanapigana Mariupol wakati kuna vikosi vingine ambavyo ndio wengi. Kadyrovites wenyewe hawakuja wengi wakipata casualties kubwa ni political disaster kule kwao
Chechnya hatari Sana
 
Back
Top Bottom