View attachment 2194237Wadau naona nyakati za Putin zinaweza kugawanywa katika hatua kama hivi [emoji847]...
Stage ya kwanza 2000-2007.
[emoji95] Putin alikuwa akijishughulisha na uokoaji wa nchi yake iliyokaribia kuanguka na kuangamia, ambapo aliiinua na akafanikiwa kuipunguzia yale madeni makubwa yaliyokua yakiikumba nchi yake.
Wakti huo Marekani iliyatazama haya yote, ikijaribu kujibu swali: Putin ni nani? Na kisha hawakuhitaji mapinduzi kwasababu hakudai kubadilisha mfumo uliokuepo, na oligarchs walioteuliwa na Wamarekani kwa ujumla walidhibiti hali hiyo.
Stage ya pili 2007-2014.
[emoji95] Operesheni ya siri ya kurudi kulitengeneza jeshi lake ilianza, Rising of Russia was still obvious kwa hivyo mnamo 2011-2013, Wamarekani waliactivate hii wanaita '5th Column', wakisukuma ajenda ya kiliberali kupitia maandamano huko Bolotnaya na kujaribu kuingilia kati uchaguzi wa rais mnamo 2012.
Tukumbuahane kidogo kua 2012 ndio mwaka Putin aliorudi madarakani kwa mara nyingine baada ya zile awam mbili za mwanzo zilizoisha mda wake 2008.
Shambulio dhidi ya Russian World kupitia Ukraine did not leave the choice to Russia, which in the crimeria spring began.
Stage ya tatu
[emoji95] Hii tunaweza sema ndio ukawa mwanzo wa kuandaa mazingira mazuri ya kurejesha ile sovereignty yao iliyokuwa imepotea huko nyuma
Hapa kuna mabadiliko kadha wa kadha yalifanyika Russia moja wapo ambayo iko noted ni referendum ya july 2020.
Stage ya nne
[emoji95] Actual return ya sovereignty na hatua hii nahisi itaisha hivi karibuni.
Sasa tuko katika awamu kali ya makabiliano kati ya hizi Great power mbili... its like Tectonic plate increasing force pressing each other, ambayo itaisha kwa tetemeko la ardhi, na sahani hizi zitapata nafasi mpya ya kuheshimiana. Hakutakuwa na sare [emoji847]
Na hali ilivyo hakika haitakuwa sawa kama mwanzo. At stake kuna US kama kiranja wa sayari, na sasa wanatumia, Including all possible levers zote nje na ndani ya Urusi.
Na ndio huu wakati wale wanawaita dormants internal agents wakiwa activated- tunawaona wakiwa na majina ya Kirusi. Hapa ndio ile unasikia sijui nani bin nani wa Russia kaandamana kumpinga Putin [emoji1]
The tools of diplomacy stop working, na nyie mashuhuda mwaona vile negotiations haikaliki mezan kueleweka... so here we know what follows... ni US kupigana na Russia to the last Ukrainian... Baada ya hapa nazan tutaingia stage ya 5.
Stage ya 5
[emoji95] Hii itakuwa kilele na the moment of truth... hapa nahisi ndipo kutazaliwa Rasm Multipolarity na Unipolarity itazikwa kandoni mwa "atlantic" [emoji847]
Haya ndio mawazo yangu kutokana na namna navoitizama hii hali.