Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao jamaa kabla hawajaungana na urusi,
Putin alichezea Kichapo Cha haha, ikabd aungane nao.

Ukiondoa teknolojia,
Chechens ndo wana jeshi imara Sana la ardhini mpk Sasa.
Sio kweli Mkuu,hao wanamjua Putin vizuri sana.
Nikitulia ntakuandika vizuri kilichowapata kutoka kwa Putin.
Chechen kwa Putin ni sisismizi TU.
 


Crater left by a Russian Fab-3000 bomb in Ukraine

The Ukrainian outpost was destroyed to the ground by the most powerful explosion of the FAB-3000 aerial bomb.

The video, showing a huge crater about 15-20 meters deep and about 80 meters in diameter, was the result of the explosion of one of the most powerful high-explosive cluster bombs - FAB-3000. Data on this topic was voiced by a number of sources and it was noted that the outpost of the Ukrainian troops, which was previously in this place, was literally swept away and destroyed to the foundations. On the shown video images you can see a huge crater that was formed after the explosion of the FAB-3000 high-explosive cluster bomb at the positions of the Armed Forces of Ukraine. Experts suspect that it is the explosion of two air bombs at once, since it has the characteristic features of a funnel, into which a multi-storey residential building can easily fit. In fact, to date, this is the first known documentary evidence of the combat detonation of the FAB-3000 bomb. Moreover, by the magnitude of the explosion, the Ukrainian military had no chance of survival , since it was neither directly in the epicenter of the fall and detonation of an aerial bomb, nor within a radius of several hundred meters - the blast wave simply dissipated the equipment and positions of Ukrainian troops .
 
Russia handed over to Ukraine a draft agreement with clear language, but Kyiv is in no hurry to react, said Dmitry Peskov.

"Our draft document has been handed over to the Ukrainian side, which includes absolutely clear wordings worked out. The ball is on their side. We are waiting for an answer," he said.

According to Peskov, the Ukrainian side is constantly moving away from previously agreed positions, constantly changing them - this negatively affects the effectiveness of the negotiations.
Ngoja wajishaue,
Watajua hawajui, Kichapo hakijakolea vizur[emoji4]
 
Ndugu yangu nadhani wewe ni mchanga Sana kwenye geo-politics...na kama sivyo Kuna elements za ndani mwako za fanaticism in support of America, NATO and its cronies...Russia siyo wendawazimu kihivyo kuanza tu kuishambulia Ukraine...There are genuine reasons for doing that...Russia is defending itself against the West and particularly NATO and USA ambao wanatumia Ukraine kutaka kuiangamiza Russia..
rubbish 🚮🚮
 
Screenshot_20220420-155935_Chrome.jpg
 
Hivi wewe unawatete hao walaaniwa!!?
Umesahau kuna wakati hao wanajeshi wao walipotoka huko Iraq(sikumbuki ilikuwa wa kati wa Bushi baba au mtoto) walikuja baadhi yao kupumzika Tanzania. Matokeo yake walimbaka dada yetu mmoja mpaka akafa.
Walipokamatwa serekali yao ikatumia ubabe wakaachiwa muda mfupi baadae na kuondoka salama salmini!?

Acha Putin awakomeshe hawa mabaradhuli

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Huo ubabe wa kulazimisha kitu mbona kawaida yao. Na ungese waoufanya ni kujitapa hadharani.

Kwa mfano kuna ile dementia Joe anaeleza alivopiga mkwara kwa kigezo cha mkopo kwa serikali ya taifa hili hili la Ukraine.

Akilazimisha State Prosecutor yule aliyekuepo atimuliwe awekwe mwingine. Na huyu nasikia kuna kesi inayowahusu alikuwa akiifatilia...

Sasa jiulize kama mfano wa hili analizungumza mbele ya CAMERA... Je ambayo tunafichwa ni mangapi?
 
View attachment 2194237Wadau naona nyakati za Putin zinaweza kugawanywa katika hatua kama hivi [emoji847]...

Stage ya kwanza 2000-2007.
[emoji95] Putin alikuwa akijishughulisha na uokoaji wa nchi yake iliyokaribia kuanguka na kuangamia, ambapo aliiinua na akafanikiwa kuipunguzia yale madeni makubwa yaliyokua yakiikumba nchi yake.

Wakti huo Marekani iliyatazama haya yote, ikijaribu kujibu swali: Putin ni nani? Na kisha hawakuhitaji mapinduzi kwasababu hakudai kubadilisha mfumo uliokuepo, na oligarchs walioteuliwa na Wamarekani kwa ujumla walidhibiti hali hiyo.

Stage ya pili 2007-2014.
[emoji95] Operesheni ya siri ya kurudi kulitengeneza jeshi lake ilianza, Rising of Russia was still obvious kwa hivyo mnamo 2011-2013, Wamarekani waliactivate hii wanaita '5th Column', wakisukuma ajenda ya kiliberali kupitia maandamano huko Bolotnaya na kujaribu kuingilia kati uchaguzi wa rais mnamo 2012.

Tukumbuahane kidogo kua 2012 ndio mwaka Putin aliorudi madarakani kwa mara nyingine baada ya zile awam mbili za mwanzo zilizoisha mda wake 2008.

Shambulio dhidi ya Russian World kupitia Ukraine did not leave the choice to Russia, which in the crimeria spring began.

Stage ya tatu
[emoji95] Hii tunaweza sema ndio ukawa mwanzo wa kuandaa mazingira mazuri ya kurejesha ile sovereignty yao iliyokuwa imepotea huko nyuma

Hapa kuna mabadiliko kadha wa kadha yalifanyika Russia moja wapo ambayo iko noted ni referendum ya july 2020.

Stage ya nne
[emoji95] Actual return ya sovereignty na hatua hii nahisi itaisha hivi karibuni.

Sasa tuko katika awamu kali ya makabiliano kati ya hizi Great power mbili... its like Tectonic plate increasing force pressing each other, ambayo itaisha kwa tetemeko la ardhi, na sahani hizi zitapata nafasi mpya ya kuheshimiana. Hakutakuwa na sare [emoji847]

Na hali ilivyo hakika haitakuwa sawa kama mwanzo. At stake kuna US kama kiranja wa sayari, na sasa wanatumia, Including all possible levers zote nje na ndani ya Urusi.

Na ndio huu wakati wale wanawaita dormants internal agents wakiwa activated- tunawaona wakiwa na majina ya Kirusi. Hapa ndio ile unasikia sijui nani bin nani wa Russia kaandamana kumpinga Putin [emoji1]

The tools of diplomacy stop working, na nyie mashuhuda mwaona vile negotiations haikaliki mezan kueleweka... so here we know what follows... ni US kupigana na Russia to the last Ukrainian... Baada ya hapa nazan tutaingia stage ya 5.

Stage ya 5
[emoji95] Hii itakuwa kilele na the moment of truth... hapa nahisi ndipo kutazaliwa Rasm Multipolarity na Unipolarity itazikwa kandoni mwa "atlantic" [emoji847]

Haya ndio mawazo yangu kutokana na namna navoitizama hii hali.
Stage ya 5 sijakuelewa kabisa mkuu[emoji4]
 
Kabisa, wapo tu walioumia niliowaona...
Wanapigana kwa kuangaliana. Hata yule anayepata majeruhi haachwi nyuma. Kuna video moja hivi nilikuwa naitizama namna walivyokuwa wanamtoa mwenzao eneo la mapigano.

Yani shaba zinapigwa juu huku wengine wakifanya uokozi, then kuna sijui niite wimbo ama nini unasikika kwa pembeni.

Morali wake sio wa nchi hii [emoji847]

Na kama kuna Chechen aliekufa, basi wanajitahidi kuhifadhi casualties wao. Nakumbuka mwanzo kuna AZOV mmoja hivi alitangaza kua atakata Vichwa vya Chechen avicheze mpira ajab haikupita hata siku 3 akadakwa na hao hao Chechen. Walichomfanya wanajua wao [emoji847][emoji847][emoji847]
Hili Jeshi la chenchens natamani nilione pale TAIFA siku ya Uhuru,

Watuondolee wale wavunja tofali[emoji3]
 
Back
Top Bottom