Sijui kwa nini sina imani na hii game ya leo. Naona kbs tunaenda kuudhiwa hapo Lupaso. Yaani hata sina mzuka wa kuangalia maana staki presha.
Zelensky afanye maamuzi sahihi muda bado upo. Akubali tu ikiwa urusi bado ipo basi Ukraine haitakuja kwenda kinyume na matakwa ya kremlin. Akubali fate kama alivyokubali kuwa ukr haitakuja kujiunga nato. Pengine siku moja Ukr itakuja kuwa na nguvu za kutosha kwa sasa bado.
Wezi wakiingia ndani kwako utawaacha wachukue wanachokitaka waende maana ukiwazingua watakuua na watachukua. Kwa nn unamshauri zelensky tofauti!?
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app