Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wale Pro Ukrainians wako wapi mbona siwaoni tena sikuhizi[emoji23] humu, maana wa Ukraine wa Buza walikuwa viherehere sana
Wapo huku nauzi wao
 
Ukraine wamekiri kupokea spea na vifaa mbalimbali vya ndege kutoka kwa marekani na Washirika kadhaa wa NATO, ila sio NDEGE MPYA.

Habari Hii inakinzana na ile ya mapema Leo asubuh kutoka marekani PENTAGON kwamba ukriane wamepokea ndege mpya pamoja na shehena ya spea na vifaa mbalimbali vya ndege

Mamlaka za Ukraine zimekana taarifa hizo zikisema hazijapokea ndege yoyote mpya kutoka mshirika wake yoyote wa kivita.
Screenshot_20220421-033551.jpg
 
Norway ametuma vifaa 100 vya kudungulia ndege nchini ukraine,

Akizungumza waziri wa ulinzi wa Sweden, Bjon gram amesema nchi Yake imejitolea msaada wa short range missile sysytem zilizotengenezwa Ufaransa kwa ajili ya Ukraine ambazo kwa Sasa hazitumiki Tena na Jeshi la Norway, ila bado ni za kisasa na zinaweza kuwafaa Ukraine kwa sasa
Screenshot_20220421-034114.jpg
 
Ukraine wamekiri kupokea spea na vifaa mbalimbali vya ndege kutoka kwa marekani na Washirika kadhaa wa NATO, ila sio NDEGE MPYA.

Habari Hii inakinzana na ile ya mapema Leo asubuh kutoka marekani PENTAGON kwamba ukriane wamepokea ndege mpya pamoja na shehena ya spea na vifaa mbalimbali vya ndege

Mamlaka za Ukraine zimekana taarifa hizo zikisema hazijapokea ndege yoyote mpya kutoka mshirika wake yoyote wa kivita.View attachment 2194775
Tatizo mnafanya propaganda za Kitoto. Ndo maana huwa nawaangalia tu mnavyojiliwaza. Hatuwaambii Silaha mpya tulizo nazo tukiwafyatua ndo mtajua.

Mnataka tuwaambie silaha mpya tunazopokea ili mjihami. Kama hatuna silaha mpya, nini kimewakimbiza katikati ya Nchi na kukimbilia Mashariki Mpakani Mwa Urusi kwenye Mikoa ya Donbas na Mariupol?

Au ngoja nikudokeze. Marekani katoa Silaha ambazo hata Urusi haijawahi kuona wala hawajui waizue vipi. Inaitwa Switchblades drone.
 
Wapo huku nauzi wao
Uzi kabaki nao mtoa mada peke ake[emoji23]
 
Tatizo mnafanya propaganda za Kitoto. Ndo maana huwa nawaangalia tu mnavyojiliwaza. Hatuwaambii Silaha mpya tulizo,tukiwadyatua ndo mtajua.

Mnataka tuwaambie silaha mpya tunazopokea ili mjihami. Kama hatuna silaha mpya, nini kimewakimbiza katikati ya Nchi na kukimbilia Mashariki Mpakani Mwa Urusi kwenye Mikoa ya Donbas na Mariupol?

Au ngoja nikudokeze. Marekani katoa Silaha ambazo hata Urusi haijawahi kuona wala hawajui waizue vipi. Inaitwa Switchblades drone.
Mkuu,
Sio Mimi nmesema,
Iyo habari imetolewa na chombo Cha serikali kuu ya mji wa kyiv ndani ya serikali ya ukriane. "The kyiv independent" verified

Hiyo Ni HABARI YENU mkuu , usiikane.
SIO VIZUR kuvikashifu vyombo vyenu wenyewe eti vinaleta propaganda.

Au tuseme Basi navyo vimeshaasi na kua upande wa urusi[emoji4]
 
Kwa akili yenu mnajua Denis na Azov Wanajisalimisha? Wanatekwa au kuuawa? Mtasubiri sana na bado. Subiri hiyo last day. Baada ya siku tatu nitakuja kukuuliza last day haijafika. Denis ni Komando na ana mbinu nyingi tu
Mpaka Raisi wenu kichwa ngumu zelensky

Keshakubali wanajeshi wake na Raia wamezungukwa, na sahv anaomba waachiwe kwa ahadi ya kuwaachia mateka wa urusi (ombi ambalo urusi hawajaomba)

Wewe Ni Nani sasa mpaka umbishie Raisi wako comedian[emoji2]
 
Uzi kabaki nao mtoa mada peke ake[emoji23]
Kumbe nawe umeupitia ukaona ee? Sasa angalia Views za Wafuasi wa Urusi wanavyoupitia kimya kimya bila kukomenti wala kulike. Endelea kupata Update. Sihitaji like wala komenti ya mtu. Najitosheleza na ninajua kila kinachojiri iwe upande wa Urusi au Ukraine. Someni kimya kimya.
Screenshot_20220421-035023.png
 
Mpaka Raisi wenu kichwa ngumu zelensky

Keshakubali wanajeshi wake na Raia wamezungukwa, na sahv anaomba waachiwe kwa ahadi ya kuwaachia mateka wa urusi (ombi ambalo urusi hawajaomba)

Wewe Ni Nani sasa mpaka umbishie Raisi wako comedian[emoji2]
Hujui chochote. Kama mumewazunguka si muwakamate? Mnashindwa nini? Ngoja niache thread yenu ili uendelee kuwashika watu masikio na kuwadanganya. Manake hamkawii kurusha matusi na mimi sina tabia hizo za kishenzi za kutukana mtu kisa kakushinda kwa hoja.
 
Kumbe nawe umeupitia ukaona ee? Sasa angalia Views za Wafuasi wa Urusi wanavyoupitia kimya kimya bila kukomenti wala kulike. Endelea kupata Update. Sihitaji like wala komenti ya mtu. Najitosheleza na ninajua kila kinachojiri iwe upande wa Urusi au Ukraine. Someni kimya kimya.
View attachment 2194777
Leo umepost vifaru vingapi mkuu,

Maana naona Kichapo kimezidi,
mpaka umekosa kifaru Cha kupost ukahamia uku rasmi.

Karibu Sana mkuu,
Hata saa mbovu Kuna MDA inasema ukweli[emoji16]
 
Hujui chochote. Kama mumewazunguka si muwakamate? Mnashindwa nini? Ngoja niache thread yenu ili uendelee kuwashika watu masikio na kuwadanganya. Manake hamkawii kurusha matusi na mimi sina tabia hizo za kishenzi za kutukana mtu kisa kakushinda kwa hoja.
Hutukanwi mtu Hapa,
Hapa unapewa fact juu ya fact,
Na uzur wa fact za Sasa, zinatoka kwenye vyombo vyenu pro-NATO nyie wenyewe,

Ukiamua navyo kuvilaumu vinaeneza propaganda feki, Hilo litakua tatizo lenu na sio letu tena[emoji16]
 
Hiyo Israel si azifikie kwanza Iran na Uturuki tu kabla hajaanza kuiwaza Urusi.

Hata kama ni mahaba muwe mnaangalia na uhalisia.

Unaweza kunitajia nyambizi au meli yeyote ya Israel inayo endeshwa kwa nguvu kinyukilia ?
Unaweza kunionesha nyambizi au meli yeyote ya Israel yenye uwezo wa kurusha kombora kutoka bara moja hadi lingine?

Kingine Israel huwa hatengenezi silaha za Majini silaha zote huwa ana agiza Ujerumani na Marekani.

Israel sehemu anapo fanya vizuri na ninamkubali ni kwenye mifumo ya ulinzi na drone na kwenye vifaru lakini sehemu zingine tunadanganyana hapa.
Atakuwa ameathiriwa na mahubiri ya nabii Titto

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
UNAAMBIWA NA NANI?
Nani amewaambia?
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji na uongo yaani jiji muhimu kwa Uchumi wa Ukraine kama Maliopol lilindwe na wanajeshi 5000 uko siliasi kweli ww?
Unaambiwa Maliopol ni kati ya eneo lililokuwa limejizatiti na likiwa na wapiganaji wazoefu na wenye mbinu za hali ya juu.
Kundi la Azov lilikuwa na wapiganaji zaidi ya 6000 ambao wengi wameuawa na bado hujakewa wanajeshi wa Ukraine na bado hujaweka mamruki kutoka nchi mbali mbali walio kuwa wanapigana sambamba na jeshi la Ukraine, sasa ww hiyo idadi ya 5000 umeitoa wapi?
Urusi ina wanajeshi 7000 ambao walikuwa wanapigana kwa kujigawa vikosi 7 kila kikosi kikiwa na wanajeshi 1,000.

Mji wa maliopol na mwambao wote wa Azov ni muhimu mno kwa Uchumi wa Ukraine kuliko hata Odesa na Karkiv.
 
Back
Top Bottom