Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi nipo sana tu. Nakwepa kuandika mambo marefu ambayo mara nyingi sio direct na hii vita. Mfano kuna muda nimekaa nikafatilia na kujiridhisha kwa sasa Chinese navy inaizidi Russian navy kwenye technology, capabilities, quantity na quality ya surface combatants.

Nacholenga ni different perspectives
Hata Israel navy imeiacha mbali hii Russian navy kwenye uwezo na technology, labda kwenye man power ndio Russia kampiku Israel.
 
Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Mkuu unataka kuzidisha ujuaji na uongo yaani jiji muhimu kwa Uchumi wa Ukraine kama Maliopol lilindwe na wanajeshi 5000 uko siliasi kweli ww?
Unaambiwa Maliopol ni kati ya eneo lililokuwa limejizatiti na likiwa na wapiganaji wazoefu na wenye mbinu za hali ya juu.
Kundi la Azov lilikuwa na wapiganaji zaidi ya 6000 ambao wengi wameuawa na bado hujakewa wanajeshi wa Ukraine na bado hujaweka mamruki kutoka nchi mbali mbali walio kuwa wanapigana sambamba na jeshi la Ukraine, sasa ww hiyo idadi ya 5000 umeitoa wapi?
Urusi ina wanajeshi 7000 ambao walikuwa wanapigana kwa kujigawa vikosi 7 kila kikosi kikiwa na wanajeshi 1,000.

Mji wa maliopol na mwambao wote wa Azov ni muhimu mno kwa Uchumi wa Ukraine kuliko hata Odesa na Karkiv.
 
Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Hizi namba ni kwa mujibu wako au?
Denazification ni porojo tu? Basi hao Chenchens wanafanya porojo kupita Nyumba by Nyumba ( Hawa ni waliopo Vijiji vya Donetsk) ambako yupo pia Magomed Tushaev, ni video ngapi za hawa mabwana umeziona?

Video zilizopo nyingi ni kutoka Mauripol, ambako Chenchen ni Echelon force hivyo hawana Enemy contact kubwa kama ilivyo kwa DPR forces ambao ni main forces, na Russian unit zingine pia wagner group wengi wapo huku.

Zipo front Nyingi na kila front ina units zake na kazi zake na aina ya enemy anayekutana nae, Fuatilia taarifa sio kuanza kusema tu kuwa Neo nazi ni 200 tu....
 
Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Wewe jamaa ni katuni sana!

Unajifanya unajua mambo kumbe hujui chochote kama wadau wa Tiktok na umebeba bango lao Chenchen ni mashujaa wa Tiktok.

Chenchen hawajaanza kupigana leo mashariki ya Ukraine. Wapiganaji wake walijitoa na kwenda kupigana mashariki ya Ukraine tangu 2014.

Unamjua kamanda Talib wa Chechen aliisaidiaje Donbass mpaka pambano la karibu na uwanja wa ndege? Alikufa 2017.

Nenda kahangaike kama utampata Google au You tube....humpati na wala habari zake hutozisikia. Kwa sababu hujui.

Unamfahamu Eddie Ongaro wewe? Ni Muitalii ambaye alijitolea kupambana kwa kuwalinda wananchi wa LDPR kwa miaka 7. Mwaka 2015 alihama moja kwa moja Italy na kujiunga na 14th battalion of the territorial defense of the LPR ambalo kipindi cha nyuma lilikuwa linaitwa Ghost Brigade. Amekufa mwezi uliyopita wa 3, he covered the ammunition, and saved his comrades.

Kwa nini unahangaika kujifanya mjuzi wakati hujui? Kama hii ya Mariupol umeandika uongo mtupu!
 
Hizi namba ni kwa mujibu wako au?
Denazification ni porojo tu? Basi hao Chenchens wanafanya porojo kupita Nyumba by Nyumba ( Hawa ni waliopo Vijiji vya Donetsk) ambako yupo pia Magomed Tushaev, ni video ngapi za hawa mabwana umeziona?

Video zilizopo nyingi ni kutoka Mauripol, ambako Chenchen ni Echolon force hivyo hawana Enemy contact kubwa kama ilivyo kwa DPR forces ambao ni main forces, na Russian unit zingine pia wagner group wengi wapo huku.

Zipo front Nyingi na kila front ina units zake na kazi zake na aina ya enemy anayekutana nae, Fuatilia taarifa sio kuanza kusema tu kuwa Neo nazi ni 200 tu....
Huyo jamaa ni katuni sana!

Sikutaka kumjibu ila nimeamua kumjibu. Anaandika uongo sana halafu kwa kujiamini.

Akisha google na You tube pia anakuja kwa kasi ya mwendokasi wa mwanga na kujiona ameshajua kila kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akisha google na You tube pia anakuja kwa kasi ya mwendokasi wa mwanga na kujiona ameshajua kila kitu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Hata Israel navy imeiacha mbali hii Russian navy kwenye uwezo na technology, labda kwenye man power ndio Russia kampiku Israel.
Hiyo Israel si azifikie kwanza Iran na Uturuki tu kabla hajaanza kuiwaza Urusi.

Hata kama ni mahaba muwe mnaangalia na uhalisia.

Unaweza kunitajia nyambizi au meli yeyote ya Israel inayo endeshwa kwa nguvu kinyukilia ?
Unaweza kunionesha nyambizi au meli yeyote ya Israel yenye uwezo wa kurusha kombora kutoka bara moja hadi lingine?

Kingine Israel huwa hatengenezi silaha za Majini silaha zote huwa ana agiza Ujerumani na Marekani.

Israel sehemu anapo fanya vizuri na ninamkubali ni kwenye mifumo ya ulinzi na drone na kwenye vifaru lakini sehemu zingine tunadanganyana hapa.
 
Huyo jamaa ni katuni sana!

Sikutaka kumjibu ila nimeamua kumjibu. Anaandika uongo sana halafu kwa kujiamini.

Akisha google na You tube pia anakuja kwa kasi ya mwendokasi wa mwanga na kujiona ameshajua kila kitu.
Chenchens ni Tiktok warriors...anakwambia.
Sababu anaona kila siku wanaachia Video.
Nikamuuliza anafahamu aina ya Mission wanazofanya hawa?

Kuna waasi ambao hawamkubali kadyrov wamekimbilia Huku pia nao wanasakwa na wengi wanapigana upande wa Ukraine, Je tumeona video ngapi kutoka huku?

Kupo kimya kiasi kwamba hadi mmoja wa makamanda wake anazushiwa kufa ( Magomed)

Hii ni video ya tar 13, inakuonesha ni aina gani ya mission wanafanya.
 
Russia imeingiza mzigo mpya wa kombora la nyuklia 'Sarmat' ambalo halina mfanano na halitakuwa na mfanano kwa miaka mingi ktk Ulimwengu huu. Pia hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga Duniani unaoweza kulidungua.

Putin anasema ingizo hilo jipya la kombora la Sarmat ktk hifadhi ya silaha za Russia litazifanya nchi mahasimu wa Russia kutafakari marambili mbili...na pia litazidi kuhakikishia usalama wa nchi ya Russia

SmartSelect_20220420-235923_Chrome.jpg
Screenshot_20220421-000102_Chrome.jpg
 
Mrusi tajir aliandika kwenye akaunti yake ya Twita:

“I don’t see a SINGLE beneficiary of this mad war!” wrote the outspoken businessman Oleg Tinkov in a statement on Tuesday. “Innocent people and soldiers are being killed. Generals have woken up from their hangover to understand they have a shit army. And why would the army be good, if everything else in the country is shit and rife with nepotism, lackyism, and servility?

“Dear ‘collective west’, please give Mr Putin a clear exit to save his face and stop this massacre.”
atakoma huyu lazma wamfuate na novichok
 
Russia imeingiza mzigo mpya wa kombora la nyuklia 'Sarmat' ambalo halina mfanano na halitakuwa na mfanano kwa miaka mingi ktk Ulimwengu huu. Pia hakuna mfumo wowote wa ulinzi wa anga Duniani unaoweza kulidungua.

Putin anasema ingizo hilo jipya la kombora la Sarmat ktk hifadhi ya silaha za Russia litazifanya nchi mahasimu wa Russia kutafakari marambili mbili...na pia litazidi kuhakikishia usalama wa nchi ya Russia

View attachment 2194730View attachment 2194731
Mabeberu lazima wajambe
 
Russia aendelea kuipa kichapo Ukraine, yaua wanajeshi 40 wa Ukraine na kuangamiza aseti 1,053 za majeshi ya Ukraine

Majeshi ya Russia yamewapeleka wanajeshi 40 wa Ukraine kwenye ufalme wa Bwana, wakahukumiwe...pia majeshi hayo ya Russia yameshambulia nakuangamiza asseti 1,053 za majeshi ya Ukraine...miongoni mwa vilivyoharibiwa ni vifaru 6, magarivita 9, na howitzer 1, drone 6, maghala 6 ya mafuta, na miundombinu 106 ya kurusha mizinga.

Toka operesheni hiyo ya kijeshi kuanza, jumla ya ndegevita za Ukraine 140, drones 496, mifumo ya ulinzi wa anga 253 na vifaru/magarivita 2,388 vimeshateketezwa na majeshi ya Russia.

View attachment 2194383View attachment 2194384View attachment 2194386
Hata Rais Zelensky anakubaliana na wewe.Kuwa sasa hawana silaha tena,Zile picha za vifaru vilivyochakazwa vingi ni vya Ukraine.
 
Back
Top Bottom