President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
⚡️🇺🇳🇷🇺🇺🇦 The United Nations has handed over letters to the Russian and Ukrainian missions asking Putin and Zelenskyy to receive Guterres in their capitals.
Miaka 7 iliyopita sijawahi miss Victory Day Parade. Naona hakuna iliyokuwa nzuri kuzidi ya 2015Tareh 9 May kutakuwa na bonge la show Off pale Russia, Usikose kutazama so Hifadhi tarehe tu jomba [emoji3577] View attachment 2194322Washaanza kufanya rehearsal kwa ajili ya shughuli hiyo...
Hapa nahisi Russia ataonesha mengi zaidi kwenye hii show baada ya kumtia adab yule dementia anayepigana na Russia kwa kuwatoa kafara wasio na hatia hawa Ukrainians.
Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huuMissions zipo Nyingi.....
Kwa uono wangu, na kufuatilia ni kuwa Denazification ndio mission kubwa kwao ( au waliyopewa)......
Ukifuatilia taarifa zao na Bifu lao na Nazi utaelewa.
Nakazia MKUUHili natabiria NATO na EU zinaenda kuvunjika kisa vikwazo walivyoweka kwa Russia, tusubiri njaa ije, na msimu WA baridi ufike ndiyo tutapata majibu zile silaha za NATO na USA walizozitoa kama msaada Ukraine zimeenda wapi
Mkuu nimecheka jamaa ana mahaba ya ajabu hii dunia hamnaHao hapo ndani ya Mariupol ni dada zako wa mwembe yanga au sio [emoji57]
BAHRAIN wameandamana US na shost yake SAUDIA wakapeleka majeshiUliwahi kuwaona raia wa Bahrain au Saudi Arabia wanaandamana kama wale wa Libya, Tunisia na Syria kutaka madikteta wao waondoke mamlakani?
Huyo jamaa banaHujui hata unachotetea ni nini na unacho kosoa ni kipi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Yaani hapo uko unamueleza Chizi wa mirembe mkuu.Mkuu hiki ulichoongea unajua chanzo chake?
Sasa Mimi nakuambia hili ulilosema chanzo ninmarekani na nchi za ulaya, kivipi ni hivi
Katika vuguvugu la kudai Uhuru kwenye miaka ya 1950, bara la afrika lilikuwa na vijana wachache wenye elimu ambao wengi wao ndiyo walikuwa wanaendesha harakati za kudai Uhuru
Sasa baada nchi hizo kupata Uhuru marekani na nchi za magharibi Kwa makusudi walianzisha mpango kabambe wa kuhakikisha kwenye kila nchi wale vinara ambao walikuwa mstari wa mbele kuwaamsha waafrika kujitambua, watu hao wanaangamizwa
Kwenye nyaraka za CIA walizozitoa Kwa public zinasema wazi kuwa waliohusika na kifo cha Patrice Lumumba wa zaire ya zamani, kuna wengi waliuliwa kipindi hicho wakina augustino Neto, Samira Machel, augustino Neto, kwame nkurumha na wengineo na kuhakikisha inchi hizo zinatawaliwa na wajinga wajinga ambao hawajielewi ili hata wanapoiba basi hawataaumbuka Ila watapewa msaada na vibaraka walio madarakani, mfano mzuri Mobutu seseko baada ya kumuua Lumumba wakampa nchi, angalia unafiki wa watu wa magharibi suala la demokrasia halikuwepo tena maana Mobutu alitawala vipindi vingi na wala suala la demokrasia halikuwepo
Matokeo yake afrika imekuwa masikini baada ya kuwekewa viongozi wabovu na mataifa ya magharibi, ndiyo viongozi waliokubali kutoa madini ya nchi Kwa mrahaba wa 3%, unategemea unaweza kuwapa wananchi maendeleo Kwa kiasi hicho cha malipo ya madini????
Sasa hivi mkoloni Hana haja ya kuja afrika kuweka viongozi Ila alichofanya kwenye serikali nyingi za kiafrika kwenye nafasi za decision makers wamekaa wapumbavu halafu anachokifanya ni kuwaaambia hao wapumbavu kuwa wakijichanganya wanakosa madaraka na hawatakaa warudi, sasa hawa decision makers wanafanya kila Aina ya uovu ili wabaki madarakani, hawa wapumbavu ndiyo chanzo cha umasikini afrika
Kilichopo sasa hivi wenye uzalendo na weredi hawana madaraka, wapumbavu na wajinga ndiyo wanamadaraka
Huyo jamaa ni mmoja kati ya wachambuzi uchwara wa kivita.. yaani movies za west zinampoteza sana.Hao hapo ndani ya Mariupol ni dada zako wa mwembe yanga au sio [emoji57]
Mtu akiona hii essay anawezasema umeandika vitu vya maana kumbe upupu mtupu.Kadyrovites sio wapiganaji wa kuaminia hata kidogo. Kwenye siege ngumu ngumu wao hawapigani maeneo makali. Proportion yenye Tiktok accounts wengi ni wao, kwanza hazipandi sana na Federal troops ndio maana mara nyingi hawawi pamoja. Wao wanasubiri mpigane waje kurekodi kupost mitandaoni.
Pale Mariupol wapo % chache kati ya wanajeshi wa Russia wanaopigana. Ni kama wengine wanavyokosea kwamba Azov battalion pekee ndio wanapigana Mariupol wakati kuna vikosi vingine ambavyo ndio wengi. Kadyrovites wenyewe hawakuja wengi wakipata casualties kubwa ni political disaster kule kwao
Mkuu fuatilia vyanzo vya kueleweka achana na habari za milad ayo anayekopi na kupesti kutoka CNN na ABCSafii mda sio mrefu tanaanza kutuma salamu ado Moscow
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapiganay Gani!!? Natives au Mercinery!!! Unajua Azov battalion stretch yake kutoka makao makuu!!? Kikosi ambacho hakikuwa na Nazis ni Ukranian Territory Defense...!! Ukraine ana vikosi vingapi!!? Nakua uko vizuri ... Chukua muda wako kunijibuDenazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
bbc ni saa mbovu naona sasa imeamua kusema ukweli mtupu.
Naona urusi Sasa wanatekeleza Maneno ya kadyrov,View attachment 2194465View attachment 2194469
Hakuna Poo.... Hatuwapi nafasi ya kuregroup ...ni kichapo tu. Tumewaambia na baba yao mdogo UN
Sasa kama ni Aljazeera ulitegemea waseme nini??!! Hicho ni chombo cha kipropaganda cha nchi za magharibi...Na kama hufahamu Aljazeera ni chombo kilichoanzishwa na CIA..umesikia Ndugu?Mtu akiona hii essay anawezasema umeandika vitu vya maana kumbe upupu mtupu.
"however, say despite their reputation as fierce fighters, Chechen forces sent to Ukraine have not played a significant role on the battlefield. Their presence has been perceived as a public relations exercise"
~ Aljazeera wakimnukuu mtaalam mmoja wa maswala haya ya kimapgano.
"...despite their reputation as fierce fighters...," alaf ww hapa unasema jamaa si wapiganaj wzuri
"that they are among the world's most effective and deadly guerrilla forces."
~ Washington post, 'Chechen deadly swagger'
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aisee Russians Wana morali ya Vita balaa,Kwambaaaa.... Wanawapa wamekosa pa kuzidespose wanazipeleka Ukraine ziharibiwe huko ..... Kuna watu wanadharau .... Urusi wanataka NATO wapeleke silaha za kisasa yaaaani....
View attachment 2194463
tuambiane basi hivyo vyanzo wa uhakika mkuuMkuu fuatilia vyanzo vya kueleweka achana na habari za milad ayo anayekopi na kupesti kutoka CNN na ABC