Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Marekani alitumia mahakama ya nani !!?? Mbona unarukaruka tu.... Wanajeshi wanajeshi.... Wakati umesema Putin ndio atakutana na hilo shitaka!!?? ... Kaa Kwa utulivu tukutembezee kichapo Putin sio Slobodan Milosevic.Unajaribu kuepukana na swali langu. Mwoga!
1. Nilitaja mifano jinsi gani Marekani -ambayo si mwanachama wa ICC- angalau ilipeleka wanajeshi kadhaa mahakamani walioshiriki kuwatesa au kuwaua watu raia huko Iraki na Afghanistan
2. Nilikuuliza kama una mfano kwamba Urusi iliwahi kupeleka wanajeshi mahakamani walioshiriki katika jinai za vita (kn huko Afghanistan, Chechnya au Syria)? Sijasikia halafu nimepata picha kwamba Urusi inadharau sheria hizo za kimataifa (isipokuwa kiweza kuzitumia kwa propaganda yake,...) - mbele ya mahakama yao wenyewe?