Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
russia nae amezidi na onyo matokeo yasiyotabirika
Lengo la zile picha ni kuwatia hasira wazazi na wananchi wa Russia wachukie operation kwa gharama ya kuwaumiza wapendwa wao. Si kweli picha za watu waliokufa vitani ni za kusambaza.
Unaamini wana akili kama zako za kupata details za Generals wa Ukraine waliokufa na kuwarusha kwenye mitandao ya kijamii. Kwa taarifa yako una tatizo huwezi ukasema unaona ni kitu cha kawaida. Unahitaji daktari mapemq sana.Wananchi wa Russia hawawezi kutumia Twitter, Facebook na Instagram tangu vita vimeanza. Wamefungiwa rasmi na serikali yao, sio kimyakimya kama alivyofanya jiwe wakati wa uchaguzi mwaka juzi.
I see!!..
Kwamba USA ni mtakatifu anapovamia na kudestabilize nchi za watu..!!
Maajabu hayataisha..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Unaamini wana akili kama zako za kupata details za Generals wa Ukraine waliokufa na kuwarusha kwenye mitandao ya kijamii. Kwa taarifa yako una tatizo huwezi ukasema unaona ni kitu cha kawaida. Unahitaji daktari mapemq sana.
Telegram ipo mbona hatuoni
Hii Ukraine wakimaliza kumfurusha kibaraka mjinga Zelensky basi waimeze kabisa,Wasipewe nafasi kujitawala kama vile wachechen.Wamekosa heshima sana na Urusi. Halafu iwe zamu ya Sweden na Finland. Wamechoka na hali ya usalama na maisha bora waliyonayo kwa miaka mingi,Urusi itakuwa imepata ngawira nyeti sana kutokana na utajiri wa asilia wa Ukraine.Kama walitamani hapo zamani wakaogopa kelele kuhusu Ukraine sasa wamepata sababu na hoja ya kuimeza.
Achana na huyo lofa anabisha kila kituWe mbona upo unapinga uvamizi wa Russia wakati huo ukihalalisha uvamizi wa Marekani kwenye mafaifa mengine?
Usipangie watu cha kuandika.
Mercenaries wanakodiwa kwa pesa,Mamluki ni watu gani?
Mamluki ndio mercenaries?
Mamluki ni sawa na volunteers?
Mercenaries wanakodiwa kwa pesa,
Volunteers wanajitolea kwa hiari Yao,
Yote kwa yote wote Ni Mamluki Maana kwenye uwanja wa kivita Ni ngumu kujua yupi amekodiwa analipwa, yupi anajitolea bure
Walitegemea waone maiti zao zimezagaa kill mahali Ili waamini wanapigana?Hiyo quote ya Aljazeera umeielewa?
"however, say despite their reputation as fierce fighters, Chechen forces sent to Ukraine have not played a significant role on the battlefield. Their presence has been perceived as a public relations exercise"
Ndicho ninachokisema. They have done nothing significant, yani unanipinga na quote inayoeleza nilichosema
Cha kushangaza,Hiyo quote ya Aljazeera umeielewa?
"however, say despite their reputation as fierce fighters, Chechen forces sent to Ukraine have not played a significant role on the battlefield. Their presence has been perceived as a public relations exercise"
Ndicho ninachokisema. They have done nothing significant, yani unanipinga na quote inayoeleza nilichosema
Ulaya si Afrikahii vita muri atapoteza resources nyingi sana,ila ulaya nao watahangaika sana na maisha yatakuwa magumu kwao
Hadi sasa Urusi kashindwa vita na hii vita itampa hasara kubwaRussia ingevamia Korea Kaskazini kumuondoa Dikteta Kiduku nisingepinga, Napinga Russia kuivamia nchi yenye Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kutaka kumuondoa na kuifanya hiyo nchi koloni lake.
Kitu imetestiwa leo mzee,Hakuna bomu kama hilio, acheni kujidanya.
Wenzake wanamchora tu aoneshe silaha zote mwisho akizidiwa atatumia Nuke na kumsingizia NATO na EUrussia nae amezidi na onyo matokeo yasiyotabirika
Urusi alishatoka uko kwenye kutest, anatumia TU[emoji4]Bora zao hao wakitesti yanatiki, kuna huyu hapa 'Marekani' yeye kila akitesti yanafeli...
View attachment 2194925View attachment 2194926