Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya igizo la Corona kubuma, wazee wameamua kuja na igizo jipya la vita.

The so called SUPER POWER (Russia) imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine ndani ya miezi miwili!

Mara tunaambiwa wanajeshi wamerudi nyuma (sijui hata nyuma ya wapi?), mara sijui wanajeshi hawana maji wana kiu. POROJO.

Katika maigizo haya yote mawili, kuna jambo linatafutwa ambalo limefichwa machoni pa ulimwengu kwa wakati huu!

Ukweli wa haya maigizo utajulikana kitambo kifupi kijacho!

Dhamira zilizojificha nyuma ya haya maigizo zitafunuliwa!
Kua specific ueleweke chief,
Unataka kusema Nini kwa mfano?[emoji4]
 
.
Screenshot_20220421-145352.jpg
 
why israel ? mbon kam haielewk mana israele ndio uan mwa ameriaka vip wasalit kambi?
Kwenye Geopolitics, Interests za taifa kwanza hayo mengine baadae... walo na "genyezi" zakukaa kwenye sinking Ship wamebaki EU pekee.

Israel "nahisi" anafanya kusudi, ukumbuke nyuma apo US alianza sogea pale Iran kushikana nae mkono mwezi huu uliopita ilhal inafahamika Iran na Israel ni kama Paka na Panya...
 
Wapo huku nauzi wao
Ngoja Nika wachachafye kidogo🤣🤣🤣
 
View attachment 2195345

View attachment 2195339

Yaani hawa mawaziri wote wa Uingereza wamezungumza kauli moja nyakati tofauti.

Tukumbuke Churchill alizungumza hii kauli baada ya kuona hakuna namna zaidi ya kuingia vitani na Hitler, Je huyu Boris anamaanisha nini kuzungumza hivi?

Hizi kauli mbona zinaogopesha? au ni ishara WWIII inakuja?

Kule Azovstal kutakua na askari wengi wa UK, kuna jambo halipo sawa hapa.
Hizo kauli za uingereza zisikutishe hao ni waoga kama nini, tena uingereza ya Churchill ilisha ondoka tena haiwezi kurudi tena hi ya Johnson haina lolote hata haiwezi kuanzisha vita peke yake bila US, uwezo wake au size yake ni nchi kama Zimbabwe, Russia is in other world in military arsenal.

Tena na Zimbabwe yenyewe ikiwa imejipanga iwezi kuipiga kumbuka nwaka 1982 vita ya n Rhodes, UK hana military supremancy kwasasa alisha decline kitambo anabebwa kwa mkumbo wa Nato, huyu cha muhimu alicha bakia nacho ni premier league, tena nayenyewe wanao zimiliki timu sio raia wa uingereza.........
 
Jeshi gani la superpower eti flagship ya fleet ina radar zinaengage upande mmoja tu. Hicho kichekesho hata Sweden huwezi kikuta na zile corvette zao za tani 5,000. Russia meli ya tani 12,000 inakuwa na radar zinaona upande mmoja, meli haijafanyiwa modifications kwenye defense wao wanaiburuza vitani
Mnagongwa au hamgongwi... Hata isipokuwa na rada... Mnagongeshwa au mmashinda !!?? Hata panya hana ujinga wa kufuata siagi KIZEMBE kama mnlivyo maNATO.
 
⚡️ Putin calls storming of Azovstal steel mill in Mariupol impractical.

Vladimir Putin told Russian Defense Minister Sergei Shoigu that a full block of the mill is more rational. Shoigu said that except for the heavily fortified Azovstal, Mariupol had been occupied by Russia.
 
Kaazi kweli kweli,
Kulia CHINA,
Kushoto VIETNAM,
Chini North Korea,
Kaskazini yupo INDIA,

AFU KWENYE DIMBA yumo mzee baba PUTIN

Aisee Hii formation sijui tuiiteje[emoji4]
Hizo nchi zinakwenda kuunda ushirika wa kijeshi kama ule wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.
 
Uwa wanapiga mahesabu ili likangukie baharini.kwa faida yako na wengine hili sio kombola la nuclear bali hili ni kombola lenye uwezo wa kubeba vichwa vya nuclear.kwa iyo lazima ujue kuna vitu 2 tofauti,

Kwa iyo uwa kuna test ya vichwa vya nuclaer na pia kuna test ya kombola la kubebea vichwa vya nuclear.vichwa vya nuclear uwa kuna sehem maalum ya kutest ili kukwepa radiation(miyonzi) kusambaa ovyo.kuna sehem kule kazakhstan ndo uwa wanatestia vichwa vya nuclear.
Kwa iyo ilo kombola hata likianguka kwenye ardhi yetu basi madhara yake inakuwa ni sawa na kubeba kichwa cha treni juu alafu kukiachia kishuke chini.madhara yatakuwa tu lile eneo lilipofikia ila hakutakuwa na mlipuko wowote kwa sababu vilipuzi hamna ndani yake.
Ok shukrani mkuu nimekupata.......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Putin ni mtu hatari sana linapokuja suala la Vita na ujasusi.
Kila phase ya operation ina general wake na kawapanga kutokana na akili zao za kutembeza kipigo, na hapo the great putin bado yupo kwa general wapili kati ya wanne, hao wawili naona kawaacha kwajili ya Vita, ikitokea USA na NATO wakatia timu kupambana na Urusi.

General wa kwanza kazi yake sasa hivi nikusimamia majeshi yaliyopo kwenye miji iliyo under full control of Russian army. Huyu mpya kazi yake nikuendelea kuwafurusha mashoga waliobakia Ukraine, halafu wa tatu na nne wamebak kama reserve kwajili ya ulinzi wa raia wa Russia na mipaka yake, pia kuendelea kusuka tactics za kivita endapo hii operation ikibadilika nakuwa Vita baada ya NATO kutia mguu vitani.

Kwa ambao bado hawajaelewa kuwa Russia [emoji635] siyo Lesotho [emoji1147] basi wasubiri kuona mwezi ujao pale mbabe wa dunia katika uwanja wa vita "Russia" atakapokuwa ana adhimisha siku yake ya ushindi A.k.A siku ya mashujaa Russia.

NAKAZIA: RUSSIA SIYO LESOTHO.
 
Kaazi kweli kweli,
Kulia CHINA,
Kushoto VIETNAM,
Chini North Korea,
Kaskazini yupo INDIA,

AFU KWENYE DIMBA yumo mzee baba PUTIN

Aisee Hii formation sijui tuiiteje[emoji4]
Hujui geopolitics kijana la sivyo usingeweka Nchi zenye active military conflicts Katika defense pact. Huyo India juzi wanajeshi wake wameuliwa na wa China katika mpaka wa Himalayas. Huyo China ana ugomvi na urussi wa mipaka. Naona nianze kuitisha karo sasa
 
Back
Top Bottom